Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Mjomba mziki wa baridi nchi nyingi ni October to February; hiyo vita ilianza baridi inaisha.Kila siku majira ya baridi baridi, mbona mwaka unaisha watu wamevumiria baridi
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Yaani kupig daraja..tayari kashinda vita....Idd Amin alivunja daraja la Kagera..still cha moto alikiona..yaani kweli karne hii uvunje kadaraja kamoja then upige kelele umeshinda vita wakati watu wanamakombora yanayoweza kupiga sehemu yoyote duniani??Super Power wa kuchonga kutimuliwa mji wa Kherson muda wowote baada daraja muhimu kulipuliwa na Himars
Ukraine's campaign to retake the occupied Kherson region is "gathering pace", Western military sources say.
A key bridge into the city of Kherson is now out of action after Ukrainian forces struck it with long-range rockets supplied by the US.
UK defence officials say the city is now "virtually cut off from other occupied territories"
Pole MKUUNitakurudia mwezi wa nane huu unaanza keshokutwa tu usikimbie jukwaa
T14 Armata pitia hii mitaaNdege isiyo na rubani hutoshea ndani ya mkoba na inaweza kuning'inia hewani kwa saa sita. Ina mwongozo wa ‘infrared’, kumaanisha kuwa inaweza kufanya kazi usiku na kuharibu shabaha za silaha za wastani.
Nakuona MuAnnunaki wa Nanguruwe..... Kunakazi ya kufariji wagonjwa na wanaofauata Marehemu wao ....maana una kipajincha kutia moyo na kufariji.Bwana mtoto wa nzi, ww ni uzao wa nzi kweli?
Sasa ndio naona kumbe wewe ni mtu mwenye upungufu wa akili Kwa kiwango kikubwa sana Kwa comment yako hii ....I rest my case. Katibiwe we jamaaa.Super power la kibisa kaja na kwa M7 kuomba vifaru pia[emoji16]
unaowazungumzia sio waafrika , sorry km ntakuwa sijaelewa mada hahaaaMjomba mziki wa baridi nchi nyingi ni October to February; hiyo vita ilianza baridi inaisha.
Sasa hivi mziki wa baridi unakuja ndio unaona EU wanakuja na hadithi za kupunguza 15% ya matumizi kila mtu kwa sasa ili kuwa na reserve ya kutosha winter just in case Russia akikata zaidi gas in the winter.
Ni hivi hapo gas hakuna short cut.
Eti subirini mwezi wa nane kama vile mbaali kumbe ni jumatatu tu hapo.....
Waafrika ni issue nyingine; ni shida.unaowazungumzia sio waafrika , sorry km ntakuwa sijaelewa mada hahaaa
NATO weusi washavurugwa[emoji23][emoji16][emoji23]Eti subirini mwezi wa nane kama vile mbaali kumbe ni jumatatu tu hapo.....
Hata waishinde Russia bado wengine tunahesabu Russia ndo mshindi, ameichakaza ardhi ya Ukraine pasi wenyewe kuingingia ndani ya Russia, sasa hivi Russia anapigana na mataifa yale yenye nguvu na anawatoa kamasi, na ilipaswa Dunia mzima imtetee maana anaonewa, na wasipoangalia, Russia inarejesha heshima na kuitawala Dunia tenaWarusi wa JF msikasirike kwa matusi, tusubiri muda upo mshindi atajulikana.
Bwana mtoto wa nzi, ww ni uzao wa nzi kweli?
Kaenda omba wanajeshiMwenzake alikuwa Uganda hapa sijui alifata msaada gani aisee....
Kumbe Russia ni superpower wa kamchongo.
Wamemshindwa light weight Ukraine, watamuweza Poland ambaye yuko fit mara 100 ya UkraineTumewazoea ni matamko tu kutishia hawana chochote,
Vimatamko furani hivi vya kujifariji.
Kwamba trainimg zote zitakuwa zimekamilikaVita rasmi ndio inaanza August
Jeuri ya Mrusi itashushwa kiwango cha 5G
Umeenda mbali sana. Urusi hana precision ammunition nyingi, hana gears kwa ajili ya wanajeshi wake.Russia ana GDP na mahela ya ku-run vita kwa miaka mingi kama US na washenzi wenzie wa West?
Kanchi kana GDP ndogo zaidi ya Texas...
Mtoto kuomba msaada ni sawa, ila kubwa jinga kuomba msaada yatia mashakaNa kuna mtu kaenda usa kuomba msaada.
Jina humtambulisha mtuBwana mtoto wa nzi, ww ni uzao wa nzi kweli?