#COVID19 Baada ya kampeni ya chanjo za COVID-19 kudoda, Askofu Gwajima kuwa mbuzi wa kafara?



 
Kiongozi lazima uwe na team ya ushindi na siyo hawa makanjanja tupu

Inawezekana hata kiongozi akawa ni kanjanja!

Waliosema, the buck stops at the state house nadhani hawakukosea!
 
Kama ni hivyo basi nchi nzima hii walimuelewa sana magu
 
Naona sasa ni zamu yako kuleta uzi humu chato gang.

Poleni sana na chuki zenu dhidi ya Samia. Hamjafanikiwa kwenye lolote na hamtafanikiwa kwenye lolote

Na wewe ni zamu yako kujibu uzi wangu!

Sisi “ sukuma gang” hatuwezi kufanikiwa kwa sababu kama asingekuwa Rais Magufuli kuchagua kuwa mgombea mwenza sidhani kama Rais Samia angekuwa ni Rais wa Tanzania!
 
Na wewe ni zamu yako kujibu uzi wangu!

Sisi “ sukuma gang” hatuwezi kufanikiwa kwa sababu kama asingekuwa Rais Magufuli kuchagua kuwa mgombea mwenza sidhani kama Rais Samia angekuwa ni Rais wa Tanzania!
Mjomba umeambiwa utafute namna nyingine ya kuishi,

Kuishi kwa kudanganyana hakupo kama wazungu wanataka kukuua wana njia nyingi za kukuondoa kama walivyomuondoa huyo uliyekuwa unapata riziki kupitia mgongo wake!!
 
nyinyi mataahira mtaacha lini kumwota magufuli!!!!

kwani imeshindikana kabisa kuelewesha watu umuhimu wa chanjo tofauti na walivyoelekezwa na magufuli!!

Badala ya kupambana ili kubadilisha mawazo ya wananchi wengi kuhusu fikra za chanjo za korona, kwa sasa wanachofanya ni kutoa lawama kwa mtu ambaye amemaliza safari yake ya hapa duniani!
 

Hizi chanjo ni biashara lakini mbaya zaidi ni biashara ya kulazimishana!
 
Ukiwa kiongozi ukazungukwa na wanafiki wengi. Ni ngumu kufanikiwa.

Mama ana wasaidizi ambaohata huna uhakika kama wanafanyakazi kwa dhati, au bora liende.
Wewe ni muumini wa Self declared Askofu Gwajima.Mwenzenu keshachanja Kenya tangia mwaka jana.Sasa nyie wapumbavu mtaondoka na familia zenu.Nenda kawaulize wanauza Sanda na Majeneza watakujibu.Maelfu wamelazwa na mamia watapoteza maisha kwa ajili ya covid 19.
 

Mkuu, nashukuru kwa mchango wako wenye ukweli na hekima
Kubwa.

Kwa sasa jukwaa hili limebakiwa na watu wachache sana wenye uwezo mkubwa kifikra kama wewe.

Asante
 
Hizo chanjo unazosema siyo chanjo za majaribio ni chanjo kamili ,kuhusu chanjo za korona tulisha sema sana sijui hadi tuwatie vidole ndiyo muelewe tumesema uwezi kusema kuna chanjo ya korona wakati ugonjwa upo katika hali ya kubadilika badilika hivyo tukasema tusubiri hadi itakapo patikana chanjo ya uhakika ya kovidi
 
Wameingia kichwa kichwa ili na wao waonekane. Kwa mwaka moja unahitaj chanjo si chini ya tatu (Case study - UK wanatoa third jab right now) Kuchanja 90% ya watanzania mara tatu zinatakiwa dozi millioni kama 150 na usheee. Je Bei ya booster shots ni sawa na chanjo ya kwanza? Kama ni tofuti ni kwa kiasi gani?


 
Yule "Hero" wako

kichwa ngumu ndie chanzo cha yote, apumzike anapostahili, alifundisha wengi ujinga mwishowe ukamrudia mwenyewe.

Gwajima kukosa ushahidi wa kisayansi kwa zile pumba zake ndio sababu ya kuadhibiwa kwake, nothing else.
Nijibu hii korona inayoua sasa hivi ni ile ya kwanza au yapili maana hizo magufuli alitupitisha ,je kovidi ya kwanza bado ipo ? je kovidi ya pili bado ipo? Je kama hazipo zimeenda wapi maana hatukutumia chanjo yoyote kwa hizo kovidi ,sasa unasemaje magu kichwa ngumu
 
Mavi haya
 
Mkuu maelezo yako mazuri sana.

Mleta uzi ni masalia ya lile chizi la chato.

Mpaka leo hawaamini kama amekufa na hatorudi milele.
Muulize mama ikulu hatakuambia kuwa kupambana na wapinzani tz ni wepesi sana kuliko kupambana na legacy ya marehemu magufuli ,mother mwenyewe katii
 
Mkuu, wanaoishi usukumani wanajua.

Mchawi akifa ghafla misukule yake na fisi huwa vinasumbua sana wanakijiji hasa usiku, intangatanga sana kwa njaa.

Hiki ndicho kinachotokea kwasasa.
Je na mitume wakifa uwa kitugani cha hao mitume kinabaki kikisumbua waovu ? Sasa magufuli legacy ni legacy ya kitume inafanya kazi zaidi baada ya yeye kufa wewe subiri miaka miwili ijayo utajua hichi ninacho kuambia wabunge na viongozi wote watasujudia LEGACY YA MAGUFULI ILI WASITILIKE
 
Inatumika nguvu nyingi kumlaumu Magufuli kuliko nguvu hizo kuzitumia kushawishi na kuwaaelimisha watu kukubali kuchanjwa, ukiangalia hakuna jitihada yeyote ya maana kwa serikali inayofanya katika kushawishi watu ila watu kutwa wanamlaumu Magufuli tu.
 

Inashangaza kwa sasa kuona kuwa serikali ambayo ilifanya suala la chanjo kuwa la hiari lakini kwa sasa inachofanya kinaonyesha sio hiari tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…