Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

Bado muda ukifika utaujua ukweli.
 
HUYU BOYA MAGUFULI ASINGEWATESA WAPINZANI NA KUPOTEZA WATU NCHI INGEKUWA SALAMA, ALIZINGUA KWA KWELI, ACHOMWE MOTO HUKO ALIKO AWE KUNI KABISA
 
Magufili alikua rais sahihi sana kwa nchi yetu tatizo tamaa zake za madaraka ,kutesa wapinzani,kibambikia kesi ,kuzima vyombo vya habari hadi bunge live,kuua watu mkapa kwenye viroba vilimuharibia mazuri yake
 
John P.M ni mzalendo halisi ambaye Tanzania iliwahi kumpata katika nyakati hizi za sasa.
Ni kweli kabisa sema tuna chombo cha usalama kilichomezwa na Ccm mtandao yaani waliomuua hawakupaswa kuwa hata na sekunde moja ya kuishi. Inauma sana
 
Magufuli na wanaCCM wote hawapaswi onewa huruma kwa namna yoyote ile.
 
R.i.p JPM.

Huyu mwamba kama ilivyo kwa binadamu wote, naye pia alikuwa na mapungufu yake.
ila kwa kweli alinifanya niwe ninalipa kodi kwa moyo wa furaha na kudai risiti kila ninunuapo chochote. Polisi barabarani walikuwa hawapati hata ya rangi,.
Nilifanya hivyo kutokana na kuona kwa macho miradi mikubwa ya kimkakati iliyokuwa inafanywa na huyu kiumbe.

Baada ya kufa, kila kitu kikafa..!
 
ona sasa hata kuandika neno jela kwa usahihi huwezi

Kwan polepole kaonge nn cha maana
Polepole ni project ya Ccm sasa nyie komaeni nae mnamuacha lissu anaozea jera acheni ufala polepole ni scam km zilivyo scam zingne
[/Q
 

Mambo ya kupambana na upinzani yalifaa kuwa awamu hii ya ma gangster
👆Kwa hii kauli ulikusudia nini hasa? Unaweza kufafanua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…