HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Bashite wa kolomije....tumia akili basiCheti chake kinakupa ugali?
Bashite wa kolomije....tumia akili basiCheti chake kinakupa ugali?
Unaongea kama mmoja wa aliyeguswa vibaya na vita dhidi ya madawa ya kulevya,Suala hili la RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda linaelekea kubaya. Linaelekea kukisawajisha chama na hata Serikali yake. Hayati Mwalimu Nyerere,kwa tuliokuwa karibu naye kimatendo na kimaneno, alikuwa akisema kuwa tuhuma tu dhidi ya mtumishi wa umma zinatosha kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya mtumishi huyo. Umefika muda wa kulinda hadhi ya Serikali na chama chetu tawala (CCM).
Kufuatia kutuhumiwa kutumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne katika kufika alipofika, Paul Makonda anapaswa kujitokeza na kujisafisha kwa kuonesha cheti chake hicho kilicho na jina lake la Paul Makonda. Suala lake laweza kuleta ukabila na hata udini.
Kiongozi ni kioo. Kioo kinapaswa kuwa safi ili kioneshe taswira ya anayekitazama. Kiongozi anapaswa kutenda na kusema kwa umakini na kwa usahihi wa kiasi kikubwa. Kiongozi anapaswa kuwa na sifa za uongozi wake badala ya kuwa na sifa zenye shaka. Shaka huzaa tuhuma. Tuhuma hutaka suluhisho na hatua za kuchukuliwa.
Sasa, natoa siku 30 kuanzia kesho kwa Paul Makonda kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma za kutumia cheti cha sekondari cha mtu mwingine. Kesho nakwenda Arusha. Nitakapotoka huko,nitakwenda Mwanza. Nitafika Misungwi na kufanya 'ushushushu' wa kutosha kumhusu Makonda. Nitachimba kila jambo linalomhusu.
Cheti kisipoanikwa hadharani na mhusika ndani ya siku 30 kuanzia kesho,nitayaanika yote ambayo nitayapata kule Kolomije, Misungwi mkoani Mwanza na kwingineko. Nisije kulaumiwa nikianika hadi yale ambayo hayapo katika mjadala kwasasa. Kama unatakiwa ushahidi, endapo kutabaki kuwa kimya hata kwa anayetuhumiwa,ushahidi utawekwa hapa. Atakayeutaka,ataupata hapa.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
He I zifafanue tafadhaliMbona wewe ndio unapwaya hata ujui kazi za Kamanda Sirro.
Hilo la utumbuaji ni la Magu mwenyewe,si yeye mtumbuaji ??na muadilifu,basi na aunde tume independent ichunguze,kama hatochukua hatua basi atakua ni mkabila,na Ni aibu kubwa,na Kwa nini,RC akamzidi Mstahiki Meya wa mji,ambaye katokana na wabunge waliochaguliwa na wananchi???hapo tayari Magu keshaingiya hatiani,ama kweli dhambi huzaa dhambi.Kufanya arrest ni kitu kimoja na kuendesha uchunguzi ni kitu kingine na kufungua mashitaka ni kingine tena. Kazi ya Jeshi la Polisi ni kulinda raia na mali zao. Hivyo Polisi anaweza Kufanya arrest yoyote with or without warrant lakini kwenye makosa yote ya jinai against persons be it a real person or a legal person, polisi hawezi ku instute charge kama hakuna mlalamikaji yoyote!. Nikasisitiza akiona unabakwa ataingilia na kumu arrest mbakaji, wewe uliobakwa usipokwenda polisi kufungua mashitaka, polisi hawezi kufungua mashitaka, mbakaji wako atakuwa huru.
Sasa tuseme hata kama Mchungaji Gwajima atavionyesha wazi wazi vyeti vya Bashite na Makonda kuthibitisha cheating, forgery na fraud, na Kamanda Siro akaviona, Kamanda Siro hawezi kumprosecute Makonda hadi ajitokeze mtu real person or legal person (taasisi) kulalamika.
Kwenye Mada yangu hii, nimesisitiza yote yanayosemwa kumhusu Makonda ni Uongo, Fitna na Majungu ya watu wenye wivu wanaomuonea kijicho kwa mafanikio yake.
Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo! Adai yeye ni zaidi ya Rais...
Paskali
Inawezekana kwa kipindi hiki.....waswahili wa pemba si unajua tena......na kama ikiwa hivyo basi uhakiki kwa wote usitishwe.Nyie mnadhani hawezi akagushi cheti na kukileta
Ungempatia Bashite akate mzizi wa fitna.....kama unacho lkn japo naww hauna tofauti nae.Ukihitaji naweza kukupa cheti changu !unazani cheti cha Makonda kitakupunguzia ukali wa maisha?
Angalau apate nafasi ya kuki tengeneza na kuwatafuta mashaidi mkuuSiku 30 ni nyingi sana...
Ungeenda kwanza huko kolomije ukishapata data ndo uje jf na ummpe siku 2 tuu...
Siku 30 kwani cheti anakifata Mbinguni?
Kugushi ni kosa la jinai. Ni wajibu wa kila mwananchi kuzuia jinai kutokea na akiona imetokea ni wajibu wake kutoa taarifa. Kama kweli amegushi, hata kama akitimiza wajibu wake vizuri kwa kiasi gani, haitaondoa jinai aliyokuwa ameitenda.Yanamuhusu yeye na muajili wake!. Cha muhimu atomize majukumu take kama mkuu wa mkoa basi!
Yeye ni msafi na hajachafuka ajisafishe vipi?Yeye ni kiongozi wetu hapa dsm! Lazima ajisafishe na hizi tuhuma. Mbona unatokwa na povu binti au na wewe ulizungusha form four?!
Hamna lolote hapa..huyo jamaa msanii sana..simuamini...hio njia ya kupata sympathy tu watu wapunguze kelele zenye ukweli. Nymbfff
Kwasababu tuna nia njema tuanze na hili..nyie mlikuwa wapi kuanzisha la Mbowe?Kwa nini tuanze na Makonda na sio Mbowe, Mbowe ni Waziri Mkuu kivuli, aonyeshe mfano yeye kwa kutoa maelezo na matokeo yake ya form 4.
Umeandika vema ila inaonekana umekuja kuleta distraction ili tuache kulifatilia na tungoje hizo 30 zako!mpaka hizo 30 zinafika unadhan hili tukio bado litakuwapo?Suala hili la RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda linaelekea kubaya. Linaelekea kukisawajisha chama na hata Serikali yake. Hayati Mwalimu Nyerere,kwa tuliokuwa karibu naye kimatendo na kimaneno, alikuwa akisema kuwa tuhuma tu dhidi ya mtumishi wa umma zinatosha kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya mtumishi huyo. Umefika muda wa kulinda hadhi ya Serikali na chama chetu tawala (CCM).
Kufuatia kutuhumiwa kutumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne katika kufika alipofika, Paul Makonda anapaswa kujitokeza na kujisafisha kwa kuonesha cheti chake hicho kilicho na jina lake la Paul Makonda. Suala lake laweza kuleta ukabila na hata udini.
Kiongozi ni kioo. Kioo kinapaswa kuwa safi ili kioneshe taswira ya anayekitazama. Kiongozi anapaswa kutenda na kusema kwa umakini na kwa usahihi wa kiasi kikubwa. Kiongozi anapaswa kuwa na sifa za uongozi wake badala ya kuwa na sifa zenye shaka. Shaka huzaa tuhuma. Tuhuma hutaka suluhisho na hatua za kuchukuliwa.
Sasa, natoa siku 30 kuanzia kesho kwa Paul Makonda kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma za kutumia cheti cha sekondari cha mtu mwingine. Kesho nakwenda Arusha. Nitakapotoka huko,nitakwenda Mwanza. Nitafika Misungwi na kufanya 'ushushushu' wa kutosha kumhusu Makonda. Nitachimba kila jambo linalomhusu.
Cheti kisipoanikwa hadharani na mhusika ndani ya siku 30 kuanzia kesho,nitayaanika yote ambayo nitayapata kule Kolomije, Misungwi mkoani Mwanza na kwingineko. Nisije kulaumiwa nikianika hadi yale ambayo hayapo katika mjadala kwasasa. Kama unatakiwa ushahidi, endapo kutabaki kuwa kimya hata kwa anayetuhumiwa,ushahidi utawekwa hapa. Atakayeutaka,ataupata hapa.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Daudi ndio habari ya mjiniSana tu na Jana nilikuwa nae
lukesam pole sana Ndugu yangu, kelele kuhusu elimu ya Mbowe zilishapigwa sana humu, wengi waliishia kutukanwa kuwa elimu si kitu, ila ndio hao hao wanaomtukana sana Makonda, hapo ndio utaona nguvu ya unyumbxxx.Kwasababu tuna nia njema tuanze na hili..nyie mlikuwa wapi kuanzisha la Mbowe?
Tulimalize hili kwanza ndipo tumuendee Mbowe..