Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara.
Hii ni baada ya kuona hayati JPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato.
Kulamba asali ndio mtindo unaotumika sasa kukamua rasilimali za umma.
Kwa nini hali inazidi kuwa mbaya kwa kila nyanja ya kiuchumi hapa nchini? Huduma za afya bila pesa zimekuwa ngumu kupata hata ukiwa na pesa hupati na madawa hakuna. Huu ni mfano tu.
Miradi ya kimkakati kama wa SGR, JNHP na Kusambaza maji toka Ziwa Victoria sasa ni hadithi tena. Maana hata kumaliza kipande cha Dar Moro cha SGR ni hadithi.
Vipi kuhusu hao wanyama pori watakaonza kupanda madege hivi punde?