Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Pasco tunaomba uthibitisho wa hiyo story tafadhali.
Hapo naona hatoki kaka,Kama hakutumbuliwa atatumumbuka mwenye we,unajua waswahili wamesema shari huzaa heri,atajikaanga kwa moto alouwasha mwenyewe,mkuki kwa nguruwe Kwa binaadamu mchungu
 
Mbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.
Tofauti kati ya Mbowe na Makonda ni Mbowe hajafoji vyeti na Makonda inasemekana kafoji Veti.Kosa si kutokuwa na elimu kosa ni kufoji vyeti.Kama mtumishi wa umma lazima uwe mwadilifu.
 
Tofauti kati ya Mbowe na Makonda ni Mbowe hajafoji vyeti na Makonda inasemekana kafoji Veti.Kosa si kutokuwa na elimu kosa ni kufoji vyeti.Kama mtumishi wa umma lazima uwe mwadilifu.
Unaingia vipi A level ukiwa na zero form 4, huko si kufoji kwako wewe ?
 
Kuna neno mleta mada umelitumia lakini sina hakika kama umelitendea haki; Kum-BLACKMAIL Rais? Hebu fafanua ulimaanisha nini?
Kum BLACKMAIL kwa njia hii:
"Umetufuatilia kuhusu Madawa ya kulevya nasi tunakuonyesha huyu jamaa HAKUFAI mfukuze kazi"
 
Tofauti kati ya Mbowe na Makonda ni Mbowe hajafoji vyeti na Makonda inasemekana kafoji Veti.Kosa si kutokuwa na elimu kosa ni kufoji vyeti.Kama mtumishi wa umma lazima uwe mwadilifu.
Mbowe ni kiongozi rasmi wa kambi ya upinzani, ni waziri mkuu kivuli, huyu anapewa hadi gari na mafuta na serikali, kama aliingia A level kwa wizi si uadilifu pia, hauwezi kuingia A level huku una zero form 4, mwambie Mbowe atoe cheti chake cha form 4.
 
Kuna uwezakano mkubwa wa kisheria hata yeye Magufuli akatumbuliwa ikiwa hiyo phd yake Ni ya mizengwe,Kwa sababu upo ushahidi wa kauli zake kupinga hilo,ambao unamtia hatiani,sheria ni haki na ni kama msumeno hauchagui unakata popote.tusubiri muda mfupi hayo yanakuja.
Magufuli kasoma hapo UDSM hata sio mbali waandishi wa habari wangeshatuletea habari
 
TUJIKUMBUSHE KUTOKA KATIKA MAFAILI YETU
Ramadhan Ali Kihiyo alikua mbunge wa Temeke alishinda uchaguzi wa Temeke....
baadae NCcR Mageuzi ilienda Mahakamani kupinga kwakua Mtuhumiwa alitumia vyeti visivyo vyake.
Yafuatayo ni Mahojiano Ya Dr.Lamwai na Mtuhumiwa Kihiyo.

Lamwai: You say you graduated from the Dar es Salaam Technical College in 1986. Is that right?.
Kihiyo: Yes, of course.
Lamwai: Do you know that man? (pointing to former Technical College Students Council Chairman)?
Kihiyo: No, I don’t know him.
Lamwai: What is a foundry?
Kihiyo: I don’t know (laughter from the packed public gallery).
Lamwai: How many sub-departments are there in the Mechanical Department of the College?
Kihiyo: An engine room, an injection pump and repair (laughter).
Lamwai: Do you have any paper indicating what marks you got?
Kihiyo: I think I have it somewhere.
Lamwai: Do you know who the Principal of the College was when you were there?
Kihiyo: I don’t know.
Lamwai: Who was the Registrar?
Kihiyo: Mr Kuhanga.
Lamwai: No. Mr Kuhanga was my Vice-Chancellor at the University of Dar es Salaam at that time.
Lamwai: When did you start your studies there?
Kihiyo: I don’t remember.

Dr. Lamwai told the court that Kihiyo had used the title engineer during the campaign in relation to his ability to solve water problems affecting the constituency. The Judge asked Kihiyo to bring his certificate to court.

Kihiyo: (Next day). Your Honour, can you please give me two more days to look for the document.
Lamwai: Do you still maintain that you graduated from the College?
Kihiyo: Yes.
Dr. Lamwai then asked about the stream he had been in, his Head of Department’s name, who had presented the certificate to him, what were the entrance requirements but in every case Kihiyo either did not know or gave the wrong answer.
Lamwai: What does VTC stand for?
Kihiyo: It is National Committee Centre (laughter).
Lamwai: I ask you to step down as MP for Temeke

On May 29, following a month in the High Court, Mr Kihiyo announced through his counsel that he had written to the House of Assembly Speaker resigning as MP for Temeke on medical grounds.
 
Historia ya Ndg RC Mhe. Paul Makonda.

Nitangulize kuomba radhi kwa ndg Makonda kwa sababu hajanipa ridhaa yake ya kuelezea Historia yake.
Nimelazimika kutoa historia hii ili kuondoa upotoshaji unaoendelea ktk mitandao ya kijamii na mitaani.
Kwa hiyo kosa langu kubwa litakuwa ni hilo

Kwa ufupi Mhe. Makonda ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ndiko alikokupatia Digrii ya uchumi na maendeleo ya jamii.
Hata hivyo safari yake ya kitaaluma ilikuwa ngumu kutokana na hali ya kipato.
Kabla hajaenda Chuo Moshi, alipita ktk shule ya msingi Kolomje na amesoma pia ktk Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo ambako alisoma hadi ngazi ya Diploma ktk masuala ya uvuvi.

Safari ya Makonda ya kisiasa ilianzia Chuoni Moshi akiwa waziri mkuu wa Serikali ya wanafunzi.
Amekuwa kiongozi pia ktk Jumuiya ya Vijana CCM kama makamu Mwenyeki taifa nk.
Hakuna asiyejua misukosuko na minyukano ya kisiasa ndani ya CCM vijana walivyokuwa wanagawika kutokana na wanasiasa mafisadi kuwagawa vijana wa UVCCM.
Makonda alikipigania chama kutokana na misimamo yake lakini alienda mbali zaidi na kuwataja wanasiasa waliokuwa wanawagawa vijana wa CCM kwa rushwa na hila,-jambo ambalo halikuwa rahisi kwa wakati huo.
Hatimaye Rais Kikwete akamteua kuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni.

Makonda ni mwana CCM ambaye hajapitia mafunzo ya kiitikadi kama wengine lakini siasa za Makonda ni zile zinazoendana na wakati husika na zinawavutia watu wengi lakini pia zinawaumiza vichwa vya wana siasa wengine ndani na nje ya CCM, kiasi kwamba wanamuonea wivu na kutaka kumkwamisha kwa kila namna ili asifanikiwe kwa sababu wanaamini mafanikio yake yatampa umaarufu.
Hili ndilo linalokwamisha maendeleo ya kijamii kutokana na wanasiasa kukwamishana wala hawana huruma na watanzania.

Makonda ni mbunifu, kwani yeye ndiye mwanzilishi wa mashindano kama lile la "Kinondoni Talent Seach" lililopelekea hata baadhi ya wakuu na wabunge mbalimbali nao kuanzisha mashindano ya ligi za mpira wakiziita ligi hizo mara nini nini cup, clab, jock kwa majina yao nk.
Bahati mbaya hawakufanikiwa zaidi ya kutafuta sifa, si hawakujua mwenzao alilenga nini!.

Kwa nini Makonda, kwa nini vyeti na kwa nini utajiri wa Makonda?

Kabla ya Makonda kuibua vita ya biashara ya madawa ya kulevya mambo yaliyozuka hivi sasa ya utajiri, vyeti na mara viongozi wanasema hazingatii sheria. sababu ni...

Kwanza wanaosema Makonda hafuati sheria ni wapumbavu na si wazalendo wa taifa hili na ni wanafiki wakubwa.
Kwa sababu kama hoja ni sheria, sheria zilitungwa tangu lini na hapakuwa na wasimamizi wa sheria wala wauza madawa ya kulevya?.
Na je kwa nini hazikufanya kazi kwa kiwango ambacho amekifikia Makonda?.
Je tatizo ni sheria au tatizo ni watu?.

Pili ni wapi kunachuo cha u-DC na u-RC mpaka watu wahoji elimu ya Makonda?.
Kwani kuendesha vita ya madawa ya kulevya ni kuvunja katiba ya Nchi? au kuendesha vita hii hadi uwe na Digrii au Phd?
Si vita ya kila watanzania wote?.

Tatu suala la utajiri wa Makonda kuhoji kwa wakati huu wa sakata la madawa ya kulevya linawafanya wanaohoji kutudhihirishia kwamba wao ni watetezi wa wafanyabiashara hiyo kwa sababu, watanzania haituingii akilini kabisa;
Yaani kuona mtu ameanzisha mapambano ya madawa ya kulevya halafu mjinga mmoja au kikundi cha watu fulani kinaibuka na swali ambalo halihusiani na agenda ya vita husika.
Vita ya madawa ya kulevya inaingilianaje na utajiri wa mtu?,
Kama waliona kuna haja ya kuhoji kuhusu utajiri wa Makonda kwa nini wakae kimya muda wote huo hadi Makonda aanzishe vita ya madawa ya kulevya?.

Mwisho.
Siri ya mafanikio ya Makonda kisiasa itawachukua muda wanasiasa wengine kuijua kwa sababu wanasiasa wengi wanatamaa ya kupenda sifa na kufanya kila jambo waonekane ni lao au wamelianzisha wao huku lengo lao kuu wasifiwe, lakini pia kung'ang'ana sifa hizo zibaki kwao kwa vyovyote vile.
Kwa Makonda ni tofauti, Makonda yeye anatabia ya kuwatanguliza mbele viongozi wakubwa au walio juu ya mamlaka yake.
Siri nyingine ya Makonda ni jasiri na ana msimamo.
Asanteni.

Haya wanaobisha leteni ujinga mwingine.

Msisahau kutuletea cv ya elimu ya Mbowe, aliyewashikia akili zenu na kubaki mazuzu.

hoja binafsi.asanteni
Sema unamsifia sio historia. Ukisema historia ya mtu fulani kuna vitu lazima viwepo, Tarehe(Muda), Mahali na Tukio. Vitu hivi sijaviona kwenye Historia yako.
 
Unaingia vipi A level ukiwa na zero form 4, huko si kufoji kwako wewe ?
Kumbuka elimu yetu ulikuwa ukimaliza darasa la saba unaweza kwenda Veta na ukafika hadi Chuo kikuu.Wengine wanaitia elimu ya secondary form one to four kwa miaka miwili.
 
Kifupi Mimi binafsi namuona kwangu kama mfano wa kuigwa na vijana wengi na kwa upande wangu nitamhesabu kama shujaa wangu ninaepaswa kuiga na kujifunza kutoka kwake sabbu.
Alianguka Mara kadhaa. Lakini hakukata tamaa aliinuka na kujifuta vumbi na kuendelea kutafuta njia yake ya mafanikio.!!
Hakupelekwa English medium na wazazi wake kama hawa wanafiki wanaojificha kwenye keyboard na kumkashifu kwa faida ya mabwana zao.! Alifeli Mara kadhaa lakini hakukata tamaa. Alipiga moyo konde na kuendelea mbele..
Hatimaye akaangukia mikononi mwa mzee Samweli Sitta R.I.P katika harakati za kuipigani ndoto yake.!!
Leo tunamuona kama mkuu wa mkoa wenye changamoto kuliko yote Tanzania mkoa wenye wakazi wengi kuliko Zanzibar! Akiwa no mkuu wa mkoa kijana kuliko wote bila shaka walio wahi ongoza jiji hilo pia labda hata kwa Nchi nzima.
Kwangu ni mfano bora wa kuigwa hata ile kuthubutu tu kuwasha moto wa kupambana na wauza madawa ya kulevya...
Tunajua kwa nguvu yao ya kishetani wanaweza washawishi watu kadhaa wakatoa kila aina ya kashfa.
Hatutasahau aina hii ya watu walifanya nini kwa Amina Chifupa alipoanzisha vita hii R.I.P.
Kwa kumnukuu makonda mwenyewe alisema" ni heri niwe mkuu wa mkoa hata kwa siku tano tu. Lakini kesho mbinguni niwe na jibu kwa dhamana niliyopewa."!
Mashetani hawa wanaweza kushinda kwa kumshawishi Rais kwa hoja zao lakini ukweli ni kuwa hawataweza kamwe kufuta historia ya Kijana huyu kwa ujasiri wake na jambo alilothubutu kulifanya kwa Nchi hii.
Ok, pamoja na maelezo yako mazuri lakini kugushi au kudanganya ktk CV ili kupata uhalali wa kupata huduma yoyote ni kosa kisheria hii sio kwa Makonda tu. Sasa endapo yeye anasimamia zoezi la kutumbua watumishi wengine wenye vyeti feki, nk kwa nini watu wakihoji uhalali wa vyeti vyake na yeye (vyenye mashaka) wewe mleta mada uone kuwa anasakamwa? au Makonda sio civil servant?. Kama maisha ya Makonda ni model au la, hili halizuii sheria kuchukua mkondo wake.Yeye na aruhusu Uhakiki wa uhalali wa vyeti vyake tu ndio dawa kwani hata hao waliotumbuliwa tayari huenda wangepata fursa ya kujieleza back ground zao na wao ni model.


Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe ni kiongozi rasmi wa kambi ya upinzani, ni waziri mkuu kivuli, huyu anapewa hadi gari na mafuta na serikali, kama aliingia A level kwa wizi si uadilifu pia, hauwezi kuingia A level huku una zero form 4, mwambie Mbowe atoe cheti chake cha form 4.
Kumbuka QUT ipo na ukifaulu A Level ni haki yako.
 
Sirro anamuangalia kwa jicho fulani hivi huku akichezesha pingu mikononi,
 
Kitendo cha kamanda SIRRO kumuacha Makonda akitamalaki na vyeti Feki hapa Dasalaam inaonyesha kiongozi wa kanda Maalum anapwaya.

Makonda aliwahi kuhoji utendajikazi wa kamanda Siro kuwa haukizi viwango. nimeanza kuamini,kelele zetu zote hizi na inteligensia zake ameshindwa kufungua jarada la uchunguzi dhidi ya Daudi Bashite! only in Tanzania.

Forgery is a criminal offence in the eyes of the law Kamanda Siro!
Sitegemei na sitokubali kusikia Mheshimiwa RAIS akiongelea suala la uhakiki wa vyeti na matumizi ya vyeti bandia. Mwenyezi Mungu hulipa malipo yote hapa Duniani, kwa hili la Makonda Watawala wamechutama , wamepigwa wakapigika.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Ningekuelewa zaidi kama ungenifafanulia huyu Bw. Daudi Bashite na Bw. Paul Makonda wana husiana vipi?
 
Back
Top Bottom