Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha Marekani wasiwashambulie. Lakini kwa hali ninayo iona Iran atapata mkong’onto wa kufa mtu maana marekani inaujua uwezo wake.