Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

Nasubiria November, ntarudi kukukaribisha hapa.
 
Mkionaga hayo mapichapicha mnapata maluelue. Biden anazidi kuwaingiza chaka Ukraine kwani kwasasa hakuna taifa lenye ubavu wa kuligana vita na Russia. Hao Ukraine na Nato hakuna rangi watakaohacha kuiona kwwnye hii vita.

Toka vita inaanza kila silaha mnazopeleka zinadhibitiwa sasa sijui hayo mapepo yenu yanatoka wapi
 
Hakuna mtu wa kumpigia magoti Putin, ni kichaa na tahira pekee anayeweza kufanya hivyo. Ni lazima kiunzi cha mafuta ya Urusi kirukwe kwa ajili ya usalama wa EU kwa miaka ijayo.
wangekuwa wana solution wangeshafanya ayo toka miaka 20 iliyopita apo tunaongelea natural gesi siyo gesi za kubumba kama zingine west the way wanavyoichukia Russia wangekuwa wanambadala kitambo tu wangesha shift ila ndio ivyo sasa awana mbadala na awatopata mbadala milele aliyepewa amepewa tu uwezi shindana nae Qatar ana gesi nyingi tu shida ni njia itapitia wapi njia pekee ya kupeleka gesi kupitia bomba ipo syria only ndio njia easy ndio mahana wakataka kumtoa Assad ili wajenge bomba wapeleke gesi kwao uerope lakinin mwamba putin A.K.A nsyuka akawa ameshalijua ilo jambo muda sana akawa anawalia timing tu walivyojaa kwenye kikaango akaingia mazima mpaka leo hii tunapoongea imebaki historia tu Assad anadunda tu tena na anasafiri kabisa kwenda kuwatembelea majirani zake uyo ndio putin Nsyukaaa.(((political monger senior bandiko lako nimecop sehemu)
 
Hakuna mtu wa kumpigia magoti Putin, ni kichaa na tahira pekee anayeweza kufanya hivyo. Ni lazima kiunzi cha mafuta ya Urusi kirukwe kwa ajili ya usalama wa EU kwa miaka ijayo.
Na hapa ndo nataka dunia ifike mwisho wa matumizj ya mafuta (oil)
 
Toka vita inaanza mpaka sasa Urusi hajafanikiwa kuteka mazima hata jimbo moja kwa nchi ndogo ya Ukraine
 
Wewe ni nani kusema hawatopata mbadala? Kabla ya gas yalikuwepo mafuta au hata hilo hujui.

Wale Wana fedha, akili, teknolojia wanajua kufanya tafiti, hawa handiki vitu vya kufikrika kama ww hapa.
 
Mkionaga hayo mapichapicha mnapata maluelue. Biden anazidi kuwaingiza chaka Ukraine kwani kwasasa hakuna taifa lenye ubavu wa kupigana vita na Russia. Hao Ukraine na Nato hakuna rangi watakaohacha kuiona kwwnye hii vita.

Toka vita inaanza kila silaha mnazopeleka zinadhibitiwa sasa sijui hayo mapepo yenu yanatoka wapi
Toka vita inaanza mpaka sasa Urusi hajafanikiwa kuteka mazima hata jimbo moja kwa nchi ndogo ya Ukraine
Naona upo.kiligi zaidi. Lakini kiualisia pamoja na misaada yote hiyo, Ukraine inaumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…