Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

Magufuli sio hayati ni Mwendazake hayati ni kwa watu wema mashuhuri kama sokoine nyerere mkapa nelson mandela nk
 
Hili la wanyamapori limenigusa Sana.
We are selling our pride. Unauza mnyama anaenda kuingiza fedha kwenye nchi za watu, huku wewe unalipwa fedha ambayo utaitumia siku mbili ikaisHa.
Hatuna utofauti na akina chifu mangungo msovero.
 
collusion ndio kitu gani?
 
Mbaya zaidi wapinzani wote wamekua machawa wa mama, nilitegemea hili swala la kuuza wanyama wangelikemea, lakini wako kimya Kama hakuna kinachoendelea.
Inshort upinzani umekufa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mbaya zaidi wapinzani wote wamekua machawa wa mama, nilitegemea hili swala la kuuza wanyama wangelikemea, lakini wako kimya Kama hakuna kinachoendelea.
Inshort upinzani umekufa.
Mnawasubiri wapinzani wawasaidie kwa sababu ipi,wakati kila siku mnawananga,na kura hamuwapi.
Kila mtu atakula alikopeleka mboga. Sio kazi Tanga mshahara Dar.
 
Mbaya zaidi wapinzani wote wamekua machawa wa mama, nilitegemea hili swala la kuuza wanyama wangelikemea, lakini wako kimya Kama hakuna kinachoendelea.
Inshort upinzani umekufa.
Mumlaumu Yule kichaa aliyeko motoni Kwa kujaza vilaza mjengoni, ulitaka wapinzani wazungumzie wapi? Tumia hata hiyo akili kiduchu uliyobakishiwa
 
Mnawasubiri wapinzani wawasaidie kwa sababu ipi,wakati kila siku mnawananga,na kura hamuwapi.
Kila mtu atakula alikopeleka mboga. Sio kazi Tanga mshahara Dar.
Wamebakia kulialia tu hawana jipya lolote la maana.
 
Hawa wana wivu na maumivu ya moyo kama wake wenza vile. Ni wa kusamehe bure tu.
 
Hawa wana wivu na maumivu ya moyo kama wake wenza vile. Ni wa kusamehe bure tu.
Wakiona vishindo kama hivi vya SSH wanachanganyikiwa na kujiuliza anawezaje bila kupayuka na kutukana?👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220605-133355.png
    209.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-133559.png
    177 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-112357.png
    137.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-112258.png
    170 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-112108.png
    146.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220604-201519.png
    186.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220604-083007.png
    95.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220603-131510.png
    152.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220603-131727.png
    160.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220603-131704.png
    125.9 KB · Views: 5
Aina Hii miradi ninaogopa sana,hatuna wanasheria wanaojua kiwango hicho cha mikataba,hakuna eng wa kutosha kufahamu content zote za mkataba,dah naogopa
 
Aina Hii miradi ninaogopa sana,hatuna wanasheria wanaojua kiwango hicho cha mikataba,hakuna eng wa kutosha kufahamu content zote za mkataba,dah naogopa
Serikali Ili hire reputable law company kusaidia ku negotiate.
 
Hivi kwa akili ya kawaida ujichotee pesa alafu ufanye makubwa namna ile kwa miaka mitabo?
Mkuu ,we ACHA tu kwani mfano mdogo Kama alikua hachoti , izo pesa kuonga wabunge ,madiwani alikua anatoa mifukoni kwake,
Je Ayo mamiradi, mandege anajua nini kulikua nyuma ya pazia? Vipi ile Trion 3 , ya GAG ilitumika wapi?
 
Ngoja waje waramba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…