Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

Huyu mwamba alipoingia mzigoni tu nilijua nchi imetua katika mikono salama kwa 100%

Aliniangusha tu alipoanza kujihangaisha kupambana na wapinzani ambao si maadui wa watanzania kama alivyokuwa yeye kwa sababu tu ya tofauti zao ndogondogo. Badala akatandike risasi fisadi papa mojawapo akaenda kupiga Tundu Lissu asiye na rekodi ya kupiga hata shilingi 1,000/= ya umma, akayaacha majitu mabaya kwake, kwa TAL na watz wote kwa ujumla kumbe yapo mipangoni kummaliza na kuendelea kutumaliza! Mambo ya kupambana na upinzani yalifaa kuwa awamu hii ya ma gangster
Bado muda ukifika utaujua ukweli.
 
Magufili alikua rais sahihi sana kwa nchi yetu tatizo tamaa zake za madaraka ,kutesa wapinzani,kibambikia kesi ,kuzima vyombo vya habari hadi bunge live,kuua watu mkapa kwenye viroba vilimuharibia mazuri yake
 
John P.M ni mzalendo halisi ambaye Tanzania iliwahi kumpata katika nyakati hizi za sasa.
Ni kweli kabisa sema tuna chombo cha usalama kilichomezwa na Ccm mtandao yaani waliomuua hawakupaswa kuwa hata na sekunde moja ya kuishi. Inauma sana
 
Magufuli na wanaCCM wote hawapaswi onewa huruma kwa namna yoyote ile.
 
R.i.p JPM.

Huyu mwamba kama ilivyo kwa binadamu wote, naye pia alikuwa na mapungufu yake.
ila kwa kweli alinifanya niwe ninalipa kodi kwa moyo wa furaha na kudai risiti kila ninunuapo chochote. Polisi barabarani walikuwa hawapati hata ya rangi,.
Nilifanya hivyo kutokana na kuona kwa macho miradi mikubwa ya kimkakati iliyokuwa inafanywa na huyu kiumbe.

Baada ya kufa, kila kitu kikafa..!
 
ona sasa hata kuandika neno jela kwa usahihi huwezi

Kwan polepole kaonge nn cha maana
Polepole ni project ya Ccm sasa nyie komaeni nae mnamuacha lissu anaozea jera acheni ufala polepole ni scam km zilivyo scam zingne
[/Q
 
Huyu mwamba alipoingia mzigoni tu nilijua nchi imetua katika mikono salama kwa 100%

Aliniangusha tu alipoanza kujihangaisha kupambana na wapinzani ambao si maadui wa watanzania kama alivyokuwa yeye kwa sababu tu ya tofauti zao ndogondogo.

Badala akatandike risasi fisadi papa mojawapo akaenda kupiga Tundu Lissu asiye na rekodi ya kupiga hata shilingi 1,000/= ya umma, akayaacha majitu mabaya kwake, kwa TAL na watz wote kwa ujumla kumbe yapo mipangoni kummaliza na kuendelea kutumaliza!

Mambo ya kupambana na upinzani yalifaa kuwa awamu hii ya ma gangster
👆Kwa hii kauli ulikusudia nini hasa? Unaweza kufafanua?
 
Back
Top Bottom