Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

Inasemekana Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Lisu ni miongoni mwa Wageni wa Kitaifa watakaoshiriki Misa ya kumuombea Shujaa Magufuli jijini Mwanza

Karma ni Kweli litakuwa jambo jema sana 😀
 
Wewe inakuuma nini mkuu...

Whats so special for him POMBE to be prayed like that??udini tu unawasumbua wagalatia,ingekuwa waislam hapo wapo kwenye mission kama hizo kusingekalika hapa...

AFTER ALL I WILL NEVER UNDERSTAND GALATIANS,SI MNASEMWA ASKOFU GWAJIMA ANAFUFUA WAFU PALE KANISANI KWAKE TEMPLE YA UFUFUO NA UZIMA??If you love POMBE to such extent why msiongee tu na GWAJIMA AMFUFUE??

Maombi maombi mnatupigia kelele tuh,he is very dead and gone...!!

Kafariki MTUKUFU WA DARJA MUHAMMAD SEMBUSE POMBE??
 
Anaombewa mtu mwingine wengine wanaleta kisirani.

Aombewe kwa lipi??wanafiki tuh hawana lolote na udini wao,if they real love him like the way they pretend it to be waende kwa Gwajima wakaongee nae AMFUFUE ILI ARUDI NA KAZI IENDELEE..
 
Hivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Kabla ya kufika mbinguni....Kuna kijiwe wana "pause" kwanza kinaitwa peponi..Sasa hapa michakato kama hiyo yafaa ref. Yesu pale msalabani alimjuza yule kibaka kwamba hakika watakuwa nae peponi.
 
unalazimisha au unatafuta laana kwa makusudi🐒

mie nashauri busara na
hekima ikuelekeze kua mkimya na mtulivu kwenye imani za watu hasa kipindi hiki cha mfungo, juu ya sala na ibada kwaajili wapendwa au waamini wao fulani 🐒

haijajazuiwa yeyote kwa imani yake kufanya hivyo 🐒
 
Huo ni mtazamo wako binafsi tu, najua unaumia sana Magufuli kutofutika mioyoni mwa watanzania.

Fahamu nguvu inayotumika kumfuta ndio hiyohiyo inatumika kuhakikisha hafutiki, kazi kwako kusuka au kunyoa
 
Mamamaee unateseka ukiwa wapi goroko wewe
 
Acha wivu wa kimalayamalaya wewe mama
 
Hivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Magufuli alipewa Toba kabla ya kufaliki
 
Kiongozi muadilifu anatakiwa kupigania haki za watu wote bila ya kujali ni ya Mnyonge au Tajiri ?

Wanyonge wakivamia mali halali ya Tajiri unatakiwa kuwa Jasiri kuwafurusha na kumtetea Tajiri bila ya kujali athari za kisiasa kwa kupoteza umaarufu
Ndivyo alivyo fanya magufuli ndiyo maana sugu alipo taka kuvunjiwa hotel yake aliwaonya wakina tulia ila jpm alivunja jengo linalo daiwa kuwa la lowasa pale ubungo lilijengwa kwenye hifadhi ya barabara hivyo magufuli alikuwa ana fuata haki . Sasa tuambie wewe unaye mponda je hao marais unao waona wewe ni bora je wao wana jali haki za masikini ?
 



Acha imani za watu, hizo ni taratibu za Catholics, sio jambo jingine, na unakuta familia imeombe aombewe.
 
Kifua chako kimehifadhi chuki sana inaonekana

Hayo ni maradhi kama ilivyo UTI na mengine

wahi kwny Clinic ya Maombi na Dua ili upate rehma za Mola wako

kuna watu ukisoma comment zake mbili tatu tu unaona alichohifadhi kifuani
Maradhi ya haki wewe unaygua maradhi ya dhuruma
 
Kwa nini na wewe usiende kwa Gwajima umuombe amfufue mtume MOHAMEDI
 
Jitahidi ukiondoka uache legacy, chukulia tu kama funzo.
 
Chagua lugha moja ya kuandika, maana unatuchanganya ...
 
Wewe mleta uzi ni jamii ya nyani wa porini.
Huenda mama yako alibakwa na Ny*ni ndio ukazaliwa!
Uelewe kwamba nchi hii watu tuko wengi na tuko huru kufanya lolote jema bila kuvunja katiba.
Magufuli anawatesa sana ...
Ngoja siku yake wa Msoga au yule Janabi ndio utajua watanzania wana nini vifuani mwao!
Shwine wewe!
 
Umeandika haya ndefu lakini hoja zako ni chuki juu ya kanisa katoliki labda uje tena utuambie kanisa lipi ni la kweli mahana hadi sasa kuna madheebu mengi ebu tuambie dheebu lipi ni la kweli

Kwani hapa duniani hakuna dheebu la matendo ya mitume, inawezekana unatuamia nguvu nyingi na chuki juu ya kanisa katoliki na kumbe nyie ndio mnaoamini kwenye maji ya upako na kula keki ,

Dini zote zimejengwa kwenye misingi ya Imani ikitoa imani na ukasema uanze kufikiria Kwa utashi wa kibinadamu sizani kama utatamani hata kwenda kusali uko unadhani ni kua ndio pakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…