DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Makonda anapitia kipindi kigumu sana kuliko kile walichompitishia(yeye Makonda na ccm wenzake) Lowassa kwenye harakati za uchaguzi.
CALL ME J
CALL ME J
Hiyo sio sababu wala haina uhusiano mkuuUkitaka kujua mtu hana cheti angalia matokeo ya kidato cha 4 hataki kuyaongelea kabisa hata kidogo, kazusha jambo jingine iliwatu wasahau matokeo mabovu ya mkoa wa Mzizima.
Hahaaaadaudi cheti pekee cha halali alichonacho ni cha darasa la saba B
Yeye mbona aliwachafua watu bila Ushahidi??? Askofu Gwajima anatajwa kuuza/kuvuta madawa!!! Hii ni laana itamtafuna milele.Mnalala mnaamka makonda tu hapo usikute hadi familia zenu zina migogolo ila mmekazania ya makonda tu.
Kufanya arrest ni kitu kimoja na kuendesha uchunguzi ni kitu kingine na kufungua mashitaka ni kingine tena. Kazi ya Jeshi la Polisi ni kulinda raia na mali zao. Hivyo Polisi anaweza Kufanya arrest yoyote with or without warrant lakini kwenye makosa yote ya jinai against persons be it a real person or a legal person, polisi hawezi ku instute charge kama hakuna mlalamikaji yoyote!. Nikasisitiza akiona unabakwa ataingilia na kumu arrest mbakaji, wewe uliobakwa usipokwenda polisi kufungua mashitaka, polisi hawezi kufungua mashitaka, mbakaji wako atakuwa huru.acha kutulisha matango pori ewe uliyeamua kudharau taaluma yako na kugeuka mchumia tumbo
emphasis on Section 14(a) (extracted from the Criminal Procedure Code Cap 20 Revised edition 2002)
14. Arrest by police officer without warrant
A police officer may without a warrant arrest–
(a) any person who commits a breach of the peace in his presence;
sasa wewe unatudanganya hapa eti, "Hata kama unaishi jirani na Kamanda Siro na akashuhudia mke anapokea kisago, mke huyo asipolia kuomba msaada, Siro haji kuingilia."
kama umetenda kosa la jinai katika uwepo wake na akashuhudia ana wajibu chini ya kifungu 14(a) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kukukamata kwa hilo kosa alilolishuhudia.
wajibu huu pia upo kwa watu binafsi kifungu 16(1) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ya 2002
16. Arrest by private persons
(1) Any private person may arrest any person who in his presence commits any of the offences referred to in section 14.
na pia kwa mahakimu kifungu 18 cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ya 2002
18. Magistrate may arrest person for an offence committed in his presence
When any offence is committed in the presence of a magistrate within the local limits of his jurisdiction he may himself arrest or order any person to arrest the offender and may, subject to the provisions of this Act relating to the granting of bail, commit the offender to custody.
NAWASILISHA.
Mkuu, watapoteza lengo kwanini usisubiri wamalizane na mkuu wao wa mkoa ndio wahamie kwa huyo mbowe?Mbona unatoa assumption tu, mwambie Mbowe atoe cheti chake na maelezo.
Zero form 4 unaingia vipi A level ?
Ukitaka Cheti naweza kukutumia inbox ! Ila ukweli lazima usemwe Leo ndo mmejua alinunua cheti baada ya kumwagia kitumbua chenu mchanga?Yeye ni kiongozi wetu hapa dsm! Lazima ajisafishe na hizi tuhuma. Mbona unatokwa na povu binti au na wewe ulizungusha form four?!
Nenda mahakamani,Kama una uthibitisho.Mbowe ni kiongozi rasmi wa kambi ya upinzani, ni waziri mkuu kivuli, huyu anapewa hadi gari na mafuta na serikali, kama aliingia A level kwa wizi si uadilifu pia, hauwezi kuingia A level huku una zero form 4, mwambie Mbowe atoe cheti chake cha form 4.
Hapa ni location au?
Hugo gwajima wako ndo ana laana ya Pengo inamtafuna hakuchafuliwa aliitwa akatoe maelezo sifa zake ndo zimemponza zakuita media angefanya kimya kama wakina zungu asingekuwepo kwenye midomo ya watu.Yeye mbona aliwachafua watu bila Ushahidi??? Askofu Gwajima anatajwa kuuza/kuvuta madawa!!! Hii ni laana itamtafuna milele.
Tafuta maana ya blackmail, otherwise weka neno linalostahili mkuu.Kum BLACKMAIL kwa njia hii:
"Umetufuatilia kuhusu Madawa ya kulevya nasi tunakuonyesha huyu jamaa HAKUFAI mfukuze kazi"
Yote hayo wameacha kuyaangalia wamekazana na chetiHiyo sio sababu wala haina uhusiano mkuu
Kwani tangu Makonda awe RC ni muda gani umepita? Je unaamini Makonda ndiye mwenye dhamana ya kufanya wanafunzi wafaulu?
Mitoto yenu inashindia kwenye kucheza singeli na kunyoa viduku mtalaumu sana[emoji23]
Maslahi ya walimu serikali haitaki kuboresha alafu mnalalama [emoji23]
Usafiri wa mjini shida, maisha magumu hata wazazi wanakosa muda wa kufatilia maendeleo ya watoto wao maana wako bize kutafuta japo ugali na dagaa mchele[emoji23]
Walimu wakiongezewa matatizo na serikali mnashangilia eti ngoja wakome tena bodi ya mkopo isikate 15% iongeze iwe 20%[emoji23] [emoji23]
Sasa mtakoma nyinyi, msidhani mtoto wa Magufuli atasoma Bunju secondary school ni watoto wetu maskini, kwa hyo mnaposhangilia matatizo ya walimu mjue mnashangilia watoto wenu kufeli
Muacheni Makonda ale bata historia yake inaonesha alipata tabu sana
Kuhusu Watumishi wa Umma kuna watumishi walipojua wanaotumia vyeti vya kufoji walitoa notisi ya 24 hrs kuacha kazi walau wapate hata mafao yao ya Pspf. Waliogopa kufungwa!Kwani watumishi wa serikali walikuwa wanasakamwa? Makonda toa ufafanuzi juu ya elimu yako umalize mjadala OVA
Unamuongelea "Zungu" yupi na wenzake?Hugo gwajima wako ndo ana laana ya Pengo inamtafuna hakuchafuliwa aliitwa akatoe maelezo sifa zake ndo zimemponza zakuita media angefanya kimya kama wakina zungu asingekuwepo kwenye midomo ya watu.
Relationship yao hatuta iruhusu ivunje katiba tena kwa makusudi, watu wengi wamefukuzwa kazi kwa kosa kama la Makonda kwann yeye aachwe?? HatutakubaliHivi inawezekana kuna special relationship baina ya mabwana hawa wawili?Naanza kupata mashaka!
Pengo naye analaani?? Mi nadhani kinyume chake ndo ukweli....Hugo gwajima wako ndo ana laana ya Pengo inamtafuna hakuchafuliwa aliitwa akatoe maelezo sifa zake ndo zimemponza zakuita media angefanya kimya kama wakina zungu asingekuwepo kwenye midomo ya watu.