NonsenseIran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha Marekani wasiwashambulie. Lakini kwa hali ninayo iona Iran atapata mkong’onto wa kufa mtu maana marekani inaujua uwezo wake.
NonsenceWhy?
Kama ni vitishi SI mshambulie sasa taarab nyiiingi.Njaa yenu ya RASILIMALI itaimaliza dunia.Eti na yeye ni msomi kazi kupenda kuchochea na kuwaza vita.Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha Marekani wasiwashambulie. Lakini kwa hali ninayo iona Iran atapata mkong’onto wa kufa mtu maana marekani inaujua uwezo wake.
Acha uongo video ya MICHONGO hiyo sikiliza hiyo lugha !!!! Waislamu kwa uongo hamjambo hamjali hata kufunga kwenu!!!View attachment 3288011
Tujikumbushe kidogo Israel ilivyo pewa kichapo
Hapo umeonekana wazi Unabwabwaja ovyo!!!Mmarekani sidhani km ataweza anzisha mapigano na Irani sababu atashuka sana kiuchumi kama Iran akijibizana nae.
Iwekwe wazi kwamba hivi vita vya Ukraine na Urusi + Israel na Hamasi vimeipotezea pesa nyingi Marekani.
Hata hii mipango yakuzuia zuia mataasisi ya misaada bado ni njia wanazojaribu kufanya ku recover upotevu wa pesa na athari nchini Marekani inaanza kuonekana hasa kwenye huduma za kijamii kama Afya Raia wanalalamika wakisema now days in America wealthy is healthy.
Inabidi ufahamu km kupigana na Iran sio inshu ya siku moja kwani Nato haipeleki majeshi kwa mwanachama wao alieenda kukoromola mambo mwenyewe wao wanamlinda mwanachama aliechokozwa.
Kingine jiulize Iran ipo kwenye vikwazo zaidi ya miaka 40 lakini still nitaifa lenye nguvu kiuchumi na kiteknolojia, hii ikupe picha kuwa kuna midude iko nyuma ya Iran ambayo sasa inaonekana km haina madhara na imelala ila utaiona siku Iran ikiguswa
Dhambi ya kwanza duniani ililetwa kwa uongo mastermind akiwa Lucifer mwenyewe!Acha uongo video ya MICHONGO hiyo sikiliza hiyo lugha !!!! Waislamu kwa uongo hamjambo hamjali hata kufunga kwenu!!!
Uhusiano alioanza kujaribu kuurejesha na Mrusi utakufa.Zaidi atatumia ushawishi wa Mrusi kwa mwiirani,ila bado ni ngumu kwa kuwa Waarabu wanaonewa sana na Mwiizrael kwa msaada wa MmarekaniUS hawezi thubutu kumshambulia Iran
kumbuka marekani alipigwa kishenzi somalia....Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha Marekani wasiwashambulie. Lakini kwa hali ninayo iona Iran atapata mkong’onto wa kufa mtu maana marekani inaujua uwezo wake.
Ilipigwaje hebu tupe simlizi!!kumbuka marekani alipigwa kishenzi somalia....
Dead Soldier Dragged Through Somali Streets a Modern-Day Unknown : Mogadishu: Pentagon says naming the mob’s victim serves no purpose and would only pain those who loved and lost him.
BARUA TRAMP KATUMA NGAPI IRAN????Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha Marekani wasiwashambulie. Lakini kwa hali ninayo iona Iran atapata mkong’onto wa kufa mtu maana marekani inaujua uwezo wake.
Ni suala la muda tu Iran atakung'utwa vibaya mno na alliance ya US+IsraelIran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha Marekani wasiwashambulie. Lakini kwa hali ninayo iona Iran atapata mkong’onto wa kufa mtu maana marekani inaujua uwezo wake.
Umenikumbusha mbali watu walipotea jukwaani humuView attachment 3288011
Tujikumbushe kidogo Israel ilivyo pewa kichapo