getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Sina sijawaji kuwa nayo, njaa ya hiyo uliyo nayo wewe ninachofahamu unafiki ni dhambi inayotesa sana nafsi.!!NJaa itakuua! umekuja kumsafisha Daudi humu? he must face justice
Sina sijawaji kuwa nayo, njaa ya hiyo uliyo nayo wewe ninachofahamu unafiki ni dhambi inayotesa sana nafsi.!!NJaa itakuua! umekuja kumsafisha Daudi humu? he must face justice
Naona umeamisha magoli,kutoka kwa Bashite kwenda Ccm mpaka upinzani. Hongera sana.
Kwa kweli .... Sizonje!!! angalia hili ... Yule Mungu unemsingiziaga kwamba ni mpenzi wako kwa sababu wewe ni msema kweli ... atakuja kukuumbua vibaya wewe!!!Mtu kaota ndoto tu yupo ndani mwezi wa nne, ila mtu kafoji vyeti,kaitwa bungeni kakataa, kaitwa mahakamani kakataa, kadhalilisha watu na kuwachafua hadharani kachwa, ina maana hizi sheria kwa upande mmoja tu?hebu nambie kifungu gn cha sheria kinachompa madaraka mkuu wa mkoa kutaja majina ya wauza unga hadharani bila ya kuwa na ushahidi.
N.B
Mchakato wa ujenzi wa vijiwonder unaanza lini?
Anakulala nini mbona kila mara unakaza mishipa yako ya vidole kumtetea... [emoji23]Picha ya zamani hiyo, alikuwepo kwa mengine hapo.
sifa ya kwanza ya askofu dr gwajima sio mnafikiMimi naona wote wanaomwamin Gwajima wakapimwe akili kwan hamkumbuki alichomfanyia Pengo? Gwajima sio wa kumwamin hata waumin wake sidhan kama wanajielewa
Ziko jinai za aina mbili, public offences na private offences. Public offense ni makosa ya uvunjifu wa sheria za public laws kama mikosanyiko, maandamano, uharibifu wa malí ya umma or makosa yoyote against the public.
Personal/private crimes ni makosa ya jinai yanayofanywa na individual dhidi ya individual or individual ndidi ya entities be it public or private.
Kosa la theft, forgery, fraud, bodily injuries, sexual offences other than incest or sodomy, hata rape, beating, Polisi haiwezi kuinitiate uchunguzi hadi mtu au taasisi ipeleke malalamiko kufungua RB. Hakuna mtu yoyote au taasisi yoyote iliyopeleka malalamiko yoyote kuitisha uchunguzi. Waliochunguza ni wale "jamaa zetu" tuu. Hivyo hakuna lalamiko lolote dhidi ya Mkuu wetu wa mkoa Mhe. Sana Daudi Albert Bashite AKA Paul Makonda.
Hata kama unaishi jirani na Kamanda Siro na akashuhudia mke anapokea kisago, mke huyo asipolia kuomba msaada, Siro haji kuingilia.
Au mtu akiibiwa na mwizi akakatwa red-handed Siro hawezi kunfungulia mashitaka kama wewe hujakwenda kulalamika.
Paskali
Hakuna cha kurudi kusoma popote. Polisi haiwezi kuinitiate uchunguzi vyeti vya Makonda yenyewe tuu bila yoyote kwenda kumshitaki.Rudi shule ukasome mkuu...Alafu sio kila kitu uchangie....Hivi unajua aina za forgery au unasema tu....cheti cha taaluma ni public property
Thanks! .You are such a prolific liar.
Ha ha ha,fojali haifanyi fyoko fyoko hivyo haistahili kukiona.,basi nchi itajaa wataalam fake.Mkuu forgery haipo katika makosa ya kufanya "fyokofyoko" unamlaumu bure kamanda Sirro
Kwani suala la vyeti ameanzisha gwajima?we ulisafri korea ya kaskazini nini?Mimi naona wote wanaomwamin Gwajima wakapimwe akili kwan hamkumbuki alichomfanyia Pengo? Gwajima sio wa kumwamin hata waumin wake sidhan kama wanajielewa
Ahsante kwa Darasa Pasco.ujumbe umefika.tutaufanyia kazi.Makonda hawezi kuvuna sehemu ambayo hakupanda.
Does he believe ndumba will help him? I can assure you kama wakuu wake watamng'ang'ania basi wao watang'oka kwanza halafu sijui atabebwa na nani na kwa mbeleko ipi. Pale bunge litakapo m vote out premier atabaki na nani? Sijui lakini as far as I know God will never allow this to happen. Wamekwisha mtenda mabaya ya kutosha na hawezi kuendelea kuwaruhusu waendeleeNiwajuavyo Wahindi wamebobea na kutukuka mno kwa Ndumbaism. Hili sakata sasa naliona linavyoenda kupotelea Bombay kutoka Dar es Salaam.
Hana jinsi ya kuprove watu wote hawafai wrong. Alivyo angekuwa anavyo vyeti angeshavileta hadharaniHapana bwana Daudi Bashite siwezi kumsahau.
Mpaka sasa kasha ufanya u RC wake mgumu, labda aje atu prove wrong.
Ila kama si ukabila alikuwa asha nyofoka yule
Ampeleke kokote lakini Siyo dar. We don't need him. Hatuwezi kuongozwa na kihiyo pamoja na elimu zetuMkuu umesahau haya matukio
1)Faru John
2)Ben saa nane
3)Tukio la mkuu wa nchi kutakiwa kuonesha salary slip zake
Yani hapa utashangaa unapangwa mpango kabambe ambapo watu wote tutakuwa tuna concentrate huko mpaka hicho kitu kinafika tamati suala la bwana bashite tutakuwa tumelisahau
Au bwana yule unaweza ukakuta tu labda ana muamisha wizara au akafanya figisu yoyote akamtoa waziri yoyote akampachika bwana bashite