Baada ya Irani kutangaza kuwa Itajibu mapigo yoyote ya Israel nchini Syria, yagongwa tena

Baada ya Irani kutangaza kuwa Itajibu mapigo yoyote ya Israel nchini Syria, yagongwa tena

Nimeandika hawana IQ Kubwa, sijaandika Waisrael wana IQ ndogo kulinganisha na Wairan.
iki unachokisema hapa ni kunilisha maneno ambayo sijayaandika popote.
kinyume na dai langu kwamba sijasema unachokisema wewe, nionye ni wapi nimeandika hivyo.

hayo mengine uliyoyaandika hapo juu ni speculation tu, huna unachojua.
Hii mada inahusu mataifa mawili Israel Vs Iran unaposema Israel hawana IQ kubwa directly tunajua upande wako ni upi!

Haina haja ya kuuliza Waisrael hawana IQ kubwa kulinganisha na nani kwa sababu uzi tayari unajieleza.
 
kwamba ni lazima niwe Pro chadema ndo niwe na legitimacy ya kuikosoa Chauma?.
hii umeipata wapi?.

Kwa ili umepotoka zaidi.

Tukitudi kwenye IQ ilo ni swala la kiutafiti, sio maoni ama matakwa yangu kwamba (YAUDI) wasiwe na IQ.. katika nchi za watu wenye IQ KUBWA WAISRAEL HAWAMO.

sasa sijui ni kwanini mi kusema hivi umeniweka kwenye kundi la Pro waajemi!! .
 
Israel taifa teule la Mungu huwezi kushindana nalo.
hilo dai lina ujanja mwingi sana, historia inaonyesha kwamba ulaghai na ujanja wa Wayahudi haukuanzia kwa yakobo, bali kwa babu wa Wayahudi mwenyewe Ibrahim..
huyu dingi alikuwa Don town..

Saga la Waisrael kung'ang'a hapo walipo leo, linaanzia kwa babu yao Ibrahim.
nae alifanya jambo lile lile ambalo wajukuu zake wanalifnaya.

Alitoka Ur na kwenda kanani katika Ardhi ya watu kwa madai kwamba katumwa na mungu wake.
 
kwamba ni lazima niwe Pro chadema ndo niwe na legitimacy ya kuikosoa Chauma?.
hii umeipata wapi?.

Kwa ili umepotoka zaidi.
Huwezi kuwa Muislamu alafu ukaukosoa Uislamu abadani.

Tukitudi kwenye IQ ilo ni swala la kiutafiti, sio maoni ama matakwa yangu kwamba (YAUDI) wasiwe na IQ..
Ni utafiti upi ulifanyika kwa kuzingatia race za watu na si utaifa na ukathibitisha Wayahudi wana IQ ndogo?
katika nchi za watu wenye IQ KUBWA WAISRAEL HAWAMO.
Hivi unaijua tofauti ya Israelites na Jews?
Ama ni vile tu Koran ina chuki na Wayahudi basi nawe umelibeba hilo?
sasa sijui ni kwanini mi kusema hivi umeniweka kwenye kundi la Pro waajemi!! .
Waajemi = Watu wote wa Taifa la Iran.
Wayahudi = Jamii ndogo tu ambayo pia ni ina imani yao.
Waisrael = Watu wote wa Taifa la Israel.
 
hilo dai lina ujanja mwingi sana, historia inaonyesha kwamba ulaghai na ujanja wa Wayahudi haukuanzia kwa yakobo, bali kwa babu wa Wayahudi mwenyewe Ibrahim..
huyu dingi alikuwa Don town..

Saga la Waisrael kung'ang'a hapo walipo leo, linaanzia kwa babu yao Ibrahim.
nae alifanya jambo lile lile ambalo wajukuu zake wanalifnaya.

Alitoka Ur na kwenda kanani katika Ardhi ya watu kwa madai kwamba katumwa na mungu wake.
Ibrahim ama Abraham ni nani kwa mujibu wa Biblia na hata kitabu chenu?
 
Irani[emoji777]
Iran[emoji818]

1606416158207.png
 
Dogo ndio nani?
Dogo ni mtu wa kama hali yako yaani bado hajapevuka kiuelewaji either kwa bahati mbaya ya kutojua au kujitoa ufahamu like you do... so Unayeongea nae aking'amua kuwa umejitoa ufahamu anakuweka kwenye hadhi ya mtoto so kuitwa Dogo unastahili.
 
Ndo akawachokoze wayahud some acheni kukalili Israel Kila siku anapiga hao Iran na Wana Cha kusema zaidi ya mikwala....
So long as Iran are in Syria they must tread very carefully otherwise they might live to regret.**

Mkuu Iran si nchi ya mchezo mchezo..
ina ina history kubwa na wana uzoefu mkubwa mno katika medani ya kivita.
Iran iliwai tawala dunia, Israel hiyo historia hana.
 
Ndo akawachokoze wayahud some acheni kukalili Israel Kila siku anapiga hao Iran na Wana Cha kusema zaidi ya mikwala....
Mkuu ninaujua uwezo Israel katika vita,uwa nawafananisha na honeyburger(sijui Ikiwa jina nimeliandika Kwa usahihi) hawana hofu kumkabiri adui. lakini ilo lisifanye tuibeze Iran..
uwezo wa Iran uwezi Kuwa compared na nchi za Kiarabu ambazo ziliwai kulionja joto la Israel.

Irani sio wa kubeza
 
Hana lolote boya Kama maboya wengine ndio maana Israel anajipigia tu huko Syria Kama kidume arushe hata jiwe kutokea Tehran alafu ndo utajua Kati ya Israel na Iran Nani atavaa Dera....badara ya kanzu na kobaz
Mkuu ninaujua uwezo Israel katika vita,uwa nawafananisha na honeyburger(sijui Ikiwa jina nimeliandika Kwa usahihi) hawana hofu kumkabiri adui. lakini ilo lisifanye tuibeze Iran..
uwezo wa Iran uwezi Kuwa compared na nchi za Kiarabu ambazo ziliwai kulionja joto la Israel.

Irani sio wa kubeza
 
So long as Iran are in Syria they must tread very carefully otherwise they might live to regret.**

Mkuu Iran si nchi ya mchezo mchezo..
ina ina history kubwa na wana uzoefu mkubwa mno katika medani ya kivita.
Iran iliwai tawala dunia, Israel hiyo historia hana.
Wala haikuwa kizazi hiki, ni kama ilivyokuwa kwa Roma, Uturuki (Ottoman). Historia hizo haziwezi kuwa sababu ya kushinda vita kwa sasa.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom