Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

Kwan polepole kaonge nn cha maana
Polepole ni project ya Ccm sasa nyie komaeni nae mnamuacha lissu anaozea jera acheni ufala polepole ni scam km zilivyo scam zingne
 
Huyu mwamba alipoingia mzigoni tu nilijua nchi imetua katika mikono salama kwa 100%

Aliniangusha tu alipoanza kujihangaisha kupambana na wapinzani ambao si maadui wa watanzania kama alivyokuwa yeye kwa sababu tu ya tofauti zao ndogondogo.

Badala akatandike risasi fisadi papa mojawapo akaenda kupiga Tundu Lissu asiye na rekodi ya kupiga hata shilingi 1,000/= ya umma, akayaacha majitu mabaya kwake, kwa TAL na watz wote kwa ujumla kumbe yapo mipangoni kummaliza na kuendelea kutumaliza!
 
Back
Top Bottom