Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

Hakuna anayepinga uwekezaji tunataka uwekezaji wenye tija na siyo wapiga dili
Tanzania ilikuwa hatua ya kwanza ya uendeshaji wa bandari hatua ya Service Port.

Rais Samia amevuka hatua ya Tool Port na anaipeleka nchi kwenye hatua ya Landlord Port.

Jana wakati anahutubia akatumia neno HUB akiongelea kuwa mipango ni kulifanya jiji la Dar liwe Hub, nina uhakika wasomi wetu wengi hawalijui hilo neno linamaanisha kitu gani.
 
Maybe kama unafukuzia uteuzi hakuna neno, huyu mama anaongea kuliko vitendo, inawezekana ana nia njema lakini kwa aina ya watu wa karibu yake nina 20% ya kufanikiwa maana watu wake ni wapiga dili wazuri sn na ndiyo hao wanampa vimemo vya uteuzi
 
Maybe kama unafukuzia uteuzi hakuna neno, huyu mama anaongea kuliko vitendo, inawezekana ana nia njema lakini kwa aina ya watu wa karibu yake nina 20% ya kufanikiwa maana watu wake ni wapiga dili wazuri sn na ndiyo hao wanampa vimemo vya uteuzi
Namtakia mema na sina mpango wowote wa uteuzi. Naelewa anataka kutupeleka wapi, alisema anaifungua nchi na ni mchakato wenye kutupa changamoto sisi wenye kuishi ndani ya hii nchi.
 

[mention]Pascal Mayalla [/mention] , Kama IGA ilikuwa utumbo utumbo tu usitegemee HGA kutakuwa na la maana la Kutubeba, hii ni chronological order, hapa ni always down , huwezi kukuta ups and down hapa, ukinunua nguo iliyotoboka dukani hata ukipeleka kwa fundi chelehani tegemea viraka tu.

WAANDISHI WA HABARI NI WAKATI WENU WA KUPINGA HUU UFEDHURI
 
Wananchi wameambiwa Bandari yao imeuzwa na kuna mwingine jana jioni huku Temeke alikuwa anauliza kuwa amesikia kuwa "Dipiwedi ni ya Lizuwani"

Kiukweli kabisa Wananchi wamekorogwa sana
ccmu hao wanatengeneza story za kijinga ili watu wasijue hoja za msingi za wakosoaj wa huo mkataba , pia wanajirahisishia kaz wakifika kwa wananchi wanapoteza kujibu maswali ya kijinga kama hayo ambayo wao ndo wameyatengeneza huko mtaani ili waty wasijue mapunguf ya mkataba , nmeona mikutano kama 5 ya ccmu muda wote wamekuwa wanaelezea hayo mnayoyasena ambayo sio hoj msingi za wakosoaj wa mkataba huu wa dp world
 
Unazungumzia HGA ipi tena, kwani tayari hiyo IGA ndani yake kuna HGA. Wasukuma wanasema, "It is two in one" au "It is under one roof".

Hivyo ndugu yetu Mayala, hiyo imeenda. Sheria zetu haziruhusu transparency ya mikataba ya uwekezaji. Ni top secret. Hata huu mkataba wa IGA ni mkora mmoja serikalini aliuvujisha kwenye mtandao na kusababisha yote haya yanayoendelea. Huyo mkora aliyefanya hivyo bila shaka alisha chukuliwa hatua kali sana stahiki ili mambo haya yanayoweza kuligawa taifa yasije yakajirudia.

Hivyo sahau kabisa kuhusu hiyo transparency, ni kosa la jinai kwa mjibu wa sheria. Labda sheria hiyo ibadilishwe kwanza na mabadiliko hayo hayataihusu DP World pekee bali mikataba yote ya uwekezaji.
 
Huu ni mkataba wa kimchongo!! Hizo HGA tayari zipo zimeshaandaliwa na zimeshakubalika (japo hawawezi kukubali hilo)na zinasubiri tu mazingira yakae sawa zianze kufanya kazi!!. Ujue huu mkataba tunaoupigia kelele leo una zaidi ya mwaka mmoja ukiwa katika makabati ya wakubwa ukisubiri wakati muafaka uibuliwe!! Hali kadhalika hizo HGA tayari zilishaandaliwa na ziko kwenye makabati ya wakubwa zikisubiri muda muafaka ziibuliwe na hakuna atakayejua maana hii huwa ni SIRI!! Cha maana ni kukataa kila kitu na mkataba uvunjwe na mchakato uanze upya kwa kuzingatia sheria!
 
Hakuna transparency yoyote katika HGA kwa ni moja kati ya masharti magumu na ya hovyo yaliyomo kwenye IGA ambayo walioshika kwenye mpini wa kisu chetu wamesharidhia. Utasemea wapi ndugu yangu hapo tumeshapigwa na kitu kizito kichwani. Hakuna namna hiyo imeendaaa.
 
Kuna siku nilikuuliza kuhusu HGA kama itaweza kuwa nafuu kwetu kuliko hii IGA.
Ukasema IGA ishamaliza kila kitu!
Kama ndivyo basi tukomae na Waraka wa TEC kwa waTanzania!
 
Hili nilishalisema humu humu jf
''kelele zetu zitaishia hapa hapa online"
 
Tupe maana yake mkuu sisi maleimani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…