Habarini ndugu zangu wa Jf , naomba kujua nikweli ambao hawajajisajiri kwa alama za vidole ,laini zao zimefungwa au ilikuwa siasa tu kama tulivyozoea miaka yote matamko ? Naomba kujua maana naona shughuli zinaendelea kama kawaida au muda umeongezwa tena?
Ila nasikia TCRA wameona wawatafute wale wenye vitambulisho vya NIDA na hawajajisajili wawazimie line zao. Wasio na vitambulisho wataendelea kujidai. Sijui kama kama kuna ukweli.
Kama ni kweli basi TCRA imepatwa.
Pole mkuu. Kama ni ya muhimu sana kajisajili tu.Halotel wameshafanya yao hapa siwez kufanya chochote na hata mtu akipiga namba yangu anaambiwa 'namba hii imezuiliwa kwa muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unasubiri kusajili?!
Point
Nitamshanga service provider atayezima simu ambayo haijasajiliwa ili akose mapato .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hutaki kusajili?Waongo tu hao tcra Mimi Nina line ya halotel sijaisajili na kitambulisho cha NIDA ninacho ila hawajazima.
hahaKumetokea ugomvi kati ya NIDA na TCRA NIDA wanalalamika kuwa kwanini TCRA wanasajili simu kwa vitambulisho vyao (NIDA) ?
Eti kuwa TCRA wanawagombanisha na wananchi kwa kuwasingizia NIDA watafunga laini za simu.NIDA wamesema hawahusiki na mambo ya kuzima wala kuwasha simu.TCRA kama wanaona kutengeneza vitambulisho ni kazi rahisi kwanini wasitengeneze vya kwao kwa ajili ya kusajilia simu?
Wanajifariji tuMbona watu wameshafungiwa line?what are you talking about
Unaongea nankuandika vitu vingi emotionally but nonsensical.Kubali tu kuwa utaalamu wa kutosha TCRA hawana,Wenye uwezo wa kufunga lain kwa ufasaha zaidi ni wenye mitandao husika na si TCRA .Tunahitaji kuongeza utaalamu katika mambo haya na sio hapa tulipo,hapa bado
Sent using Jamii Forums mobile app