Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

Lazima apambane kwa jasho na damu.
 
Tena msaada wa vidrones aibu sana supa power anashindwa kutengeneza vijidrones!!!!
 
Mbona urusi wanaendelea kuchukua maeneo huko Ukraine?hilo silaha zimewasaidia nini?
 
Uyu popoma wa Pro nato anafikiri russia hii vita anataka iishe leo? angetaka ivyo mapema kabisa angeshamaliza kazi ukraine amefanya makusudi ili tuone uerope kuwa si chochote kama walivyokuwa wanatuaminisha kuwa ni watu smart,magenius etc
Si Russia alisema masaa 72 mara anaongea majuma kadhaa oooh mpaka sasa haamini katulia, oooh mara sitaki kumaliza vita wenzake walivyo sikia hivyo wakatenga bajeti ya miaka 5 hapo sasa zile pigo zake za kutishia napiga nuclear zikaisha tena alivyosikia nucleur war head zinapelekwa Poland akatulia balaa.
 
USA wanatoa taarabu mpya kila siku huku Russia akiendelea kudunda na hit ileile.
Siraha kuu ya westerners ni propaganda na ushawishi ambao unashuka kwa kasi.
Rais na waziri wake wanazurura wanaomba omba vimsaada mwingine vidrone mwingine alikuwa Uganda sijui alikuwa anaomba nini.....!?

Leo hii Russia ndio anapata muda wa kutembea Uganda hatari sana,
Tunamsubiri Putin aje kutupigia magoti Tz hahaaaaa hatari sana.
 
Uyu popoma wa Pro nato anafikiri russia hii vita anataka iishe leo? angetaka ivyo mapema kabisa angeshamaliza kazi ukraine amefanya makusudi ili tuone uerope kuwa si chochote kama walivyokuwa wanatuaminisha kuwa ni watu smart,magenius etc
Russia ana GDP na mahela ya ku-run vita kwa miaka mingi kama US na washenzi wenzie wa West?

Kanchi kana GDP ndogo zaidi ya Texas?

VIta inavyoenda siku nyingi ni hasara kwa Russia na sio US...US anaweza choma dola mpaka miaka 50 na GDP ikawa mara elfu

Russia anakua weakened kijinga...mtu mpaka anaenda kuomba silaha eti Iran na China wakati tulitegemea Russia iwe level za US kisilaha...

Hii vita ime expose sana Russia,jitu tulidhani ni level ya US kumbe ni level ya maandazi

What a loss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…