Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Hivi kweye lile zoezi la uhakiki wa vyeti ni nini kilikuwa kina angaliwa? Hiyo check list iliyokuwa inatumika kuwakagua wengine kwa nini isitumike katika hii issue ya ndugu bashite? Sii sahihi kuhalalisha kosa kwa kufanya reference kwa wakosaji wengine ambao hawajashughulikiwa. Kama kuna watumishi wengine wa uma walihukumiwa kwa kosa kama hilo ni kwanini ndugu Bashite naye asihukumiwe?
 
Wanajmvi nimekuwa nikiangalia na kuona MAWE anayotupiwa RC Makonda kuhusu madai yanayohusu uhalali wa MAJINA na ELIMU yake.

Ninapoandika hivi sisemi Makonda hana mapungufu katika maamuzi na utendaji wake hasa wa juzi juzi, hata hivyo tukiangalia upande mwingine wa SARAFU yaonekana kuna ZAIDI ya CHETI, bali ni kutaka huyu RC afukuzwe kazi, ili WENGINE WAFURAHI.

Kwanza kabisa PROFILE ya Makonda ILIVUJWA maksudi kwa sababu ya watu walio na SABABU zao mbaya ili aonekane mbele ya Mwajiri wake ambaye ni rais kwamba yeye ni MHALIFU mkuu.

Na hivyo KUJARIBU kum influence mwajiri wake indirectly kutumia BLACKMAIL ili AMFUKUZE kazi.

Jambo hili limeendelea kwa muda sasa. Swali langu wanajamvi. Kabla ya kumtupia mawe turudi NYUMA.Waziri Mwigulu Nchemba alikuwa na issue kama hii, mbona ya Makonda kila mtu ANAMTUPIA MAWE?

Ni vizuri tusiwe na DOUBLE STANDARD katika kutoa haki bali tuwe FAIR/na USAWA. bila WIVU, UBAGUZI , na FITINA. Kama Waziri Mwigulu Nchemba HAKUJIUZURU basi TUMWACHE Makonda afanye kazi. Yeye si mkamilifu mara nyingi AMEJIKWAA je hilo ndo tumpe mob justice wampige mawe. ASIYE na DHAMBI na awe wa Kwanza kutupa JIWE!
Issue ya makonda na mwigulu haifanani
Mwigulu alistruggle toka form one kwa jina la mtu ambaye hakujiunga kidato cha kwanza na kuendelea mpaka ngazi aliyopo na uwezo wa darasani anao...... Lakin bwana yule o level alipata zero hvo akaamua kuchukua chet cha mwingine kufiKia malengo yake..... Hata hvo inaonesha kuwa bwala yule ni kilaza... Fuatilia trend yake pind yupo chuo....... Duh supp kama kalogwa vile
 
Kweli mmeamua kuhusu Makonda.Sasa wewe unataka kwenda kijijini kwake si uende tu huko ukakusanye taarifa zake.

Vyeti vyake wewe unavitaka vya nini wakati Ikulu wameridhika navyo mpaka wamempa ukuu wa wilaya na sasa ukuu wa mkoa sasa tunapiga kelele tu vyeti vyeti vyeti vyeti vyeti....

Wekeni ushahidi wa hivyo vyeti hapa hakuna hata mmoja anathubutu zaidi ya maneno.
 
Ni kweli ni mtu jasiri sana. Hata wakati wa Bunge la Katiba alipotuhumiwa na wajumbe kutoka CCM wale wa kike kuwa amekuwa akiwaibia simu zao hakuona aibu mpaka alipo tetewa na Spika marehemu Sitta ambaye baada ya kufariki ndio siri ya utetezi ule ilipojulikana. Kuwa mzee Sitta alikuwa Baba Mlezi wa Makonda aka Daudi Bashite na kamwe hangeweza kumuacha aangamie kwa kashfa hiyo (hata kama ingekuwa kweli) ya wizi wa simu.
huyu mtu ni shujaa kweli, haogopi (hata kufanya wizi kama kibaka) na haoni aibu kwa lolote kama chokoraa
 
alafu wewe unaonekana unamatatizo kuliko Daudi...
 
Hili suala lingekuwa ni nchi za wenzetu RC angekuwa ameshaachia madaraka ila huku kwetu anaenda kwenye nyumba za ibada kuombewa ili aendelee kukalia hicho kiti.

Suala hili la RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda linaelekea kubaya. Linaelekea kukisawajisha chama na hata Serikali yake. Hayati Mwalimu Nyerere,kwa tuliokuwa karibu naye kimatendo na kimaneno, alikuwa akisema kuwa tuhuma tu dhidi ya mtumishi wa umma zinatosha kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya mtumishi huyo. Umefika muda wa kulinda hadhi ya Serikali na chama chetu tawala (CCM).

Kufuatia kutuhumiwa kutumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne katika kufika alipofika, Paul Makonda anapaswa kujitokeza na kujisafisha kwa kuonesha cheti chake hicho kilicho na jina lake la Paul Makonda. Suala lake laweza kuleta ukabila na hata udini.

Kiongozi ni kioo. Kioo kinapaswa kuwa safi ili kioneshe taswira ya anayekitazama. Kiongozi anapaswa kutenda na kusema kwa umakini na kwa usahihi wa kiasi kikubwa. Kiongozi anapaswa kuwa na sifa za uongozi wake badala ya kuwa na sifa zenye shaka. Shaka huzaa tuhuma. Tuhuma hutaka suluhisho na hatua za kuchukuliwa.

Sasa, natoa siku 30 kuanzia kesho kwa Paul Makonda kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma za kutumia cheti cha sekondari cha mtu mwingine. Kesho nakwenda Arusha. Nitakapotoka huko,nitakwenda Mwanza. Nitafika Misungwi na kufanya 'ushushushu' wa kutosha kumhusu Makonda. Nitachimba kila jambo linalomhusu.

Cheti kisipoanikwa hadharani na mhusika ndani ya siku 30 kuanzia kesho,nitayaanika yote ambayo nitayapata kule Kolomije, Misungwi mkoani Mwanza na kwingineko. Nisije kulaumiwa nikianika hadi yale ambayo hayapo katika mjadala kwasasa. Kama unatakiwa ushahidi, endapo kutabaki kuwa kimya hata kwa anayetuhumiwa,ushahidi utawekwa hapa. Atakayeutaka,ataupata hapa.

Mwafaaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Hiyo sio sababu wala haina uhusiano mkuu
Kwani tangu Makonda awe RC ni muda gani umepita? Je unaamini Makonda ndiye mwenye dhamana ya kufanya wanafunzi wafaulu?

Mitoto yenu inashindia kwenye kucheza singeli na kunyoa viduku mtalaumu sana[emoji23]

Maslahi ya walimu serikali haitaki kuboresha alafu mnalalama [emoji23]

Usafiri wa mjini shida, maisha magumu hata wazazi wanakosa muda wa kufatilia maendeleo ya watoto wao maana wako bize kutafuta japo ugali na dagaa mchele[emoji23]

Walimu wakiongezewa matatizo na serikali mnashangilia eti ngoja wakome tena bodi ya mkopo isikate 15% iongeze iwe 20%[emoji23] [emoji23]
Sasa mtakoma nyinyi, msidhani mtoto wa Magufuli atasoma Bunju secondary school ni watoto wetu maskini, kwa hyo mnaposhangilia matatizo ya walimu mjue mnashangilia watoto wenu kufeli
Muacheni Makonda ale bata historia yake inaonesha alipata tabu sana
Kwa hiyo wanaofaulu DSM wao wanatumia helicopter kwenda shuleni? acha mawazo mgando wewe, kama kiongozi lazima uongolee matokeo ya watoto/wanafunzi, RC wa Mtwara yeye ni Afisa Elimu? acha apambane na hali yake.
 
Hugo gwajima wako ndo ana laana ya Pengo inamtafuna hakuchafuliwa aliitwa akatoe maelezo sifa zake ndo zimemponza zakuita media angefanya kimya kama wakina zungu asingekuwepo kwenye midomo ya watu.
Sasa tutaona jinsi LAANA inayofanya kazi.
 
Hapo naona hatoki kaka,Kama hakutumbuliwa atatumumbuka mwenye we,unajua waswahili wamesema shari huzaa heri,atajikaanga kwa moto alouwasha mwenyewe,mkuki kwa nguruwe Kwa binaadamu mchungu
Wekeni ushahidi basi turidhike na tufunge mjadala
 
Back
Top Bottom