Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Hii mada inahusu mataifa mawili Israel Vs Iran unaposema Israel hawana IQ kubwa directly tunajua upande wako ni upi!Nimeandika hawana IQ Kubwa, sijaandika Waisrael wana IQ ndogo kulinganisha na Wairan.
iki unachokisema hapa ni kunilisha maneno ambayo sijayaandika popote.
kinyume na dai langu kwamba sijasema unachokisema wewe, nionye ni wapi nimeandika hivyo.
hayo mengine uliyoyaandika hapo juu ni speculation tu, huna unachojua.
Haina haja ya kuuliza Waisrael hawana IQ kubwa kulinganisha na nani kwa sababu uzi tayari unajieleza.