Baada ya Hayati Magufuli kulifumbua macho taifa juu ya mapato ya umma yaliyokuwa yanaibiwa huko nyuma. Sasa yanatafunwa kupitia janja ya kulamba asali

Samia hana vishindo, anafanya mengi sana bila ya dunia kutetemeka, bila ya mtu kufungwa jela, bila ya kudhalilisha mkurugenzi fulani wa halmashauri, bila ya kuumiza hao hao wanaompigia kura.
Mambo ni moto πŸ”₯πŸ”₯
 

Attachments

  • Screenshot_20220605-153300.png
    192.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-144839.png
    132.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-144850.png
    66.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-144918.png
    107.3 KB · Views: 4
Inasikitisha sana...

Alafu matajiri washona njia ya kutakatisha fedha ni kuziwekeza kwenye vituo vya mafuta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…