mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Nilimdharau sana huyu Dr kama mtu mwenye elimu ya PHD hapa Tz anaweza ku reasons kama mtoto wa kindergarten .......elimu yetu ni janga kubwaKinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania.
Tukumbuke watu hawa wawili (mmoja akiwa ni kipenzi cha baba huku mwingine ni "outcast") wanatajwa kuwania jimbo moja la ubunge huko mkoani Singida.
Movie imefika patamu, baki hapo hapo usiondoke kwenye screen.
Sent using Jamii Forums mobile app