passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Wewe na warusi Nani anaakili?wanaingiza hela kila siku Kwa kuuza mafuta Kwa haohao wanajua wanachokifanya.Russia ana GDP na mahela ya ku-run vita kwa miaka mingi kama US na washenzi wenzie wa West?
Kanchi kana GDP ndogo zaidi ya Texas...
Bila Shaka utakuwemo kwenye Uzi huu 12 hours from now...usije ukakimbia humu au ukaamua kupita kimya kimya...Kherson will not fall to Neo-nazists and the west...You don't know what the Russians are planning ..it is a disaster to Kiev...Super Power wa kuchonga kutimuliwa mji wa Kherson muda wowote baada daraja muhimu kulipuliwa na Himars
Ukraine's campaign to retake the occupied Kherson region is "gathering pace", Western military sources say...
Bila Shaka utakuwemo kwenye Uzi huu 12 hours from now...usije ukakimbia humu au ukaamua kupita kimya kimya...Kherson will not fall to Neo-nazists and the west...You don't know what the Russians are planning ..it is a disaster to Kiev...Super Power wa kuchonga kutimuliwa mji wa Kherson muda wowote baada daraja muhimu kulipuliwa na Himars
Ukraine's campaign to retake the occupied Kherson region is "gathering pace", Western military sources say...
unajua maana ya GDP mkuu>?Wewe na warusi Nani anaakili?wanaingiza hela kila siku Kwa kuuza mafuta Kwa haohao wanajua wanachokifanya.
Wewe Mrusi hata kuandika silaha unashindwa.USA wanatoa taarabu mpya kila siku huku Russia akiendelea kudunda na hit ileile.
Siraha kuu ya westerners ni propaganda na ushawishi ambao unashuka kwa kasi.
Wamechukua yapi? Kherson & Donbas mbioni kukombolewa na majeshi ya UkraineMbona urusi wanaendelea kuchukua maeneo huko Ukraine?hilo silaha zimewasaidia nini?
Alienda kuomba vifaru kwa M7[emoji16][emoji16]Mwenzake alikuwa Uganda hapa sijui alifata msaada gani aisee....
Kumbe Russia ni superpower wa kamchongo.
Wewe Mrusi siraha ni nini?Nakusudia kuanzisha uzi maalum kwaajili ya kupeana siraha za kisasa nitamtag Zelensiki
Ni kawaida kwa foreigner kukosea wakati akijifunza lugha fulani.Wewe Mrusi hata kuandika silaha unashindwa.
Super power la kibisa kaja na kwa M7 kuomba vifaru pia[emoji16]Russia ana GDP na mahela ya ku-run vita kwa miaka mingi kama US na washenzi wenzie wa West?
Kanchi kana GDP ndogo zaidi ya Texas...
Kausha mwamba wengine kiswahili ni lugha yetu ya 3Wewe Mrusi siraha ni nini?
Endeleeni kujifarijiMwezi wa nane utaona
Tulionya humu kutoka day one kuwa Urusi kuanzisha vita na taifa la wayahudi la Ukraine hiyo vita hataiweza
Narudia Mrusi hiyo vita haiwezi
kaeni kwakutulia akifilisika mututagRussia ana GDP na mahela ya ku-run vita kwa miaka mingi kama US na washenzi wenzie wa West?
Kanchi kana GDP ndogo zaidi ya Texas...
Nitakurudia mwezi wa nane huu unaanza keshokutwa tu usikimbie jukwaa
Kwa hiyo wewe ndio wamekuvujishia siri nini wana plan au..!?Bila Shaka utakuwemo kwenye Uzi huu 12 hours from now...usije ukakimbia humu au ukaamua kupita kimya kimya...Kherson will not fall to Neo-nazists and the west...You don't know what the Russians are planning ..it is a disaster to Kiev...
Siku akifilisika nikumbusheunajua maana ya GDP mkuu>?
naona kama unatoka usingizini vile
GDP ni pato zima la nchi kwa kuuza kila kitu sio mafuta tu kwa mwaka mzima,ndo unapata GDP
KWahiyo tunachosemea hapa ni mafuta included na uchafu wote put together
Russia kuuza mafuta kupo overblown sana....pamoja na mafuta yao mauzo kwa mwaka mzima hela hazitoshi hata kufikia pato la Texas.
Go learn your crack butt correctly
Stop dreamingIt's time to ends Russian power, nalijua watapigana nae kwa muda mrefu ili wamchoshe and it's what happening now!,.
taifa dogo ndio linalowahi kuishiwa nduguSiku akifilisika nikumbushe
Kila siku majira ya baridi baridi, mbona mwaka unaisha watu wamevumiria baridiWaulize watu wanaoishi nchi za EU zinazotegemea mafuta na gas Russia ndio watakwambia mziki wa inflation ni shida hasa kwa watu wa low income.
Ikifika winter hakuna suluhisho la inflation kuwasha hitting iwe anasa majumbani watu wataingia kitaa hiyo vita isiwe tabu kwenye maisha yao.
Vita sasa inaanza kuwa adhabu kwa raia wa West Europe wanasiasa wanaleta ukaidi tu lakini uwezi pambana na mtu mwenye nishati unayoitegemea wameshashindwa psychological war tayari wanaona aibu kukiri ikifika November awatakuwa na namna zaidi ya kumpigia magoti Russia vinginevyo wapambane na hasira za wananchi wao.