#COVID19 Baada ya Israel kuchanja 70% ya watu wake dhidi ya Covid 19, maambukizi yarudi kwa kasi kubwa

Aya wale waumini wa hao mabeberu wa taifa teule ,taarifa yenu hiyo buster for second &third time.[emoji18]
And counting....Hii ramli juu ya korona sijui itatufikisha wapi?!
 
Sure he was MWAMBA USIOTETELEKA asee!.
Najiuliza hata kama alikuwa mwongo, inamaana ile inshu ya wale Wanawake waliochanjwa chanjo kuhusu inshu ya uzazi Kenya kisha wakaishia kutokuzaa kabisa pia ilikuwa ni siasa?

Yani sisi Binadamu hatupendi kujifunza hata kidogo maana halisi ya maisha.
 
Hapo wanasema chanjo imepunguza vifo kutoka 101 hadi 25. Ni vizuri ukaweka source.
 
Nchi ya Israel hadi kufikia mwezi April 2021 ilikua imechanja zaidi ya 70% ya raia wote kuanzia miaka 12 na kuendelea.

Lakini ghafla kuanzia mwezi June hadi August 2021 maambukizi ya covid 19 yamerudi upya na kwa kasi kubwa.

Wataalamu wa Israel wanasema hii inatokana na kupungua kwa ufanisi wachanjo baada ya miezi 6 toka mtu achanjwe hivyo kuwaweka wakiochanjwa kwenye hatari ya kuambukizwa ama kufariki.

Nchi kadhaa zimeanza kuona maambukizi yakiongezeka kwa raia wao hata kama wamechanjwa hivyo kupedekeza kutolewa kwa chanjo ya 3 kwa wale waliopata 2 ama ya 2 kwa wale waliopata chanjo aina ya J&J.

Unaweza kujisomea mwenyewe hapa.
===

Israeli lawmakers are keen to avoid another lockdown after overseeing one of the world’s fastest vaccination drives. New daily coronavirus infections, however, have just climbed to record levels.

While many nations were grappling with the rapid spread of the highly transmissible delta variant, Covid-19 transmission in Israel declined sharply as the country vaccinated more than half of its population in around two months.

The country had one of the fastest vaccination rollout programs in the world, and by early June many of its coronavirus restrictions were lifted as new cases fell dramatically. But just days later, masks were reimposed as new infection numbers began to creep upward.

Around 63% of the Israeli population has been fully vaccinated, according to data compiled by Our World in Data.
Covid-19 cases in Israel have been rising sharply since July despite the high vaccination rate. New daily cases in the country reached an all-time high of 12,113 on August 24, surpassing the January peak of 11,934.

Just months ago, new cases had fallen to double-digits, and there were some days in May and June where no new infections were recorded.

There were 992 new cases of Covid-19 per million people in Israel as of Monday. By comparison, the U.S. recorded 446 new cases per million people, Our World in Data’s statistics show.

Despite high levels of so-called “breakthrough cases,” morbidity in the country hasn’t overtaken the peak seen in January, which is widely attributed to the vaccination rollout. On Sunday, 25 deaths were recorded in Israel — a far cry from the record high of 101 on January 20 this year. Over the past month, 476 deaths from Covid-19 have been recorded in Israel, compared to 1,471 in January. But hospitalizations and deaths are rising.

To be sure, everyone over the age of 12 is eligible for Covid-19 vaccination in Israel.

Vaccine booster hopes
Preliminary data published by the Israeli government in July showed the Pfizer-BioNTech vaccine was just 16% effective against symptomatic infection for people who had received two doses in January. For people who had been fully vaccinated by April, the vaccine was 79% effective against symptomatic infection, suggesting that immunity gained through immunization depletes over time.
However, the analysis did conclude that having the vaccine provided strong protection against severe illness and hospitalization caused by Covid-19.
Hiyo ni narrative moja. Inaweza kuwa sahihi.

Narrative nyingine ni hii....37% ya population haijachanjwa. From a purely scientific perspective, and all things being equal, wanaoathirika (hadi kufa) ni wale ambao hawajachanjwa. Na hii pia inaweza kuwa sahihi.

Inahitajika scientific approach kabla ya kutoa sweeping statements za kwamba chanjo inafaa au haifai.

Nimemaliza.
 
Nchi ya Israel hadi kufikia mwezi April 2021 ilikua imechanja zaidi ya 70% ya raia wote kuanzia miaka 12 na kuendelea.

Lakini ghafla kuanzia mwezi June hadi August 2021 maambukizi ya covid 19 yamerudi upya na kwa kasi kubwa.

Wataalamu wa Israel wanasema hii inatokana na kupungua kwa ufanisi wachanjo baada ya miezi 6 toka mtu achanjwe hivyo kuwaweka wakiochanjwa kwenye hatari ya kuambukizwa ama kufariki.

Nchi kadhaa zimeanza kuona maambukizi yakiongezeka kwa raia wao hata kama wamechanjwa hivyo kupedekeza kutolewa kwa chanjo ya 3 kwa wale waliopata 2 ama ya 2 kwa wale waliopata chanjo aina ya J&J.

Unaweza kujisomea mwenyewe hapa.
===

Israeli lawmakers are keen to avoid another lockdown after overseeing one of the world’s fastest vaccination drives. New daily coronavirus infections, however, have just climbed to record levels.

While many nations were grappling with the rapid spread of the highly transmissible delta variant, Covid-19 transmission in Israel declined sharply as the country vaccinated more than half of its population in around two months.

The country had one of the fastest vaccination rollout programs in the world, and by early June many of its coronavirus restrictions were lifted as new cases fell dramatically. But just days later, masks were reimposed as new infection numbers began to creep upward.

Around 63% of the Israeli population has been fully vaccinated, according to data compiled by Our World in Data.
Covid-19 cases in Israel have been rising sharply since July despite the high vaccination rate. New daily cases in the country reached an all-time high of 12,113 on August 24, surpassing the January peak of 11,934.

Just months ago, new cases had fallen to double-digits, and there were some days in May and June where no new infections were recorded.

There were 992 new cases of Covid-19 per million people in Israel as of Monday. By comparison, the U.S. recorded 446 new cases per million people, Our World in Data’s statistics show.

Despite high levels of so-called “breakthrough cases,” morbidity in the country hasn’t overtaken the peak seen in January, which is widely attributed to the vaccination rollout. On Sunday, 25 deaths were recorded in Israel — a far cry from the record high of 101 on January 20 this year. Over the past month, 476 deaths from Covid-19 have been recorded in Israel, compared to 1,471 in January. But hospitalizations and deaths are rising.

To be sure, everyone over the age of 12 is eligible for Covid-19 vaccination in Israel.

Vaccine booster hopes
Preliminary data published by the Israeli government in July showed the Pfizer-BioNTech vaccine was just 16% effective against symptomatic infection for people who had received two doses in January. For people who had been fully vaccinated by April, the vaccine was 79% effective against symptomatic infection, suggesting that immunity gained through immunization depletes over time.
However, the analysis did conclude that having the vaccine provided strong protection against severe illness and hospitalization caused by Covid-19.
Naomba utuwekee link
 
Mh Haya wacha tuone upgrading ya mifumo.
 
Chanjo Bado cio suruhisho kwa covid pale New Zealand wamesharipoti kifo Cha mama mmoja kusababishwa na chanjo. Jamani msichanje wekeni matumaini kwa mungu. Amina.

Wengine wanasema wanachanja ili waweze kusafiri. Yaan akili ni nywele
 
Umeshindwa kuitafsiri hiyo habari yenye lugha ya kiingereza,siyo kosa lako kiingereza siyo lugha yako ni lugha iliyokusaidia kujibu maswali kwenye mitihani ya shule ulizosoma si zaidi ya hapo,halafu hakuna sehemu iliyowahi kuelezewa kwamba chanjo inakinga mtu asipate virusi vya covid 19 huo ni uelewa wako mbaya.
 
Najiuliza hata kama alikuwa mwongo, inamaana ile inshu ya wale Wanawake waliochanjwa chanjo kuhusu inshu ya uzazi Kenya kisha wakaishia kutokuzaa kabisa pia ilikuwa ni siasa?

Yani sisi Binadamu hatupendi kujifunza hata kidogo maana halisi ya maisha.

Mkuu ukitaka kuishi maisha yasiyo na giriba na hofu uwe muongo, usiwe na msimamo thabiti mbele za watu nk.

Hapo utapeta sana, na hiyo si kwenye siasa tu is any where!.
 
Nimekuelewa sana Kaka maana wenye misimamo huwa mwisho wao si mzuri sana, japo kwa Mungu pekee hutakiwi kuwa na sura 2 tofauti.
 
Huko kanisani ambako ndiko kimbilio la wanyonge kwa Mungu wao ndipo kunatisha kwelikweli!.
 
Nchi ya Israel hadi kufikia mwezi April 2021 ilikua imechanja zaidi ya 70% ya raia wote kuanzia miaka 12 na kuendelea.

Lakini ghafla kuanzia mwezi June hadi August 2021 maambukizi ya covid 19 yamerudi upya na kwa kasi kubwa.

Wataalamu wa Israel wanasema hii inatokana na kupungua kwa ufanisi wachanjo baada ya miezi 6 toka mtu achanjwe hivyo kuwaweka wakiochanjwa kwenye hatari ya kuambukizwa ama kufariki.

Nchi kadhaa zimeanza kuona maambukizi yakiongezeka kwa raia wao hata kama wamechanjwa hivyo kupedekeza kutolewa kwa chanjo ya 3 kwa wale waliopata 2 ama ya 2 kwa wale waliopata chanjo aina ya J&J.

Unaweza kujisomea mwenyewe hapa.
===

Israeli lawmakers are keen to avoid another lockdown after overseeing one of the world’s fastest vaccination drives. New daily coronavirus infections, however, have just climbed to record levels.

While many nations were grappling with the rapid spread of the highly transmissible delta variant, Covid-19 transmission in Israel declined sharply as the country vaccinated more than half of its population in around two months.

The country had one of the fastest vaccination rollout programs in the world, and by early June many of its coronavirus restrictions were lifted as new cases fell dramatically. But just days later, masks were reimposed as new infection numbers began to creep upward.

Around 63% of the Israeli population has been fully vaccinated, according to data compiled by Our World in Data.
Covid-19 cases in Israel have been rising sharply since July despite the high vaccination rate. New daily cases in the country reached an all-time high of 12,113 on August 24, surpassing the January peak of 11,934.

Just months ago, new cases had fallen to double-digits, and there were some days in May and June where no new infections were recorded.

There were 992 new cases of Covid-19 per million people in Israel as of Monday. By comparison, the U.S. recorded 446 new cases per million people, Our World in Data’s statistics show.

Despite high levels of so-called “breakthrough cases,” morbidity in the country hasn’t overtaken the peak seen in January, which is widely attributed to the vaccination rollout. On Sunday, 25 deaths were recorded in Israel — a far cry from the record high of 101 on January 20 this year. Over the past month, 476 deaths from Covid-19 have been recorded in Israel, compared to 1,471 in January. But hospitalizations and deaths are rising.

To be sure, everyone over the age of 12 is eligible for Covid-19 vaccination in Israel.

Vaccine booster hopes
Preliminary data published by the Israeli government in July showed the Pfizer-BioNTech vaccine was just 16% effective against symptomatic infection for people who had received two doses in January. For people who had been fully vaccinated by April, the vaccine was 79% effective against symptomatic infection, suggesting that immunity gained through immunization depletes over time.
However, the analysis did conclude that having the vaccine provided strong protection against severe illness and hospitalization caused by Covid-19.
Ila hapa Tanzania kabla ya taarifa ya habari Mama analitaarifu taifa kuwa chanjo j&j ni salama!
 
Back
Top Bottom