Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,113
- 12,140
Mwambie ajitokeze aoneshe vyeti vyake halali.
Isije kuwa kodi zetu zinatumika kulipa mshahara mtu aliyenunua cheti.
Isije kuwa kodi zetu zinatumika kulipa mshahara mtu aliyenunua cheti.
Kweli mmeamua kuhusu Makonda.Sasa wewe unataka kwenda kijijini kwake si uende tu huko ukakusanye taarifa zake.
Vyeti vyake wewe unavitaka vya nini wakati Ikulu wameridhika navyo mpaka wamempa ukuu wa wilaya na sasa ukuu wa mkoa sasa tunapiga kelele tu vyeti vyeti vyeti vyeti vyeti....
Wekeni ushahidi wa hivyo vyeti hapa hakuna hata mmoja anathubutu zaidi ya maneno.