Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu

Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu

Habarini ndugu zangu wa Jf , naomba kujua nikweli ambao hawajajisajiri kwa alama za vidole ,laini zao zimefungwa au ilikuwa siasa tu kama tulivyozoea miaka yote matamko ? Naomba kujua maana naona shughuli zinaendelea kama kawaida au muda umeongezwa tena?
IMG-20200120-WA0003.jpg
 
Chonde chonde na kauli zako aisee unaongea usichokijua! Better be quite and learn things, ulishawahi kuskia serikali za nchi flan wamefunga internet ya nchi nzima unadhan nan ndo hua wanafunga hio internet?

Na je unajua serikali ndo anaesmamia mkongo mzima taifa lote, yaaani wanaweza wakanuna tu na mitandao yote isifanye kazi, punguza ushabiki aisee

Yawezekana wametumia ubindam kuextend mda zaidi lakini kila kinachopita kwenye mawimbi kiko under there control

Mda mwingine mnafanya nchi tunaonekana wananchi wetu hakua kitu kabisa kichwan kwa mada kama izi, ebu get some education kwanza unatia Ainu

Izo data za fingerprints anapewa yoyote anaezitaka, meaning kwamba hata mm leo nkizitaka napewa as long umekuja kuweka kidole sehem taarifa zako znahitajika na nmekamilisha vibali vyote kwa NIDA
 
Kuja jambo ambalo serikali imekosea.

Sheria ya mawasiliano ya mwaka 1997 hailazimishi mmiliki wa laini ya simu kusajili kwa kitambulisho cha taifa tuu bali inaruhusu kutukia vitambulisho vitano.

Hivyo serikali ilitakiwa kwanza kuhuisha sheria kabla ya kuja na katazo hili.

Ukiwauliza wametumia sheria ipi hawana jibu?

UMASIKINI WA FIKRA UNAFANYA KIMAENDELEO TUNABAKI BIKRA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Influenza,
Mi sijui walinikosaje?
Nilikuwa na kitambulisho cha NIDA kitambo sana na sikuwa nimesajili.
Nimeisajili jioni hii
 
Kumetokea ugomvi kati ya NIDA na TCRA NIDA wanalalamika kuwa kwanini TCRA wanasajili simu kwa vitambulisho vyao (NIDA) ?
Eti kuwa TCRA wanawagombanisha na wananchi kwa kuwasingizia NIDA watafunga laini za simu.NIDA wamesema hawahusiki na mambo ya kuzima wala kuwasha simu.TCRA kama wanaona kutengeneza vitambulisho ni kazi rahisi kwanini wasitengeneze vya kwao kwa ajili ya kusajilia simu?
haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stakehigh, Unaongea nankuandika vitu vingi emotionally but nonsensical.Kubali tu kuwa utaalamu wa kutosha TCRA hawana,Wenye uwezo wa kufunga lain kwa ufasaha zaidi ni wenye mitandao husika na si TCRA .Tunahitaji kuongeza utaalamu katika mambo haya na sio hapa tulipo,hapa bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri usajili kwa alama za miguu sasa (footprint)
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Yaani wewe ni popoma. Kaa tu kimya badala ya kubishana na mtu anaeweka logic. What's your logic. Unajua mkongo wa taifa unafanyeje kazi? Unajua nani anaeudhibiti huo mkongo centrally?. Yaani kuna watu mnajifanya mnajuua kumbe mnaanika ujinga mlionao!
Unaongea nankuandika vitu vingi emotionally but nonsensical.Kubali tu kuwa utaalamu wa kutosha TCRA hawana,Wenye uwezo wa kufunga lain kwa ufasaha zaidi ni wenye mitandao husika na si TCRA .Tunahitaji kuongeza utaalamu katika mambo haya na sio hapa tulipo,hapa bado

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na baya zaidi service providers system zao hazijaweza mpaka sasa kutenganisha baina ya number zilizosajiliwa na zilizosajiliwa. Kwa kuthibitisha hilo jaribu kukopa pesa kwa huduma ya NIVUSHE kwa watumiaji wa Tigo itakwambia sajili number yako japokuwa utakuwa ushasajili!

Kuna hatari kubwa ya kuzimwa simu mpaka zilizosajiliwa tayari
 
Back
Top Bottom