Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

hili kanisa la mpinga Kristo, imagine, barua nzima inatangazwa na dhehebu kumuombea marehemu, lakini hawajaweka mstari wowote wa Biblia to back up their activity. ilitakiwa waseme, siku fulani tutamwombea marehemu fulani au misa kwa ajili ya mtufulani kwa mujibu wa kitabu fulani cha Biblia. kiufupi ni kwamba, hakuna mstari wowote kwenye Biblia unaoruhusu kuombea wafu au kuomba kwa wafu. Mtu akishakufa, kilichobaki kwake ni hukumu tu aidha aende motoni au uzimani, ninyi mlioko hapa duniani hata mumuombee namna gani mnapoteza muda wenu, yeye alitakiwa kutubu alipokuwa mzima.

hata akili ya kawaida tu, kama kungekuwa na kuombewa baada ya kufa uwekwe mahali pema, kusingekuwa na wito wa kuokoka au kumpokea Yesu, kwasababu hata ukifa na dhambi hasa wewe uliye maarufu au tajiri, ungeita tu padre akuombee usamehewe dhambi huko uendako. Yesu angesemaje sasa tukeshe na kuwa tayari? hata usipokuwa tayari si watakuombea ukifa?

Kanisa katoliki limepotosha wengi hadi hawataki kuokoka kwasababu wanalitegemea litawaombea wakifa. hili pia limefanya mapadre kuwa miungu watu, usipoenda jumuiya wanasema hatutakuzika, au hatutakuombea misa kama hizi, yaani wao ni kama wamejipatia mamlaka ya aidh akuingiza mtu mbinguni au kumzuia asiingie, jambo ambalo kwenye Biblia halipo. watu wengi wanashindwa kuokoka wakiogopa hawataombewa, mnapotoka.

Kanisa hili sio lile la mitume, shetani alishaingilia kati akalichuja. ukichukua kanisa la kitabu cha Matendo (ambalo ndilo kanisa la mitume) ukalinganisha na hili la sasaivi, hakuna hata vinavyolingana, siasa na serikali za wafalme wa dunia ziliingilia kati zikaliharibu kabisa. USHAURI WANGU KWENU WAKATOLIKI, nafasi ya uzima Mungu amewapatia, itumieni kwanza kabisa kwa kulikimbia hilo dhehebu, lipo kinyume na Neno la Mungu, pili, mnatakiwa kuokoka, Kitabu cha matendo chote kimeiimba kuokoka, muokoke ili msiende jehanum, dhehebu lenu limewaweka watumwa na mpo kifungoni, hamumuoni Mungu maishani mwenu na bado mnasali hapo, kwa kifungo cha kuzikwa na kuombewa mkifa, mnakataa wokovu na vipawa vyote vya Mungu, mnang'ang'ania dhehebu, Mungu anawaonya mbadilike, mngali na nafasi.

Ufunuo 14:13 inasema, Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, andika, heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

hapo mwishoni anasema, "matendo yao yafuatana nao", manake, yale uliyoyatenda duniani ndiyo yatakayokuchagulia wapi uende ukifa, motoni au uzimani.

Waebrania 9:27 inasema, Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.

Ndugu zangu, Biblia imeweka wazi, heri wafu wafao katika Bwana maana wataenda na matendo yao, Msipoteze muda kwenda kumuombea magufuli, siku ile anakufa ndio ilikuwa deadline yake hapa duniani ya kutengeneza na Mungu,kama alifanikiwa kutengeneza na Mungu kwa kutubu dhambi, heri yake, ila kama hakutengeneza, alienda na matendo yale yaliyoishia siku ile alipokufa. vivyo hivyo hata ninyi mkifa ndio deadline ya kutengeneza na Mungu. HAKUNA MWANADAMU ATAKAYEKUOMBEA ukifa usamehewe, hayupo, unasamehewa kwa kutubu dhambi, haujatubu unaenda na matendo yenu. hili suala la kuombea wafu ati Mungu awaweke pema, ni la kishetani na lengo ni kutaka watu wabaki katika dhambi wakitegemea kanisa litawasaidia kutubu dhambi wakifa, jambo ambalo ni la uongo na shetani amewakamatia hapo. ukifa unaenda na matendo yako, na baada ya kifo kinachofuata ni hukumu.
We nae na huo ulokole wako!! Usilazimishe watu kuokoka Kila mtu aamini anachoamini
 
Walokole wajuaji sana, wakatoliki kufanya mambo yao unawaita wapinga Kristo..

Wewe haya mamlaka ya kuhukumu wengine ulipewa na biblia ipi? tuwekee hilo andiko hapa.

Muachage ujinga.
 
Serikali na chawa wa Msoga ndio wanazidi kumfanya JPM azidi kuwa hai, vijembe na chuki dhidi ya JPM ndio vitazidi kumuweka hai na legacy yake kuongelewa.
Msoga inalaumiwa kwa kutimua vumbi hadi kwny matope

Wapo waliomlaumu Mkwere kwa JPM kuwa Rais

Hao hao tena wakaja kulaumu kuwa JK hataki JPM awe Rais

Wapo waliomlaumu tena Mkwere kwa kumpendelea Lowassa na kundi lake na Makala wakaandika kuwa anapendelea Kundi lake la Mtandao

alipowasikiliza akalipiga chini kundi lake wakaja tena kulaumu hana shukran kasaliti Rafiki zake

Wapo waliomlaumu JK kwa kulazimisha Mchakato wa Katiba aumalize wakati wake ili apate sifa peke yake

akasikiliza akaachia pale pale ili wengine waje wakitaka kumalizia au kuanza upya watajua wenyewe

miaka 9 baadae wale wale walioshauri asitishe mchakato ndio wanalaumu kwanini hakumalizia

Msiban Kule Masaki akichelewa kwa siku 2 tu kutokea Msiban maneno wakaanza hata Msiban anaona aibu kuja, alipoenda eti kufuata nini ?

Huyu Jamaa asingepewa roho ya kupuuza angekuwa kimbaumbau kwa gubu la mitandaoni kuliko Mstaafu yule Mzee wa Kijiti na Sigara kali pale Mikocheni
 
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.

Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.

Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayoView attachment 2939575
Sababu magufuli alikua anaongea kutoka moyoni kabisa tofauti na mizoga mingine ...alipo sema anachukia umasikini wa watanzani alimaanisha haswa ...na alipo sema anachukia wenye nguvu kuonea wanyonge alimaanisha haswa
 
Nanyinyi si mnayo mizoga yenu ya wema awafi kwanini msiiombee ....mnao mzoga wa yule mzee aliye dinya hadi mama yake mzazi na kugawa loliondo kwa muarabu muombeeni huyo mnao mzoga wa msoga gang wa niguse kinuke kauombeeni huo
 
Mkuu udini ni mbaya sana ndugu kamwe hawezi kukupeleka mahali salama.

Lipi kosa hapo walilofanya?..Kumuombea mfu napo ni kosa ama ina ukomo wa maombi kwamba maombi ni mara moja tu na sehemu fulani tu?

Hizi dini tulizaliwa tukazikuta ndugu yangu tusipende kujifanya kuwa tunazifahamu sana zaidi ya waasisi.

Kila mtu aheshimu imani yake bila kumkwaza mwingine na tuwe na kiasi pia huku tukikumbuka kuwa tutakufa tukiziacha na kuwaachia wengine. Kamwe dunia haiwezi kuwa imani moja.
 
Sababu magufuli alikua anaongea kutoka moyoni kabisa tofauti na mizoga mingine ...alipo sema anachukia umasikini wa watanzani alimaanisha haswa ...na alipo sema anachukia wenye nguvu kuonea wanyonge alimaanisha haswa
Kiongozi muadilifu anatakiwa kupigania haki za watu wote bila ya kujali ni ya Mnyonge au Tajiri ?

Wanyonge wakivamia mali halali ya Tajiri unatakiwa kuwa Jasiri kuwafurusha na kumtetea Tajiri bila ya kujali athari za kisiasa kwa kupoteza umaarufu
 
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.

Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.

Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayoView attachment 2939575
Wachiwe wafanye hata ingekuwa wanazunguuka nchi nzima ni jambo jema!
 
the church labda knows more kilichotokea kwa mpendwa wao, hakuna mahali niliposema waislamu wamehusika usinilishe maneno …
 
Nanyinyi si mnayo mizoga yenu ya wema awafi kwanini msiiombee ....mnao mzoga wa yule mzee aliye dinya hadi mama yake mzazi na kugawa loliondo kwa muarabu muombeeni huyo mnao mzoga wa msoga gang wa niguse kinuke kauombeeni huo
Kifua chako kimehifadhi chuki sana inaonekana

Hayo ni maradhi kama ilivyo UTI na mengine

wahi kwny Clinic ya Maombi na Dua ili upate rehma za Mola wako

kuna watu ukisoma comment zake mbili tatu tu unaona alichohifadhi kifuani
 
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.

Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.

Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayoView attachment 2939575
Wasio na akili siku zote huwa na hofu kubwa wanapoona jambo chanya linafanyika. Wao kutwa kuchwa ni kuhubiri chuki
 
Hivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Waache wafu wawazike wafu wao.
Waache marehemu waombeane.

kwani wamekudhuru?
 
Magufuli anawatesa sana, nimeanza kuamini sasa, kwanini uteseke Hayati akiombewa? tena ulivyo mpuuzi kabisa unayaelekeza hayo maombi kwenye udini!.

Kwamba unataka akiwepo "ndugu yako katika imani" madarakani ndio wenye imani nyingine wasifanye mambo yao?

Hopeless kabisa.
Huenda akawa shoga huyu mpuuzi
 
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.

Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.

Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayoView attachment 2939575
Kwani Nyerere pia alifariki tarehe hizihizi?
 
Back
Top Bottom