#COVID19 Baada ya kampeni ya chanjo za COVID-19 kudoda, Askofu Gwajima kuwa mbuzi wa kafara?

Safi sana mleta mada, hii taarifa imejaa madini kuliko ile ya tamwa iliyojaa upupu.......bila shaka unautendea haki udokta wako.
 
Nyie kwenye swala la chanjo mlitaka kumiminika Kama watu wanaenda kupiga kura kama 2020,

Chanjo imelenga KWANZA makundi maalum kwenye jamii, ila niseme watu Wanaendelea kuchanja ,na KWA flow ya watu ni sawa

Mfano unaweza kuona chanjo ya TT, au homa ya ini , sio lazima KWA KILA mtu ,ila zipo na watu huchanja,

Na tunacho sema chanjo ya COVID, sio lazima ila iwepo nchini ,KILA mtu aendelee kuchanja KWA mda wake, sio kutuletea propaganda uchwara katika Maisha ya watu
 
Mama Gwajima hili la chajo alikurupuka. Fikra za Dkt Magufuli ni kama moto uwakao katikati ya msitu mnene, ukiwa pembezoni unaweza dhania hakuna moto. Zaidi ya 80% watanzania wanamlaani sana waziri wa afya kwa kumdanganya rais. Na usikute walimuambia iwe lazima ila kawakatalia. Hatupingi chanjo ila iwekwe wazi watu waendelee kumamua.
 
Total disaster! What a shame! You know nothing abt the covid circus!! Better be quiet! You are just a slave.
 
Haya waunga mkono wa chanjo hawawezi kujiuliza hii chanjo iliyokataliwa na nchi za magharibi iliidhinishwa na chombo gani mpaka itumike?

Je Serikali ya Zanzibar hawakujua kuwa haitambuliki hi chanjo na mataifa mengine?
Haikubaliki kwa sababu haina ubora?

Vipi waliochanjwa chanjo ambayo huenda Ina madhara ndo maana haitambuliki watasaidiwaje ?ukizingatia wanajaza consent form ya kutoishitaki Serikali.
 
Na hili rais ajifunze kuwa ushawishi wake kwa Watanzania ni mdogo Sana.

Mwendazake bado anaishi na hoja zake,ndiyo maana kiongozi yeyote anayejitenga na falsafa ya JPM juu ya chanjo atakuwa na wakati mgumu Sana 2025,maana hii itakuwa ajenda kuu.

Na ndiyo maana unaona Mwendazake alipinga kutangaza visa,hawa walipo wamepatwa kigugumizi huku mabeberu yakishinikza watangaze visa.
 
Ni kweli Dkt Magufuli anaishi kwenye fikra za watanzania waliowengi. Hotuba ya mama leo pale tegeta imeonesha ukomavu kisiasa. Gwajiboy anaweza kumpandisha kisiasa iwapo atafuata misingi ya Dkt Magufuli.
 
Ni kweli Dkt Magufuli anaishi kwenye fikra za watanzania waliowengi. Hotuba ya mama leo pale tegeta imeonesha ukomavu kisiasa. Gwajiboy anaweza kumpandisha kisiasa iwapo atafuata misingi ya Dkt Magufuli.
Ni kweli tupu yajayo yanafurahisha.
 
Gwajima LAZIMA aubebe msalaba
 
Akili kubwa hii!
 
Kampeni ya COVID imekuwa ngumu kwasababu ha athari za akili ya kibwenhmgo Magu alizoacha.

Hata CCM wenyeqe naamini wamejifunza siyo kila mtu anaweza kuwa Rais. Magu was a total disaster.
Haa haa just haa haa eti Kibwengo Magu😄
Wajane hawatakuacha jiandae 😄😄😄
 
Sikiliza hapa then chagua kuchanja au hapana

Bonyeza tu:
VACCINATIONS AS A ...
6 days ago — House Bill 4471 PROHIBITS VACCINATIONS AS A CONDITION OF EMPLOYMENT
 
Soma hoja sio kushambulia mtoa hoja.

Tanzania ina watu wa ajabu sana na utashangaa wewe ni msomi, sijui hua mnasoma nini huko vyuoni, reasoning zero kabisa.

Asante sana.

Kuna baadhi ya watu ambao ni wajinga wanadhani kumshambulia mtoa mada ndio njia sahihi ya kujenga hoja!
 
Nachompendea Askofu Gwajima ni pale aliposema tuchunge kauli, ni suala la muda tu itabainika ni nani alisema ukweli au uongo!!


For sure mwitikio wa chanjo ni zero, hata leo mh Rais ameshuhudia hilo wananchi wa jimbo la kawe pale Tegeta wamekataa kuchanja!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Labda kuwe na kiwango fulani cha elimu kwa wabunge wote, falsafa kiwango cha degree ili busara itumike katika kutoa hoja. Kumbuka unawakilisha kundi la watu wanaokutegemea kwa mawazo yenye tija. Alichosema askofu na uhaini ni vitu viwili tofauti, serikali ilisema ukubali au ukatae chanjo. Yeye kakataa, ana kosa gani?
 
Kwa bahati mbaya sana, Rais amezungukwa na wanafiki wengi zaidi.Asilimia kubwa wanajua ukweli wa chanjo isipokuwa hawawezi kumweleza huo ukweli Rais.
 
Mbona una jazba sana? Hupaswi kuendelea kuwa na woga. Magufuli ni Marehemu bado unakuwa na Hofu naye? Kwa sasa tuna Mama, anaupiga mwingi sana...😂
 
Kwani unadhania standard procedure ya kuhifadhi hizo chanjo nyingine iko tafauti? Unadhania zinatupwa tu store?
 
Gwajiboy mtamuonea tu, ina maana huko visiwani napo wanamsikiliza yeye?.

Mbona chanjo zimedida pia, acheni uzandiki?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…