Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Kilimanjaro na sasa Chato mamlaka gani inawafanya wajenge nyumba Bora na nzuri?Hauko sawa mkuu. Ni uzembe wa mamlaka husika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimanjaro na sasa Chato mamlaka gani inawafanya wajenge nyumba Bora na nzuri?Hauko sawa mkuu. Ni uzembe wa mamlaka husika.
Nani kakwambia Kilimanjaro wamejipanga sana? Unless huwa waenda sehemu ambazo zimejengwa kwa mipango, jambo ambalo lipo kila mkoa.Kilimanjaro kawapanga Nani?
Kwani wasimamizi wa Mipango miji Kilimanjaro, Chato, Mbeya n.k ni walewale? Ni sawa na kufananisha utendaji kazi wa mamlaka za maji safi na taka toka maeneo tofauti.Kilimanjaro na sasa Chato mamlaka gani inawafanya wajenge nyumba Bora na nzuri?
Mbeya ni kijiji kikubwaAkiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm.
Kusema kweli asante sana Rais Mstaafu Mhe Kikwete Kwa kuwaambia ukweli watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya wana sifa zifuatazo
1. Kujiona wana maendeleo wakati hawana lolote
2. Kujiona wanajua kila kitu wakati hakuna chochote wanachojua
Ukiwa hujafika Mbeya unaweza sema Mbeya ni jiji la kipekee sana Kwa namna watu wa Mkoa wanavyojiweka kwa wengine ila ukifika ndo utaona kumbe ni Mkoa wa hovyo kupindukia. Mbeya hawajali mipango miji, hawajui hata kujenga nyumba Nzuri za kisasa! Wanashindwa hata na Mkoa wa juzi Njombe. Mbeya imejaa uchafu sana na ujengaji wa nyumba wa hovyo kupindukia wanajifanya wana makanisa mengi kumbe wamejaa ushirikina kupindukia na hawapendi maendeleo ya wengine!
Nirudi kwenye Mada!
Tangu JK aongelee lile suala nilitegemea wabunge wa Mbeya watakuwa Wameshaitisha kikao na kujadili jinsi gani watapata ilo eneo la kuwapa Chuo kikuu cha Dsm.
Kwa wasiojua, uwepo wa Chuo kikuu kikubwa Kama UDSM sehemu, sio tu unahamasisha maendeleo, Ila unaleta chachu ya ukuaji wa kiuchumi na kifikra sehemu husika! Mikoa mingi shule na vyuo ndo vimewafanya hata waachane na Mila potofu na kujikita kwenye maendeleo
Leo hii ningekuwa Mbunge wa Mbeya, ningewakusanya wabunge wenzangu na tukaenda kwa Mkuu wa Mkoa kujadiliana nae kwa mapana sehemu gani tuitoe ili tujenge kampasi ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Na ndio definition halisi ya mji, manispaa na majiji.Mbeya ni kijiji kikubwa
Sio lazima kuwa na Ardhi kubwa Lord Denning... cha msingi ni kwamba hiyo waliyopewa wataitumiaje... siku hizi madarasa hufanyika hata mitandaoni, wajenge tu magorofa sehum hiyo ya ekari 50 hata ikibidi design ya lile gorofa la Dubai, watoto watasoma tu.. hii habari ya kutaka ekari zaidi ya 100 ni uchuro mtuou wa namna yake... hivi wanakwenda kusoma au kupunga hewa? wanataka wawe na misitu halafu mabinti waendelee kutoa kinyama ugomvi ili hali Salma kikwete mwenyewe amesema hakubaliani na wajawazito kurudi shuleni ? Kauli ya Kikwete ni kukataa kiana au kinamna jinsi ya kuendeleza campus ya Mbeya kwa kisingizio hafifu.. si wakubali tu hizo 50 na waendelee kuongeza kadri ya mahitaji au shida iko wapi?Akiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm.
Kusema kweli asante sana Rais Mstaafu Mhe Kikwete Kwa kuwaambia ukweli watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya wana sifa zifuatazo
1. Kujiona wana maendeleo wakati hawana lolote
2. Kujiona wanajua kila kitu wakati hakuna chochote wanachojua
Ukiwa hujafika Mbeya unaweza sema Mbeya ni jiji la kipekee sana Kwa namna watu wa Mkoa wanavyojiweka kwa wengine ila ukifika ndo utaona kumbe ni Mkoa wa hovyo kupindukia. Mbeya hawajali mipango miji, hawajui hata kujenga nyumba Nzuri za kisasa! Wanashindwa hata na Mkoa wa juzi Njombe. Mbeya imejaa uchafu sana na ujengaji wa nyumba wa hovyo kupindukia wanajifanya wana makanisa mengi kumbe wamejaa ushirikina kupindukia na hawapendi maendeleo ya wengine!
Nirudi kwenye Mada!
Tangu JK aongelee lile suala nilitegemea wabunge wa Mbeya watakuwa Wameshaitisha kikao na kujadili jinsi gani watapata ilo eneo la kuwapa Chuo kikuu cha Dsm.
Kwa wasiojua, uwepo wa Chuo kikuu kikubwa Kama UDSM sehemu, sio tu unahamasisha maendeleo, Ila unaleta chachu ya ukuaji wa kiuchumi na kifikra sehemu husika! Mikoa mingi shule na vyuo ndo vimewafanya hata waachane na Mila potofu na kujikita kwenye maendeleo
Leo hii ningekuwa Mbunge wa Mbeya, ningewakusanya wabunge wenzangu na tukaenda kwa Mkuu wa Mkoa kujadiliana nae kwa mapana sehemu gani tuitoe ili tujenge kampasi ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Ridhiwani huwezi kupumua bila kuitaja chato .Ukifika Chato utaona Chato imepangiliwa, imejengwa na iko vizuri. Ila watu wa chato hawana mbwembwe!
Ukifika Mbeya ukilinganisha na mbwembwe zao unaweza wapiga vibao
Mtoa mada umesahau kusema Mbeya walichokufanyia. Ninawasiwasi mtoa mada umeoa Mbeya kama hujaoa Mbeya basi kuna ndugu yako kaoa Mbeya na amebanwa haswa.
Binafsi nakupenda Mbeya kwasababu zifuatazo.
1. Mbeya kuna hali ya hewa nzuri ambayo hata mgeni kutoka ulaya lazima aipende.
2. Mbeya kuna vyakula vingi vitamu na vya kila aina na vya bei ndogo.
3. Mbeya kuna mazingira mazuri ya kusomea
4. Mbeya unakunywa maji ya kisima[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Mbeya unafulia maji ya kisima.
5. Mbeya ukiagiza chakula hotelini maji ya kunywa unamiminiwa kutoka kwenye majagi maalumu. Na hayo maji yanachotwa kwenye ndoo tu.
Japo naishi Dar ila huwa napenda sana ningeishi Mbeya. Dar kuna mbu sana mpaka kero nyieee, Dar unalala ndani ya chandarua. Dar maji ya kunywa ni shida, Dar maji ya kufulia ni shida, Dar maji ya kuoga ni shida.
Hii ndio imenipa akili ya kuanza mkakati wa kufungua kiwanda cha Kuchukua maji ya bahari ya Hindi na kuondoa chumvi, ili kupata maji safi na salama. Lakini pia kuna vimashine nitawauzia wakazi wa Dar es salaam waliochimba visima vyenye maji ya chumvi, vitakua vinatumia solar kutoa chumvi kwenye maji ya kisima. Sasa wakazi wataweza kupata maji ya kunywa, kufulia na kuoga majumbani mwao.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃Njoo tuishi mbeya baby tule maparachichi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa Rais kabisa au kwa mawaziri ambao wizara zao zinamiliki maeneo makubwa mjini bila kuyaendelezaAkiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm.
Kusema kweli asante sana Rais Mstaafu Mhe Kikwete Kwa kuwaambia ukweli watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya wana sifa zifuatazo
1. Kujiona wana maendeleo wakati hawana lolote
2. Kujiona wanajua kila kitu wakati hakuna chochote wanachojua
Ukiwa hujafika Mbeya unaweza sema Mbeya ni jiji la kipekee sana Kwa namna watu wa Mkoa wanavyojiweka kwa wengine ila ukifika ndo utaona kumbe ni Mkoa wa hovyo kupindukia. Mbeya hawajali mipango miji, hawajui hata kujenga nyumba Nzuri za kisasa! Wanashindwa hata na Mkoa wa juzi Njombe. Mbeya imejaa uchafu sana na ujengaji wa nyumba wa hovyo kupindukia wanajifanya wana makanisa mengi kumbe wamejaa ushirikina kupindukia na hawapendi maendeleo ya wengine!
Nirudi kwenye Mada!
Tangu JK aongelee lile suala nilitegemea wabunge wa Mbeya watakuwa Wameshaitisha kikao na kujadili jinsi gani watapata ilo eneo la kuwapa Chuo kikuu cha Dsm.
Kwa wasiojua, uwepo wa Chuo kikuu kikubwa Kama UDSM sehemu, sio tu unahamasisha maendeleo, Ila unaleta chachu ya ukuaji wa kiuchumi na kifikra sehemu husika! Mikoa mingi shule na vyuo ndo vimewafanya hata waachane na Mila potofu na kujikita kwenye maendeleo
Leo hii ningekuwa Mbunge wa Mbeya, ningewakusanya wabunge wenzangu na tukaenda kwa Mkuu wa Mkoa kujadiliana nae kwa mapana sehemu gani tuitoe ili tujenge kampasi ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Lord denning mada yako ni ya kipuuzi sana na Mbeya hujui japo unadai umekaa na kufanya kazi kule.Akiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm.
Kusema kweli asante sana Rais Mstaafu Mhe Kikwete Kwa kuwaambia ukweli watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya wana sifa zifuatazo
1. Kujiona wana maendeleo wakati hawana lolote
2. Kujiona wanajua kila kitu wakati hakuna chochote wanachojua
Ukiwa hujafika Mbeya unaweza sema Mbeya ni jiji la kipekee sana Kwa namna watu wa Mkoa wanavyojiweka kwa wengine ila ukifika ndo utaona kumbe ni Mkoa wa hovyo kupindukia. Mbeya hawajali mipango miji, hawajui hata kujenga nyumba Nzuri za kisasa! Wanashindwa hata na Mkoa wa juzi Njombe. Mbeya imejaa uchafu sana na ujengaji wa nyumba wa hovyo kupindukia wanajifanya wana makanisa mengi kumbe wamejaa ushirikina kupindukia na hawapendi maendeleo ya wengine!
Nirudi kwenye Mada!
Tangu JK aongelee lile suala nilitegemea wabunge wa Mbeya watakuwa Wameshaitisha kikao na kujadili jinsi gani watapata ilo eneo la kuwapa Chuo kikuu cha Dsm.
Kwa wasiojua, uwepo wa Chuo kikuu kikubwa Kama UDSM sehemu, sio tu unahamasisha maendeleo, Ila unaleta chachu ya ukuaji wa kiuchumi na kifikra sehemu husika! Mikoa mingi shule na vyuo ndo vimewafanya hata waachane na Mila potofu na kujikita kwenye maendeleo
Leo hii ningekuwa Mbunge wa Mbeya, ningewakusanya wabunge wenzangu na tukaenda kwa Mkuu wa Mkoa kujadiliana nae kwa mapana sehemu gani tuitoe ili tujenge kampasi ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Mbaya kutokuwa na njaa hakuondoi ukweli kuwa ni sehemu ambayo watu wengi hawajui namna ya kujenga nyumbq Nzuri na Bora!Lord denning mada yako ni ya kipuuzi sana na Mbeya hujui japo unadai umekaa na kufanya kazi kule.
Mbeya unayoiponda ni Moja kati ya mikoa 5 yenye GDP ya juu katika mikoa 26 ya Tanzania. Kwa taarifa yako hakuna mwanachi wa Mbeya anayekufa njaa. Hakuna omba omba waliopo mikoa yote Tanzania.
Kuhusu miundombinu kuwa mibovu, usiwalaumu watu wa Mbeya kwa vile wao jukumu lao ni kutoa kodi na kuzalisha uchumi. Wa kumlaumu ni Serikali ya CCM kutofanya maboresho hasa kipindi cha JK 2005-15 kwa vile waliona watampa umaarufu Mwandosya aliyekuwa mmoja wa wagonbea watarajiwa wa uRais. Na miaka 2015-20 Magufuli aliapa kuwa hapeleki maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge wapinzani.
Bado status ya watu wa Mbeya iko juu kuliko wa Dodoma wanaojengewa jiji au wa Chato waliopelekewa miundombinu mikubwa
Na kinachonishangaza sio kwamba hawapati hela , hela wanapata Ila ni watu wa kufanya vitu Kwa hovyo sana!Ukweli mchungu...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...