Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Mbona unakuwa mzito kuelewa.

Unataka tuweke cheti gani?

Unaambiwa Hana cheti cha form four kwani alipata ZERO.

Ila cha ajabu ana degree kwahiyo tunataka atuoneshe cheti cha form four kilichompa sifa za kuendelea na masomo baada ya kupata ile zero.
Weka hayo matokeo ya Form four yanayoonesha alipata zero.

Na Mimi najua Division zero hakuna cheti kutoka NECTA

Ila Askofu Gwajima amewatangazia waumini wake kuwa vyeti anavyo na alipewa NECTA

Najiuliza NECTA huwa wanagawa vyeti vya watu kwa watu wengine?

Najiuliza NECTA wameanza kutengeneza vyeti vya Division zero?
 
Mtumishi anaajiriwa kwa kutumia vyeti vyake, Je mkuu wa mkoa unahitaji cheti ?
Vipi kuhusu suala la Mbowe kuingia A level huku amezungusha form 4 na A level penyewe si haba akazungusha tena ZERO. Je tangu form 4 failure anaruhusiwa kuingia A level ?
Mkuu naona akili zako umezifungia Magogoni. Hapo ulipo unasuruali tu. Kwa taarifa yako RC ni mtumishi wa umma na ndo maana akifikia umri wa kustaafu anastaafu. Tofauti na watumishi wengine ni kuwa yeye ni mtumishi mteuliwa na Rais.

Kwa hivyo kwa namna yoyote ile issue ya vyeti na ya kugushi ni jinai kwake. Mara baada ya uteuzi iwe ni RC, DC, RAS au katibu mkuu huwa wanawasilisha cv na vyeti vyao kukaguliwa kulingana na level zao za elimu ambazo kwazo aliyewateua kazifanyia veting. Sasa baada ya uteuzi ikithibitika kaghushi ni aibu kubwa sana
 
Mwigulu hakufeli bali aliacha shule kwenda kuchunga mbuzi, kisha akarudi shule kwa jina hilo, alisoma yeye mwenyewe, akafaulu, akasoma shule ya vipaji Ilboru, akatoka na Div one kali, akaenda chuo kikuu akatoka na 1st Class akaajiriwa BOT.

Daudi Albert Bashite alisoma kijijini akafeli, akaenda kurudia mjini, akafeli, akapiga dili kuchukua nafasi ya mtu aliyepasi hivyo akasoma shule ya serikali kwa jina jingine, akapata Div 0. Ndipo mrembo Christina akampa cheti cha kaka yake Paul Christian alichowasilisha kusomea chuo.

Makonda amefoji jina na kufoji cheti, Mwigulu amesomea jina la mtu mwingine.
Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli
Paskali
Hivi hii ID inatumiwa na mtu mmoja,mbona ni balaa
 
Hoja haina mashiko ndiyo maana Serikali inaendelea na wajibu wake wa kila siku.

Issue hii ni more personal na jamii maana wenye mamlaka walishapitia na kumpa position baada ya kuridhika na sifa zake binafsi na za kitaaluma.

Sasa kujibu napo ni personal anaweza kujibu akiamua au asijibu pia hakuna wa kumshinikiza.
double standards!!!!!!!!!!!!
 
Weka hayo matokeo ya Form four yanayoonesha alipata zero.

Na Mimi najua Division zero hakuna cheti kutoka NECTA

Ila Askofu Gwajima amewatangazia waumini wake kuwa vyeti anavyo na alipewa NECTA

Najiuliza NECTA huwa wanagawa vyeti vya watu kwa watu wengine?

Najiuliza NECTA wameanza kutengeneza vyeti vya Division zero?
result slip ni nini ? tamko au.....?!
 
Mkuu naona akili zako umezifungia Magogoni. Hapo ulipo unasuruali tu. Kwa taarifa yako RC ni mtumishi wa umma na ndo maana akifikia umri wa kustaafu anastaafu. Tofauti na watumishi wengine ni kuwa yeye ni mtumishi mteuliwa na Rais.

Kwa hivyo kwa namna yoyote ile issue ya vyeti na ya kugushi ni jinai kwake. Mara baada ya uteuzi iwe ni RC, DC, RAS au katibu mkuu huwa wanawasilisha cv na vyeti vyao kukaguliwa kulingana na level zao za elimu ambazo kwazo aliyewateua kazifanyia veting. Sasa baada ya uteuzi ikithibitika kaghushi ni aibu kubwa sana
Aibu kubwa kupita maelezo....!!!

Unascore division zero halafu uneletea zarau watumishi wenye vyeti safi waliovujaa jasho kuvipata.
 
Majina yake sisi hayatusaidii kitu ila makonda nikiongozi bora mtetezi wa wanyonge anatufaa full stop
RC ni mtumishi wa umma hilo tulijue pamoja na kuwa ni mteule wa Rais na kuwa uteuzi wake haufuati vigezo.

Nachokishangaa ni kuwa wale mnaomtetea RC mkumbuke kuwa Rais alishaapa kuhakikisha wale wenye vyeti feck na vya kughushi au kununua kuwashughulikia ipasavyo na tayari kazi hii imechukua sura ya uhakiki wa watumishi hewa. Tukumbuke pia kuwa mchakato huu umesimamisha ajira na promotion za watumishi wa umma.

Hembu tunaomtetea RC kwa kughushi vyeti tuambieni u serious wa Serikali hii kuhusu hili kama maafisa wateule makanali wa jeshi wamefukuzwa kazi RC wa Dar ni nani? Tukumbuke kuwa huu ni ufisadi pia na ni jinai. Kama kweli serikali hii ina nia ya dhati ya kupambana na ufisadi huu nao ni ufisadi. Kiongozi lazima uwe mwadilifu
 
Naona umetumwa.Huwezi kubadilisha huu upepo,tunataka ajitete mwenyewe kwa kuonyesha vyeti vyake halisi.Kama vya nchemba ni fake unajua wewe siyo sisi.ole wako akusome humu.
Nafikiri namjua zaidi huyo unayesema ATANISOMA!
Mada ni kuwa tuache selective amnesia!
 
Mmmh wewe bwana kunatofauti kubwa kati ya vyeti vya Mwigulu na Makonda.Kwamba Mwigulu alipofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mara ya kwanza hakuchaguliwa (ikumbukwe huko nyuma kupata nafasi ya kwenda sekondari halikuwa jambo jepesi hata kama alama zako zilikuwa zinatosha) alichofanya Mwigulu ni kurudia shule ili afanye mtihani wa darasa la saba kwa mara ya pili na ili kurudia shule ya msingi alilazimika kutafuta jina la mtoro mmoja katika shule fulani ili alitumie kwa kuwa serikali ilifuta utaratibu wa kurudia shule kuanzia mwaka 1979, lakini ikumbukwe kabla ya hapo watu wengi waliohitimu elimu ya msingi walikuwa wanarudia tena bila kuhitaji jina la mtoro wa shule bali ilikuwa unabadili jina tu. Kwa hiyo Mwigulu katika awamu hii akapata bahati akachaguliwa kuendelea na shule hadi alipo komeshea ingawa mpaka sasa huyu bwana bado anaendelea kujisomea. Inavyosemwa kwa Makonda ni kwamba alipofanya mtihani wake wa kidatu cha nne akataga kwa maana hiyo mlango wake kwa ajili ya elimu ya juu ulikuwa umefungwa vinginevyo ilikuwa ni kurudia mtihani wa kidatu cha nne akiwa mtahiniwa wa kujitegemea,badala yake inasemwa ametumia mlango wa mtu mwingine kuendelea na shule jambo ambalo haliruhusiwi kiutaratibu na ndipo shida inaanzia.Alichofanya mwigulu watu wengi walioko madarakani na maofisini walifanya nakumbuka kuna jamaa mmoja alirudia na kufanya mtihani wa darasa la saba mara 3, hii ya tatu akabahatika kuchaguliwa na miaka ya karibuni amehitimu degree akitokea kibaruani.
Mkuu nakuelewa sana na umejibu VIZURI tena kwa ufasaha. Ila swali linabaki
Kutumia jina la MTORO na kutumia JINA LINGINE bado ni katika LIGI MOJA ya kutafuta kufanikiwa maishani pasipo KUVUNJA SHERIA.

Wanaosema Makonda amaevunja sheria HAWANA ushahidi.
Na inabaki ni MADAI tu yasiyo na msingi.
 
Acha kuongea kama vile umetoka msalani bila kuchamba. Hatumtuhumu mtu kwa sababu alifeli. Mbowe, Ole sendeka, Lusinde, na wengineo ambao wako kwenye siasa na hawana elimu ya kutosha hao tunawajua. Na hawajafoji vyet vyao lakini kisiasa bado wamefanikiwa. Kinachoshughulikiwa hapa ni kufoji au kughushi cheti. Hili suala kisheria ni kosa na mhusika anatakiwa aende jela, haina mjadala. Acha kujitoa ufahamu, kana kwamba una akili za samaki
Can yu proove tht amefoji cheti?. Tatizo hii nchi inavilaza wanaoamin maneno yatokayo mdomon tu kisa yameifavour itikadi anayoiamini. Ndio maana kuna watu wanaitwa nyumbu.
 
Majina yake sisi hayatusaidii kitu ila makonda nikiongozi bora mtetezi wa wanyonge anatufaa full stop
wanyonge wapi hao unaosemea?Kukosa vyeti ni kukosa elimu na pengine kukosa fikra sahihi ndio maana akachagua njia ya wasomi huku sio msomi. Mtaondoka wote nyie,wenye nchi watakuja ichukua nchi very soon.Ndipo neema ya nchi itaonekana.
 
Can yu proove tht amefoji cheti?. Tatizo hii nchi inavilaza wanaoamin maneno yatokayo mdomon tu kisa yameifavour itikadi anayoiamini. Ndio maana kuna watu wanaitwa nyumbu.

Heri nyumbu anayejitambua kuwa ni nyumbu kuliko nyie nyumbu msiojitambua. Umejileta kwenye agenda ya kuprove.... Ok welcome. Makonda alivyomtukana yule mama na kumwita ni kichaa alishaprove kuwa ni kichaa siyo? Makonda alivyotaja list ya wahusika wa madawa alikuwa ameprove siyo? Mkuki kwa nguruwe mtamu kumbeeeeee,, hiloooooooooooooooooo, unalo babu.... shombo hilooooooooo. Tumeshawazoea nyie. Ila najua kosa siyo la mbwa, ila la mwenye mbwa.
 
Can yu proove tht amefoji cheti?. Tatizo hii nchi inavilaza wanaoamin maneno yatokayo mdomon tu kisa yameifavour itikadi anayoiamini. Ndio maana kuna watu wanaitwa nyumbu.

Alafu achaga ujinga, kama sio ulofa. Ok, i will prove to you that Makonda alifoji cheti, if and only if wewe utakuja kuprove kuwa hajafoji vyeti. Acha mipasho yako ya Lumumba nasikia siku hizi hamupewi buku 7.
 
Can yu proove tht amefoji cheti?. Tatizo hii nchi inavilaza wanaoamin maneno yatokayo mdomon tu kisa yameifavour itikadi anayoiamini. Ndio maana kuna watu wanaitwa nyumbu.
Tatizo Huyo kilaza wenu anaweka watu vilaza zaidi yake kama nyie kuja kumtetea humu.. Na nyie mnafanya kazi kwa hisani ya GSM? Pathetic
 
Heri nyumbu anayejitambua kuwa ni nyumbu kuliko nyie nyumbu msiojitambua. Umejileta kwenye agenda ya kuprove.... Ok welcome. Makonda alivyomtukana yule mama na kumwita ni kichaa alishaprove kuwa ni kichaa siyo? Makonda alivyotaja list ya wahusika wa madawa alikuwa ameprove siyo? Mkuki kwa nguruwe mtamu kumbeeeeee,, hiloooooooooooooooooo, unalo babu.... shombo hilooooooooo. Tumeshawazoea nyie. Ila najua kosa siyo la mbwa, ila la mwenye mbwa.
Una proove kuwa n nyumbu.
Hv ukiulizwa kwann umeua utajibu mbona fulan naye aliua.Hz n siasa dogo akili kumkichwa, unatakiwa ujue kuwa gwajima hampend makonda, Mbona hata yy alimtus pengo hadharan.

Chamsing aproove syo kudanganya raia,
 
Nina swali hivi vyeti au hii process ya kununua majina au nafasi uwa inagharimu kiasi gani? Na je form 4 Makonda ambaye anatoka familia maskini sana aliwezaje kupata hela ya kununua hiyo nafasi/jina/cheti?
Nani kakuambia alinunua cheti?
 
Una proove kuwa n nyumbu.
Hv ukiulizwa kwann umeua utajibu mbona fulan naye aliua.Hz n siasa dogo akili kumkichwa, unatakiwa ujue kuwa gwajima hampend makonda, Mbona hata yy alimtus pengo hadharan.

Chamsing aproove syo kudanganya raia,

Hivi nyie mafisiem mbona hamchoki? Mimi ningekuwa Bashite ningejitokeza fasta, to cheti watu wanyamaze. Kwa akili yenu Makonda kufoji cheti siyo issue, lakini akifoji mwingine ni issue. Huo ni ulimbukeni. Mimi ni mtanzania ninayeishi kwa jasho langu halali. Nimeshawahi kufuatwa na watu tangu nasoma kuwa ukitaka mambo yako yanyooke baki CCM, kumbe ndo hayo. Nashukuru sikuwa na akili zenu hizo za samaki
 
Tatizo Huyo kilaza wenu anaweka watu vilaza zaidi yake kama nyie kuja kumtetea humu.. Na nyie mnafanya kazi kwa hisani ya GSM? Pathetic
Mdomo wa gwajima ni mchafu ulimtukana pengo hadharan. N unyumbu kuuamin mdomo ule bila ushahidi.
 
Alafu achaga ujinga, kama sio ulofa. Ok, i will prove to you that Makonda alifoji cheti, if and only if wewe utakuja kuprove kuwa hajafoji vyeti. Acha mipasho yako ya Lumumba nasikia siku hizi hamupewi buku 7.
Tatizo bado ukilaza unao.
Huwez kumshutumu mtu af umwambia kuwa athibitishe uhusika wake, mtoa tuhuma athibitishe. Makonda atopata mda wa kujibu kashfa ya kila mtu bcz ya majukumu.
 
Back
Top Bottom