Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Unajitoa tu akili hizo dini zimeenezwa kwa upanga sembuse magufuli kueneza ideology yake kwa nguvuHivi kuna uwezekano siku moja JPM nae atakuwa anafanyiwa mchakato na kanisa lake wa kutangazwa mtakatifu eh? Maana duniani kuna mambo.
We nae na huo ulokole wako!! Usilazimishe watu kuokoka Kila mtu aamini anachoaminihili kanisa la mpinga Kristo, imagine, barua nzima inatangazwa na dhehebu kumuombea marehemu, lakini hawajaweka mstari wowote wa Biblia to back up their activity. ilitakiwa waseme, siku fulani tutamwombea marehemu fulani au misa kwa ajili ya mtufulani kwa mujibu wa kitabu fulani cha Biblia. kiufupi ni kwamba, hakuna mstari wowote kwenye Biblia unaoruhusu kuombea wafu au kuomba kwa wafu. Mtu akishakufa, kilichobaki kwake ni hukumu tu aidha aende motoni au uzimani, ninyi mlioko hapa duniani hata mumuombee namna gani mnapoteza muda wenu, yeye alitakiwa kutubu alipokuwa mzima.
hata akili ya kawaida tu, kama kungekuwa na kuombewa baada ya kufa uwekwe mahali pema, kusingekuwa na wito wa kuokoka au kumpokea Yesu, kwasababu hata ukifa na dhambi hasa wewe uliye maarufu au tajiri, ungeita tu padre akuombee usamehewe dhambi huko uendako. Yesu angesemaje sasa tukeshe na kuwa tayari? hata usipokuwa tayari si watakuombea ukifa?
Kanisa katoliki limepotosha wengi hadi hawataki kuokoka kwasababu wanalitegemea litawaombea wakifa. hili pia limefanya mapadre kuwa miungu watu, usipoenda jumuiya wanasema hatutakuzika, au hatutakuombea misa kama hizi, yaani wao ni kama wamejipatia mamlaka ya aidh akuingiza mtu mbinguni au kumzuia asiingie, jambo ambalo kwenye Biblia halipo. watu wengi wanashindwa kuokoka wakiogopa hawataombewa, mnapotoka.
Kanisa hili sio lile la mitume, shetani alishaingilia kati akalichuja. ukichukua kanisa la kitabu cha Matendo (ambalo ndilo kanisa la mitume) ukalinganisha na hili la sasaivi, hakuna hata vinavyolingana, siasa na serikali za wafalme wa dunia ziliingilia kati zikaliharibu kabisa. USHAURI WANGU KWENU WAKATOLIKI, nafasi ya uzima Mungu amewapatia, itumieni kwanza kabisa kwa kulikimbia hilo dhehebu, lipo kinyume na Neno la Mungu, pili, mnatakiwa kuokoka, Kitabu cha matendo chote kimeiimba kuokoka, muokoke ili msiende jehanum, dhehebu lenu limewaweka watumwa na mpo kifungoni, hamumuoni Mungu maishani mwenu na bado mnasali hapo, kwa kifungo cha kuzikwa na kuombewa mkifa, mnakataa wokovu na vipawa vyote vya Mungu, mnang'ang'ania dhehebu, Mungu anawaonya mbadilike, mngali na nafasi.
Ufunuo 14:13 inasema, Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, andika, heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
hapo mwishoni anasema, "matendo yao yafuatana nao", manake, yale uliyoyatenda duniani ndiyo yatakayokuchagulia wapi uende ukifa, motoni au uzimani.
Waebrania 9:27 inasema, Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.
Ndugu zangu, Biblia imeweka wazi, heri wafu wafao katika Bwana maana wataenda na matendo yao, Msipoteze muda kwenda kumuombea magufuli, siku ile anakufa ndio ilikuwa deadline yake hapa duniani ya kutengeneza na Mungu,kama alifanikiwa kutengeneza na Mungu kwa kutubu dhambi, heri yake, ila kama hakutengeneza, alienda na matendo yale yaliyoishia siku ile alipokufa. vivyo hivyo hata ninyi mkifa ndio deadline ya kutengeneza na Mungu. HAKUNA MWANADAMU ATAKAYEKUOMBEA ukifa usamehewe, hayupo, unasamehewa kwa kutubu dhambi, haujatubu unaenda na matendo yenu. hili suala la kuombea wafu ati Mungu awaweke pema, ni la kishetani na lengo ni kutaka watu wabaki katika dhambi wakitegemea kanisa litawasaidia kutubu dhambi wakifa, jambo ambalo ni la uongo na shetani amewakamatia hapo. ukifa unaenda na matendo yako, na baada ya kifo kinachofuata ni hukumu.
Walokole wajuaji sana, wakatoliki kufanya mambo yao unawaita wapinga Kristo..hili kanisa la mpinga Kristo, imagine, barua nzima inatangazwa na dhehebu kumuombea marehemu, lakini hawajaweka mstari wowote wa Biblia to back up their activity. ilitakiwa waseme, siku fulani tutamwombea marehemu fulani au misa kwa ajili ya mtufulani kwa mujibu wa kitabu fulani cha Biblia. kiufupi ni kwamba, hakuna mstari wowote kwenye Biblia unaoruhusu kuombea wafu au kuomba kwa wafu. Mtu akishakufa, kilichobaki kwake ni hukumu tu aidha aende motoni au uzimani, ninyi mlioko hapa duniani hata mumuombee namna gani mnapoteza muda wenu, yeye alitakiwa kutubu alipokuwa mzima.
hata akili ya kawaida tu, kama kungekuwa na kuombewa baada ya kufa uwekwe mahali pema, kusingekuwa na wito wa kuokoka au kumpokea Yesu, kwasababu hata ukifa na dhambi hasa wewe uliye maarufu au tajiri, ungeita tu padre akuombee usamehewe dhambi huko uendako. Yesu angesemaje sasa tukeshe na kuwa tayari? hata usipokuwa tayari si watakuombea ukifa?
Kanisa katoliki limepotosha wengi hadi hawataki kuokoka kwasababu wanalitegemea litawaombea wakifa. hili pia limefanya mapadre kuwa miungu watu, usipoenda jumuiya wanasema hatutakuzika, au hatutakuombea misa kama hizi, yaani wao ni kama wamejipatia mamlaka ya aidh akuingiza mtu mbinguni au kumzuia asiingie, jambo ambalo kwenye Biblia halipo. watu wengi wanashindwa kuokoka wakiogopa hawataombewa, mnapotoka.
Kanisa hili sio lile la mitume, shetani alishaingilia kati akalichuja. ukichukua kanisa la kitabu cha Matendo (ambalo ndilo kanisa la mitume) ukalinganisha na hili la sasaivi, hakuna hata vinavyolingana, siasa na serikali za wafalme wa dunia ziliingilia kati zikaliharibu kabisa. USHAURI WANGU KWENU WAKATOLIKI, nafasi ya uzima Mungu amewapatia, itumieni kwanza kabisa kwa kulikimbia hilo dhehebu, lipo kinyume na Neno la Mungu, pili, mnatakiwa kuokoka, Kitabu cha matendo chote kimeiimba kuokoka, muokoke ili msiende jehanum, dhehebu lenu limewaweka watumwa na mpo kifungoni, hamumuoni Mungu maishani mwenu na bado mnasali hapo, kwa kifungo cha kuzikwa na kuombewa mkifa, mnakataa wokovu na vipawa vyote vya Mungu, mnang'ang'ania dhehebu, Mungu anawaonya mbadilike, mngali na nafasi.
Ufunuo 14:13 inasema, Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, andika, heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
hapo mwishoni anasema, "matendo yao yafuatana nao", manake, yale uliyoyatenda duniani ndiyo yatakayokuchagulia wapi uende ukifa, motoni au uzimani.
Waebrania 9:27 inasema, Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu.
Ndugu zangu, Biblia imeweka wazi, heri wafu wafao katika Bwana maana wataenda na matendo yao, Msipoteze muda kwenda kumuombea magufuli, siku ile anakufa ndio ilikuwa deadline yake hapa duniani ya kutengeneza na Mungu,kama alifanikiwa kutengeneza na Mungu kwa kutubu dhambi, heri yake, ila kama hakutengeneza, alienda na matendo yale yaliyoishia siku ile alipokufa. vivyo hivyo hata ninyi mkifa ndio deadline ya kutengeneza na Mungu. HAKUNA MWANADAMU ATAKAYEKUOMBEA ukifa usamehewe, hayupo, unasamehewa kwa kutubu dhambi, haujatubu unaenda na matendo yenu. hili suala la kuombea wafu ati Mungu awaweke pema, ni la kishetani na lengo ni kutaka watu wabaki katika dhambi wakitegemea kanisa litawasaidia kutubu dhambi wakifa, jambo ambalo ni la uongo na shetani amewakamatia hapo. ukifa unaenda na matendo yako, na baada ya kifo kinachofuata ni hukumu.
Msoga inalaumiwa kwa kutimua vumbi hadi kwny matopeSerikali na chawa wa Msoga ndio wanazidi kumfanya JPM azidi kuwa hai, vijembe na chuki dhidi ya JPM ndio vitazidi kumuweka hai na legacy yake kuongelewa.
Sababu magufuli alikua anaongea kutoka moyoni kabisa tofauti na mizoga mingine ...alipo sema anachukia umasikini wa watanzani alimaanisha haswa ...na alipo sema anachukia wenye nguvu kuonea wanyonge alimaanisha haswaHawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayoView attachment 2939575
Nanyinyi si mnayo mizoga yenu ya wema awafi kwanini msiiombee ....mnao mzoga wa yule mzee aliye dinya hadi mama yake mzazi na kugawa loliondo kwa muarabu muombeeni huyo mnao mzoga wa msoga gang wa niguse kinuke kauombeeni huoHawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayoView attachment 2939575
Kiongozi muadilifu anatakiwa kupigania haki za watu wote bila ya kujali ni ya Mnyonge au Tajiri ?Sababu magufuli alikua anaongea kutoka moyoni kabisa tofauti na mizoga mingine ...alipo sema anachukia umasikini wa watanzani alimaanisha haswa ...na alipo sema anachukia wenye nguvu kuonea wanyonge alimaanisha haswa
Wachiwe wafanye hata ingekuwa wanazunguuka nchi nzima ni jambo jema!Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayoView attachment 2939575
Kifua chako kimehifadhi chuki sana inaonekanaNanyinyi si mnayo mizoga yenu ya wema awafi kwanini msiiombee ....mnao mzoga wa yule mzee aliye dinya hadi mama yake mzazi na kugawa loliondo kwa muarabu muombeeni huyo mnao mzoga wa msoga gang wa niguse kinuke kauombeeni huo
Wasio na akili siku zote huwa na hofu kubwa wanapoona jambo chanya linafanyika. Wao kutwa kuchwa ni kuhubiri chukiHawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayoView attachment 2939575
Waache wafu wawazike wafu wao.Hivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Huenda akawa shoga huyu mpuuziMagufuli anawatesa sana, nimeanza kuamini sasa, kwanini uteseke Hayati akiombewa? tena ulivyo mpuuzi kabisa unayaelekeza hayo maombi kwenye udini!.
Kwamba unataka akiwepo "ndugu yako katika imani" madarakani ndio wenye imani nyingine wasifanye mambo yao?
Hopeless kabisa.
πππππππWewe inakuuma nini mkuu...
Kwani Nyerere pia alifariki tarehe hizihizi?Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.