Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

Naandika nafuta.. Naandika nafuta! Dah! Nikae kimya kwanza, ngoja chawa waamke.. Nachojua hawatokuja na hoja zaidi ya kukuita "Sukuma Gang", " Mtetea legacy" mwishoe watafika mbali nakusema umfate ukazikwe nae... All in all, TUMEPIGWA!
Duh
 
Acha wehu wewe mjinga,angekuwa ameongeza mapato ndio sgr ya km 200 ingemshinda kuikamilisha kwa miaka 5?

Aliwafumbuaje macho ikiwa ajira,madaraja na salary zilimshinda?

Kwa hiyo miaka 5 alikuwa anafanya nini ikiwa kila anafanya Samia na ameongeza vingine vingi ikiwemo maelfu ya ajira ?

Mwendazake amekuta mapato ya TRA ni bil.900 kwa mwezi mwaka 2016 anaondoka mwaka 2020 ni Til.1.3 ..(ameongeza bil.400 kwa miaka 5)

Samia amekuta hiyo 1.3 kwa mwezi 2020/2021 hadi sasa tunaongea mapato ya mwezi ni 1.8 Tilion yaani ongezeko la bil.500 kwa mwezi ndani ya mwaka mmja tuu..

Hakuna Rais tulipigwa kama Mwendazake,si tuu alikuwa hana akili bali alikuwa mharibifu .
Unapenda kuongea pumba
 
Mapigo haya ya shingo mkuu ummaliza adui haraka sana.[emoji23][emoji23][emoji2]
 
Kwa akili ndogo za Mwendazake zilizoishia kujitutumua tuu,mambo makubwa kama haya yalikuwa nje ya uweso wake..

Unazungukwa na watu waliokotezwa barabarani watakusaidia nini?

Huu mradi ukianza utekelezaji wake 2027 , Tanzania itakuwa nyingine kabisaa maana thamani yake ni bajeti nzima ya Tanzania ya mwaka[emoji116]
Aiseee!Mama ni mashine hasa.
 
Aiseee!Mama ni mashine hasa.
Na bila propaganda wala vitisho..

Niko hapa kujibu kwa ushahidi uzushi wote unaofanywa na Sukuma gang👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220605-084742.png
    Screenshot_20220605-084742.png
    111.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220604-131658.png
    Screenshot_20220604-131658.png
    71 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220604-130359.png
    Screenshot_20220604-130359.png
    88.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220604-121256.png
    Screenshot_20220604-121256.png
    97.6 KB · Views: 6
Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara.

Hii ni baada ya kuona hayatiJPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato.

Kulamba asali ndio mtindo unaotumika sasa kukamua rasilimali za umma.

Kwa nini hali inazidi kuwa mbaya kwa kila nyanja ya kiuchumi hapa nchini? Huduma za afya bila pesa zimekuwa ngumu kupata hata ukiwa na pesa hupati na madawa hakuna. Huu ni mfano tu.

Miradi ya kimkakati kama wa Sgr, JNHP na Kusambaza maji toka ziwa Victoria sasa ni hadithi tena. Maana hata kumaliza kipande cha Dar Moro cha Sgr ni hadithi.

Vipi kuhusu hao wanyama pori watakaonza kupanda madege hivi punde?
Tumepigwa vibaya mno!
 
Kwa akili ndogo za Mwendazake zilizoishia kujitutumua tuu,mambo makubwa kama haya yalikuwa nje ya uweso wake..

Unazungukwa na watu waliokotezwa barabarani watakusaidia nini?

Huu mradi ukianza utekelezaji wake 2027 , Tanzania itakuwa nyingine kabisaa maana thamani yake ni bajeti nzima ya Tanzania ya mwaka[emoji116]
Hata JK aliwahi kusaini. Zaidi watu wa mtwara wakafa na wengine kupata ulemavu wa kudumu.
 
Hata JK aliwahi kusaini. Zaidi watu wa mtwara wakafa na wengine kupata ulemavu wa kudumu.
Usimsingizie JK, Mwendazake ndio alikuwa muuaji..

Ni Kazi tuu 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-130518.png
    Screenshot_20220604-130518.png
    180.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220604-130926.png
    Screenshot_20220604-130926.png
    96.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220604-095319.png
    Screenshot_20220604-095319.png
    91.7 KB · Views: 3
Nitakua wa mwisho kuamini Kama mwendazake kiwango Cha ubadhilifu kwenye fedha za umma kilipungua asilimia 99%, yule alikua hakwapui bali alijichotea tu pesa atakavyo
Samia kakata ulaji wa Sukuma gang 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220520-171316.jpg
    Screenshot_20220520-171316.jpg
    116.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220415-072852.jpg
    Screenshot_20220415-072852.jpg
    122 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    49.3 KB · Views: 3
Chato tutaenda kwa mamilioni, nasema!!!! mamilioni wacha watete.

Dunia itajua kuwa Watanzania hatutaki kuchezewa. Ngoja tuanze na hawa CCM 2025. Tunavyoona na kusikia hawachaguliki.

Aluta Continua.
Kajipange 2050 😄😄👇👇
 
Attachments

  • Polish_20220604_161114722.png
    Polish_20220604_161114722.png
    34.6 KB · Views: 4
Ni collusion ya nguvu ambayo imeundwa na mtandao wa wanaCCM waliopo madarakani na wapinzani uchwara.

Hii ni baada ya kuona hayatiJPM aligundua mianya ya upigaji na akadhibiti ukusanyaji mapato.

Kulamba asali ndio mtindo unaotumika sasa kukamua rasilimali za umma.

Kwa nini hali inazidi kuwa mbaya kwa kila nyanja ya kiuchumi hapa nchini? Huduma za afya bila pesa zimekuwa ngumu kupata hata ukiwa na pesa hupati na madawa hakuna. Huu ni mfano tu.

Miradi ya kimkakati kama wa Sgr, JNHP na Kusambaza maji toka ziwa Victoria sasa ni hadithi tena. Maana hata kumaliza kipande cha Dar Moro cha Sgr ni hadithi.

Vipi kuhusu hao wanyama pori watakaonza kupanda madege hivi punde?
Unapiga haya makelele ukiwa Dar mbele ya computer yako, kwa aina hii ya uandishi sidhani kama unatembea Tanzania na kujionea hiyo miradi yote aliyoiacha hayati JPM namna inavyofanikishwa mmoja baada ya mwingine.

Umejawa na ule ushabiki mandazi wa kuamka asubuhi na kutazama vichwa vya magazeti vinasemaje na unaanzisha mijadala mbele ya wanunuzi!.

Tembea huko mikoani uone namna pesa ilivyotafutwa huko nje inavyotumika katika kumalizia viporo vya miradi ya zamani na kuanzisha mipya.
 
Back
Top Bottom