#COVID19 Baada ya kampeni ya chanjo za COVID-19 kudoda, Askofu Gwajima kuwa mbuzi wa kafara?

Nimeupenda sana mchango wako ambao umejaa nguvu za hoja.

Watu kama wewe kwa sasa wamekuwa adimu sana kwenye jukwaa hili.

Wengi kwa sasa hoja zao hapa jukwaani ni matusi na kejeli za kijinga.

Thanks a lot!
Mkuu hili jambo la chanjo linaonekana kwenye macho ya kawaida kabisa kwamba ni usanii. Chanjo imeshindwa kabla ya kuanza.

Kwa hili la chanjo Gwajima ataonekana mshindi ndani ya muda mfupi ujao.

Tanzania imejiingiza kwenye madeni yasiyo na kichwa wala miguu, iko wazi kwamba hii wastage of public resources. Tumechukua mkopo matrilioni kununua madawa ambayo hayana faida yoyote, mengi yataharibika kabla ya kutumika, pili mengi hayatatumika kwa sababu ya anti vaccine sentiments iliyojengeka Tanzania na mwisho huu utaratibu wa chanjo ukiendelea hivi maana yake tutahitaji miaka si chini ya 15 kuchanja population iliyopo sasa ya 60m.

Na kwa 15 years hatutakua hii hii population ya sasa ya 60m, tutakua zaidi maana yake hii chanjo itakua ni life time, endless chanjo jambo ambalo halipo.

Juzi nimesikia wanasema wanatoa chanjo ya ukimwi, na UN imeapa kufikia 2030 wawe wameangamiza ukimwi. Kwa maana kwamba wamepiga pesa za kutosha kwenye ukimwi sasa wanaleta dawa yake, biashara mpya ni covid 19.
 
Hata wewe ulie comment hapa ni zaidi ya disaster Bora bao lako lingekuwa la puli uliwe na mavi chooni...........maana unataka kutuaminisha ujinga ulio kwenye ujinga wako......chanjo ni hiari na si lazima maana hao hao walishasema chanjo mbaya haafu wanakuja kama mazombi kutuaminisha tena au walijua tumesahau?? Kauli ya Kwanza ndio inayo mfunga mshitakiwa
 
Sawa kwani ikidoda ni faida na hasara kwa nani? Ukifa ni wewe sio Serikali.

Hasara nyingine kubwa ni kwamba kama ingefanikiwa serikali ingepata uhalali wa kupata fedha za mkopo wa masharti nafuu kutoka mfuko wa dharura wa kupiga jeki Uchumi kutokana na madhara ya Covid karibu Til.1..

Sasa lazima kuwe na justifications utoe idadi ya waathirika na uoneshe initiative ya kimataifa ya kukabiliana na ugonjwa kwa chanjo tena za bure.

Sasa kwa kuwa nchi imejaa wajinga wanaoamini miujiza na imani za kichawi ndio madhara yake kwa hiyo mkiwekewa tozo msilalamike lazima nchi iende.
 
Watu wanapinga chanjo lakini mwisho wa siku watazikimbilia kama vitambulisho vya NIDA. Muda ndo utaongea. Ngoja tungoje!
 
Familia ambazo zimeguswa kwa namna moja au nyingine na uviko-19 wanajua na wanaishukuru serikali kwa kuagiza chanjo.Kama hujapatwa na hangs hili, utaona Kama hazina umuhimu
 
Kwa hiyo, huyu mama ndio mfano wa Raisi tunayepaswa kuwa naye?
 
Tukiwaambia kila mara kuwa CCM imekosa watu sahihi wa kuongoza,mnatunanga!
Huu ndio uthibitisho wa kuwa Chama "twawala" hawana jambo jema lolote kwa taifa hili. Uwezo wao wa kufikiri na kutenda kama binadamu aliye timamu umefika tamati.
Hakuna jambo jema toka kwa watu walewale wa chama kile kile.
 
utapeli wa serikali Vs utapeli wa CCM ambamo Gwajima nwenyewe ni member wa ccm na serikali .

Mkadanganye wajinga
 
🤣🤣🤣
 
Muhimu watu wachanje hata ikifika miaka 10
 
33% ndani ya mwezi mmoja huu ni ushindi wa kishindo ukilinganisha na propaganda za hawa mahayawani
 
funga domo lako ukachanje ,proganda za mpenda sifa sasa zimeshafungwa
 
Kamfufue basi Acha longo longo.
 
Mkuu maelezo yako mazuri sana..
Mleta uzi ni masalia ya lile chizi la chato..
Mpaka leo hawaamini kama amekufa na hatorudi milele.
Tulifanikiwa kupata Rais la ajabu kuwahi kutokea. Uzuri Mungu husikia kilio cha waja wake.... akakituma kidudu cha 19, kikaturahisishia safari...
 
Kwakweli misukule na fisi za marehemu mchawi wanasumbua Mkaruka!
😅
 
Mkuu, wanaoishi usukumani wanajua.

Mchawi akifa ghafla misukule yake na fisi huwa vinasumbua sana wanakijiji hasa usiku, intangatanga sana kwa njaa.

Hiki ndicho kinachotokea kwasasa.
Ahsante kwa kunifumbua macho.

Nilikuwa najua ni vimchepuko vya Meko... kumbe ni vifisi vinaomboleza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…