Baada ya Iran kulimwa barua ya onyo kali na Trump nayo yatoa vitisho

Baada ya Iran kulimwa barua ya onyo kali na Trump nayo yatoa vitisho

Waanze vita tuone ubabe wa Marekani sasa maana hana na hataki allies, hakuna cha NATO wala Israel kuingilia.
 
Iran hana uchumi wa kuweza kupigana vita hata na Pakistan tu ni kelele tu za masjid ubwabwa kama kawaida.
 
Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha Marekani wasiwashambulie. Lakini kwa hali ninayo iona Iran atapata mkong’onto wa kufa mtu maana marekani inaujua uwezo wake.
Mikwara kama hii trump washapigana sana na mapunky mwisho wakaishia kunywa chai kwenye treni....trump huwa ana maneno hana vitendo!
 
Acha uongo video ya MICHONGO hiyo sikiliza hiyo lugha !!!! Waislamu kwa uongo hamjambo hamjali hata kufunga kwenu!!!
Zaidi ya %22 ya raia wa Israel ni waarabu na waislam sasa ww sema lugha.
 
Ebu punguza upumbavu video za Iran za kuishambulia Israel zimejaa YouTube tena zilirekodiwa na raia wa Israel wenyewe.
Acha ujinga na Upumbavu wako youtube ndiye imekuwa mungu wako? Usitutishie na youtube kwanza nani alikuambia hizo video vimepigwa na Israel wenyewe? Kwa hiyo unatumia uongo kuhalalisha uongo wako huo?
 
Iran hana uchumi wa kuweza kupigana vita hata na Pakistan tu ni kelele tu za masjid ubwabwa kama kawaida.
Iran ni self suffient jihad hatefemei makampuni kama ya usa .. mfano zana za 1b kwa usa kwa iran ni sawa na milion 300 uanapata kiasi hicho hicho kule amna ubepari kama usa
 
Nani aliwalazimisha Oct 07,20203 kuvamia
Heri ipo kwa wapatanishi! Lakini si mbaya kushabikia uovu,maana inasaidia wanaokuzunguka kujua wewe ni mtu mwenye akili na roho ya namna gani! So keep it up kama inakulipa!
 
Heri ipo kwa wapatanishi! Lakini si mbaya kushabikia uovu,maana inasaidia wanaokuzunguka kujua wewe ni mtu mwenye akili na roho ya namna gani! So keep it up kama inakulipa!
Baada ya Oct 072023 sikukusikia ukibwabwaja kwa kuwa ulikuwa unafurahia walichofanya hao Magaidi wa Hamas huko Israel. Baada ya israel kuanza kulipa kisasi na kutaka kukomboa watu wake wewe umeanza kujifanya Una utu sana!! Acha Unafiki wa kijinga huo!!
 
Back
Top Bottom