Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.

Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu.

AzamTv amkeni kutoka kwenye usingizi mzito, njooni mjichukulie alama 3 muhimu
Baadhi ya mechi tutazitizama tu TBC KBC UBC K24 na ktn lazima zionyeshe
 
Back
Top Bottom