ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Kama picha iliyoko kwenye hiyo avatar yako ndo ww basi sikulaumu maana inaonekana una utapia mlo mpaka kwenye ubongo.Acha ujinga na Upumbavu wako youtube ndiye imekuwa mungu wako? Usitutishie na youtube kwanza nani alikuambia hizo video vimepigwa na Israel wenyewe? Kwa hiyo unatumia uongo kuhalalisha uongo wako huo?
Ww kwenye uzi mwingine ulio uanzisha nilipo kuomba ushahidi ya Israel kuharibu mifumo ya Iran uliniwekea video isiyo eleweka kutoka youtube, ya kwamba youtube wakiweka video inayo husu Israel basi imeongea ukweli ila wakiweka video kuhusu nchi nyingine ni uongo na propaganda?
Video hazipo youtube tu zimejaa kwenye mitandao yote ya kijamii hata humu jf zimejaa.