Hii mada inahusu mataifa mawili Israel Vs Iran unaposema Israel hawana IQ kubwa directly tunajua upande wako ni upi!Nimeandika hawana IQ Kubwa, sijaandika Waisrael wana IQ ndogo kulinganisha na Wairan.
iki unachokisema hapa ni kunilisha maneno ambayo sijayaandika popote.
kinyume na dai langu kwamba sijasema unachokisema wewe, nionye ni wapi nimeandika hivyo.
hayo mengine uliyoyaandika hapo juu ni speculation tu, huna unachojua.
Wewe avatar yako tu inaonyesha ni kina Alhad Musa πProfile tu inaonyesha wewe ni kila delishaz
Na makanzuHii habari mbaya sana kwa wavaa sandoz[emoji23]
kwamba ni lazima niwe Pro chadema ndo niwe na legitimacy ya kuikosoa Chauma?.Hii mada inahusu mataifa mawili Israel Vs Iran unaposema Israel hawana IQ kubwa directly tunajua upande wako ni upi!
Haina haja ya kuuliza Waisrael hawana IQ kubwa kulinganisha na nani kwa sababu uzi tayari unajieleza.
hilo dai lina ujanja mwingi sana, historia inaonyesha kwamba ulaghai na ujanja wa Wayahudi haukuanzia kwa yakobo, bali kwa babu wa Wayahudi mwenyewe Ibrahim..Israel taifa teule la Mungu huwezi kushindana nalo.
πππTakbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir.
Huwezi kuwa Muislamu alafu ukaukosoa Uislamu abadani.kwamba ni lazima niwe Pro chadema ndo niwe na legitimacy ya kuikosoa Chauma?.
hii umeipata wapi?.
Kwa ili umepotoka zaidi.
Ni utafiti upi ulifanyika kwa kuzingatia race za watu na si utaifa na ukathibitisha Wayahudi wana IQ ndogo?Tukitudi kwenye IQ ilo ni swala la kiutafiti, sio maoni ama matakwa yangu kwamba (YAUDI) wasiwe na IQ..
Hivi unaijua tofauti ya Israelites na Jews?katika nchi za watu wenye IQ KUBWA WAISRAEL HAWAMO.
Waajemi = Watu wote wa Taifa la Iran.sasa sijui ni kwanini mi kusema hivi umeniweka kwenye kundi la Pro waajemi!! .
Ibrahim ama Abraham ni nani kwa mujibu wa Biblia na hata kitabu chenu?hilo dai lina ujanja mwingi sana, historia inaonyesha kwamba ulaghai na ujanja wa Wayahudi haukuanzia kwa yakobo, bali kwa babu wa Wayahudi mwenyewe Ibrahim..
huyu dingi alikuwa Don town..
Saga la Waisrael kung'ang'a hapo walipo leo, linaanzia kwa babu yao Ibrahim.
nae alifanya jambo lile lile ambalo wajukuu zake wanalifnaya.
Alitoka Ur na kwenda kanani katika Ardhi ya watu kwa madai kwamba katumwa na mungu wake.
Dogo ni mtu wa kama hali yako yaani bado hajapevuka kiuelewaji either kwa bahati mbaya ya kutojua au kujitoa ufahamu like you do... so Unayeongea nae aking'amua kuwa umejitoa ufahamu anakuweka kwenye hadhi ya mtoto so kuitwa Dogo unastahili.Dogo ndio nani?
So long as Iran are in Syria they must tread very carefully otherwise they might live to regret.**
Mkuu Iran si nchi ya mchezo mchezo..
ina ina history kubwa na wana uzoefu mkubwa mno katika medani ya kivita.
Iran iliwai tawala dunia, Israel hiyo historia hana.
Mkuu ninaujua uwezo Israel katika vita,uwa nawafananisha na honeyburger(sijui Ikiwa jina nimeliandika Kwa usahihi) hawana hofu kumkabiri adui. lakini ilo lisifanye tuibeze Iran..Ndo akawachokoze wayahud some acheni kukalili Israel Kila siku anapiga hao Iran na Wana Cha kusema zaidi ya mikwala....
Mkuu ninaujua uwezo Israel katika vita,uwa nawafananisha na honeyburger(sijui Ikiwa jina nimeliandika Kwa usahihi) hawana hofu kumkabiri adui. lakini ilo lisifanye tuibeze Iran..
uwezo wa Iran uwezi Kuwa compared na nchi za Kiarabu ambazo ziliwai kulionja joto la Israel.
Irani sio wa kubeza
Wala haikuwa kizazi hiki, ni kama ilivyokuwa kwa Roma, Uturuki (Ottoman). Historia hizo haziwezi kuwa sababu ya kushinda vita kwa sasa.So long as Iran are in Syria they must tread very carefully otherwise they might live to regret.**
Mkuu Iran si nchi ya mchezo mchezo..
ina ina history kubwa na wana uzoefu mkubwa mno katika medani ya kivita.
Iran iliwai tawala dunia, Israel hiyo historia hana.