The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Una uhakika!!?Mbowe alizungusha form 4 akaingia A level kwa njia za panya, mwambie atoe vyeti vyake.
Una uhakika!!?Mbowe alizungusha form 4 akaingia A level kwa njia za panya, mwambie atoe vyeti vyake.
Kwa hiyo haya ndiyo maelezo ya kumuwezesha Mbowe kuingia A level huku akiwa na zero form 4 ?Mbona unaruka Kama Samaki wa mkizi,anaruka Kwa jazba na anajimaliza,unataka kunambia kwamba anayeongoza ni sawa sawa na mwandazimu aliyepewa rungu,katiba ya nchi sio katiba ya chama,Huyo mwenyekiti wako wa chama ,amekuwa tayari akizikiuka sheria,Kwa kumpa power RC ambaye wa kuwaongoza wananchi mwenye dhambi zakukosa elimu na fojari,hapo amekosa sifa ya kuwaongoza wananchi wote,lingine Ni nguvu tu zinatumika kukwepa uhalisia,lakini ulimwengu mzima popote utakapokwenda,Meya wa mji ndio kiongozi mkuu wa mji.mnataka kujifanya mnajua sana,Kumbe mnakiuka maadili ya kisheria,ndio maana nikasema umekuwa na ubongo wa samaki wa mkizi,Ni kweli Amani hakukosea mna bongo za samaki.
Hao uliowataja wewe hawakubadili majina na kutumia vyeti vya wengine. Tatizo ndio lipo hapo, forjariMbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.
Yanamuhusu yeye na muajili wake!. Cha muhimu atomize majukumu take kama mkuu wa mkoa basi!Ya familia zetu yanatuhusu sisi wenyewe, na tukihitaji msaada wako tutakuambia; ila ya Makonda ni yetu sote!
Ana wafuasi kibao wanaoamini mafundisho yake. Asichafuliqe hadharani halafu utegemee akae kimya! Hatuwajui watu and " Never under estimate People you don't know'!Tangu msukule aanzae kulaani watu Nani kalaanika maana kila siku ana matamko mapya
Elimu si Tatizo,Tatizo ni vyeti visivyo halaliMbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.
Kwa nini tuanze na Makonda na sio Mbowe, Mbowe ni Waziri Mkuu kivuli, aonyeshe mfano yeye kwa kutoa maelezo na matokeo yake ya form 4.Mkuu, watapoteza lengo kwanini usisubiri wamalizane na mkuu wao wa mkoa ndio wahamie kwa huyo mbowe?
Kwahiyo unataka waachane na Makonda eti kisa na Mbowe nae amegushi?
"Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe jingine" unaikumbuka hiyo?
Ukihitaji naweza kukupa cheti changu !unazani cheti cha Makonda kitakupunguzia ukali wa maisha?
Toa mifano ya watu alio walaaniTangu msukule aanzae kulaani watu Nani kalaanika maana kila siku ana matamko mapya
Si kweli. Kama analipwa mshahara kwa jasho letu, mambo yake yanatuhusu.Yanamuhusu yeye na muajili wake!. Cha muhimu atomize majukumu take kama mkuu wa mkoa basi!
Ana wafuasi kibao wanaoamini mafundisho yake. Asichafuliqe hadharani halafu utegemee akae kimya! Hatuwajui watu and " Never under estimate People you don't know'![/QUOTE kwani alivyomtukana pengo hakujua kama ana wafuasi?
Wewe ni Nyumbxx, Makonda unataka atoe vyeti vyake ila kwa Mbowe unasema niende mahakamani, ulisomea ujinga ?Nenda mahakamani,Kama una uthibitisho.
Your popcorn is here[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] lady[emoji106] [emoji106]Relationship yao hatuta iruhusu ivunje katiba tena kwa makusudi, watu wengi wamefukuzwa kazi kwa kosa kama la Makonda kwann yeye aachwe?? Hatutakubali
Mwambie Mbowe atoe vyeti vyake, alizungusha form 4 akaingia A level kwa njia za wizi akazungusha tena form 6, tumuombe Mbowe atoe vyeti.Una uhakika!!?