Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

Naandika nafuta.. Naandika nafuta! Dah! Nikae kimya kwanza, ngoja chawa waamke.. Nachojua hawatokuja na hoja zaidi ya kukuita "Sukuma Gang", " Mtetea legacy" mwishoe watafika mbali nakusema umfate ukazikwe nae... All in all, TUMEPIGWA!
Duh
 
Unapenda kuongea pumba
 
Mapigo haya ya shingo mkuu ummaliza adui haraka sana.[emoji23][emoji23][emoji2]
 
Aiseee!Mama ni mashine hasa.
 
Aiseee!Mama ni mashine hasa.
Na bila propaganda wala vitisho..

Niko hapa kujibu kwa ushahidi uzushi wote unaofanywa na Sukuma gangπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220605-084742.png
    111.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220604-131658.png
    71 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220604-130359.png
    88.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220604-121256.png
    97.6 KB · Views: 6
Tumepigwa vibaya mno!
 
Hata JK aliwahi kusaini. Zaidi watu wa mtwara wakafa na wengine kupata ulemavu wa kudumu.
 
Hata JK aliwahi kusaini. Zaidi watu wa mtwara wakafa na wengine kupata ulemavu wa kudumu.
Usimsingizie JK, Mwendazake ndio alikuwa muuaji..

Ni Kazi tuu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220604-130518.png
    180.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220604-130926.png
    96.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220604-095319.png
    91.7 KB · Views: 3
Nitakua wa mwisho kuamini Kama mwendazake kiwango Cha ubadhilifu kwenye fedha za umma kilipungua asilimia 99%, yule alikua hakwapui bali alijichotea tu pesa atakavyo
Samia kakata ulaji wa Sukuma gang πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220520-171316.jpg
    116.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220415-072852.jpg
    122 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    49.3 KB · Views: 3
Chato tutaenda kwa mamilioni, nasema!!!! mamilioni wacha watete.

Dunia itajua kuwa Watanzania hatutaki kuchezewa. Ngoja tuanze na hawa CCM 2025. Tunavyoona na kusikia hawachaguliki.



Aluta Continua.
Kajipange 2050 πŸ˜„πŸ˜„πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Polish_20220604_161114722.png
    34.6 KB · Views: 4
Unapiga haya makelele ukiwa Dar mbele ya computer yako, kwa aina hii ya uandishi sidhani kama unatembea Tanzania na kujionea hiyo miradi yote aliyoiacha hayati JPM namna inavyofanikishwa mmoja baada ya mwingine.

Umejawa na ule ushabiki mandazi wa kuamka asubuhi na kutazama vichwa vya magazeti vinasemaje na unaanzisha mijadala mbele ya wanunuzi!.

Tembea huko mikoani uone namna pesa ilivyotafutwa huko nje inavyotumika katika kumalizia viporo vya miradi ya zamani na kuanzisha mipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…