#COVID19 Baada ya kampeni ya chanjo za COVID-19 kudoda, Askofu Gwajima kuwa mbuzi wa kafara?

Mwendazake ameliharibu sana taifa hili

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 

Kama ninyi sio wajinga, kwa nini hamukuufuta kwanza ujinga wetu
kabla hamjaagiza chanjo za korona ambazo kwa sasa zimedoda kwenye magodauni na pia kuna uwezekano zimeanza ku expire!
 

Nimeupenda sana mchango wako ambao umejaa nguvu za hoja.

Watu kama wewe kwa sasa wamekuwa adimu sana kwenye jukwaa hili.

Wengi kwa sasa hoja zao hapa jukwaani ni matusi na kejeli za kijinga.

Thanks a lot!
 
Naona sasa ni zamu yako kuleta uzi humu chato gang.

Poleni sana na chuki zenu dhidi ya Samia. Hamjafanikiwa kwenye lolote na hamtafanikiwa kwenye lolote
 
Mtoa post mwenyewe ni mpinzani wa serikali

Kwa hiyo kama mpinzani wa serikali?

Kwa hiyo unataka kusema kuwa wale wote ambao wamekataa kuchanja ni wapinzani wa serikali?

Hii nchi ina vituko!
 
nyinyi mataahira mtaacha lini kumwota magufuli!!!!

kwani imeshindikana kabisa kuelewesha watu umuhimu wa chanjo tofauti na walivyoelekezwa na magufuli!!
 
Acha kuita watoto wa watu kibwengo ndo tatizo lenu nyinyi watoto mlio patikana guest house hamna adabu ..shenzi kabiba
 
Usanii zaidi wa hii biashara ya kulazimishana umeonekana Zanzibar ambako chanjo iliyotumika pamoja na kuidhinishwa na WHO haitambuliwi na nchi za Magharibi na Marekani.
Hivyo imepelekea Mahujaji wachanje tena J&J ili waende Saudia nchi mshirika wa Ulaya na Marekani.

Completely business
 
Basi huyu Magu atakua na ushawishi mkubwa sana, suala la chanjo limeigawa dunia kuanzia huko zinakotengenezwa.
Kwetu tuheshimu maamuzi na hiari kama tulivyoambiwa, anaetaka achanje, anaeona tashwishwi asichanje. Hakuna sababu ya ugomvi.

Mleta uzi anaonya athari na kutoa tahadhari kwa wanaochanjwa kwamba kwa mwenendo unavyoenda, huenda dawa zikafikia muda wake wa kwisha matumizi zikiwa bado hazijatumika.

Akatoa wito kampeni na namba bora ya uhamasishaji ifanyike badala ya hii ya awali kutokuonyesha matokeo chanya.

Kwanini tunajikita kumshambulia mtoa hoja badala ya kujadili hoja?

Tumeona hadi sasa hivi ndugu zetu wa Zanzibar waliochoma chanjo ya China kama sehem ya maandalizi ya kwenda hija wameambiwa wanatakiwa wachanje J&J au zingine zinatotambulika Saudia. Hayo ni mambo serikali ilitakiwa iwe mstari wa mbele kutolea ufafanuzi na kueleza nini kifanyike ili kuwatuliza wananchi. Vinginevyo taharuki zitaendelea.
 
Shida kubwa katika suala la chanjo ni kuwa limechukuliwa kiimani zaidi kuliko kisayansi na hivi vitu viwili haviendi sawa.

Kwa sababu jamii ina watu wenye mitazamo tofauti, Serikali ilifanya uamuzi wa busara kuleta chanjo nchini ili anayeihitaji apate asiyeigitaji aache, kuliko kuegemea upande mmoja tu wa wasioihitaji na hivyo kutoileta.

Ni vizuri kuheshimu pande zote mbili, lakini sio sawa kuilaumu Serikali maana imetimiza wajibu wake.
 
Ni mambo ya kihuni mwanzo mwisho.
 
Hizo chanjo nyingine mbona hazipigiwi chapuo kiasi hiki!?
 
Naona chanjo ya COVID-19 imekuvuruga akili,namtavurugika kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…