Kama picha iliyoko kwenye hiyo avatar yako ndo ww basi sikulaumu maana inaonekana una utapia mlo mpaka kwenye ubongo.Acha ujinga na Upumbavu wako youtube ndiye imekuwa mungu wako? Usitutishie na youtube kwanza nani alikuambia hizo video vimepigwa na Israel wenyewe? Kwa hiyo unatumia uongo kuhalalisha uongo wako huo?
Mimi nimekuwekea vyanzo zaidi ya kimoja ikiwemo youtube nakushangaa Una is ha kitu gani. Hivi unajua Iran walikuwa na THE PROMISE-3 waulize iliishia wapi? Na kwa nini?Kama picha iliyoko kwenye hiyo avatar yako ndo ww basi sikulaumu maana inaonekana una utapia mlo mpaka kwenye ubongo.
Ww kwenye uzi mwingine ulio uanzisha nilipo kuomba ushahidi ya Israel kuharibu mifumo ya Iran uliniwekea video isiyo eleweka kutoka youtube, ya kwamba youtube wakiweka video inayo husu Israel basi imeongea ukweli ila wakiweka video kuhusu nchi nyingine ni uongo na propaganda?
Video hazipo youtube tu zimejaa kwenye mitandao yote ya kijamii hata humu jf zimejaa.
Video za Iran akiitwanga Israel kwa makombora zimejaa kwenye mitandao yote ya kijamii ,ukiingia X unazikuta, ukiingia Tkitok unazikuta ,ukiingia Instagram unazikuta, ukingia FB unazikuta, ukingia Telegram unazikuta hata humu jf ukizitafuta zipo kibao.Mimi nimekuwekea vyanzo zaidi ya kimoja ikiwemo youtube nakushangaa Una is ha kitu gani. Hivi unajua Iran walikuwa na THE PROMISE-3 waulize iliishia wapi? Na kwa nini?
Fake video hiyo Allahakbar imetokea wapi hapo lsrael uongo mtupuView attachment 3288011
Tujikumbushe kidogo Israel ilivyo pewa kichapo
Kama ni hivyo wanataka wapewe ardhi gani sasa na wao wanaishi humo vizuri tu au genye zinawasumbua?Zaidi ya %22 ya raia wa Israel ni waarabu na waislam sasa ww sema lugha.
Dogo huna akiliHivi hayo ni mabomu au baruti..........maana hata Ak 47 ina sauti ya base kuliko hayo makombola ya mafuta ya taa
Nyie mtakuwa mmevamia jukwaa umnasema video fake ebu nendeni YouTube kwanzaFake video hiyo Allahakbar imetokea wapi hapo lsrael uongo mtupu
Fake hiyo wewe kobazi unang'ang'ania nini? unalipwa kwani mpaka tukubali bana?Nyie mtakuwa mmevamia jukwaa umnasema video fake ebu nendeni YouTube kwanza
Sina cha kukuambia zaidi ya kusema huna akili.Kama ni hivyo wanataka wapewe ardhi gani sasa na wao wanaishi humo vizuri tu au genye zinawasumbua?
We nguruwe ndio hauna akili unafaa upigwe makofi kabisaSina cha kukuambia zaidi ya kusema huna akili.
Unajadiliana na kichaaKama picha iliyoko kwenye hiyo avatar yako ndo ww basi sikulaumu maana inaonekana una utapia mlo mpaka kwenye ubongo.
Ww kwenye uzi mwingine ulio uanzisha nilipo kuomba ushahidi ya Israel kuharibu mifumo ya Iran uliniwekea video isiyo eleweka kutoka youtube, ya kwamba youtube wakiweka video inayo husu Israel basi imeongea ukweli ila wakiweka video kuhusu nchi nyingine ni uongo na propaganda?
Video hazipo youtube tu zimejaa kwenye mitandao yote ya kijamii hata humu jf zimejaa.
Inakuja vizuri tena kabla ya tareh 15 mwezi wa nne . Iran wakiahidi kitu lazima watelekezeMimi nimekuwekea vyanzo zaidi ya kimoja ikiwemo youtube nakushangaa Una is ha kitu gani. Hivi unajua Iran walikuwa na THE PROMISE-3 waulize iliishia wapi? Na kwa nini?
Lete picha yako ww ya ilo tukio ili tuone tofaut yake ??? BARUA BARUA wapi ww Tramp kachapwa na IRAN LIVE mala 2 Drone yake yenye Bei kubwa zaid !!!!Mimi nimekuwekea vyanzo zaidi ya kimoja ikiwemo youtube nakushangaa Una is ha kitu gani. Hivi unajua Iran walikuwa na THE PROMISE-3 waulize iliishia wapi? Na kwa nini?
unaniita dogo kwanini.........kaka kubwa??Dogo huna akili
Dogo huna akili
waongo? subiri uoneIran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha Marekani wasiwashambulie. Lakini kwa hali ninayo iona Iran atapata mkong’onto wa kufa mtu maana marekani inaujua uwezo wake.
huyo jamaa anatuona kama matako yake haiwezekani mimi nivamiwe badala ya kujiokoa nianze kujirecord huo si ni uzwazwa kabisa.Acha ujinga na Upumbavu wako youtube ndiye imekuwa mungu wako? Usitutishie na youtube kwanza nani alikuambia hizo video vimepigwa na Israel wenyewe? Kwa hiyo unatumia uongo kuhalalisha uongo wako huo?
Endelea kubwabwaja tu!!Lete picha yako ww ya ilo tukio ili tuone tofaut yake ??? BARUA BARUA wapi ww Tramp kachapwa na IRAN LIVE mala 2 Drone yake yenye Bei kubwa zaid !!!!
na kambi zake za Jesh pale IRAQ !!!!
na icho Kibabu Tramp kilitoka mbiooo !!!
TOTO lake nalo ISRAEL lilikuwa linafanya UGAID wa kuuwa Wanasayansi wa IRAN Nalo Likatupiwa Makombora Mala 2 kashindwa kuyazuiya mikelele yote kuusu IRAN kwishaaaa !!!
kidomodomoo kuusu uwezo wao kuzuiya Shambulizi nao tupa kuleee kwishaaa !!!
usikiiii tena mwanasayansi
wa IRAN kauwawa KIGAID popote !!!!
IRAN BABA LAO MWIBA kachapa BaBa toto WOTE WAMEUFYATAA.
How ??.Hapo umeonekana wazi Unabwabwaja ovyo!!!