Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

Mtoa mada umbea tu unakusumbua Dada Tulia anafanya kazi kubwa sana
 
Una ushauri mzuri ila uwasilishaji wako una walakini, umejaa kejeli na tambo zisizo na maana yoyote. Mbaya zaidi una hasira na mbeya na wanambeya.

Mbeya inalisha mikoa mingi na nchi jirani kwa mazao yake adhimu kabisa. Mbeya watu wake ni wakarimu mno tofauti na upotoshaji wa mleta uzi.

Kuhusu miundombinu kama hiyo barabara anayosema ni kweli ina njia moja lakini kwa sasa imeboreshwa kwa sasa kuna njia 3 na sio mbili tu kama uyo jamaa alivosema. Ni kama baadhi ya barabara nyingi za dsm zenye foleni kiasi zilivyo.

Barabara za mitaani ni full mkeka, eti hawajui kujenga daah we jamaa una chuki na mbeya sio bure na nadhani ulikuja ukakaa wiki tu ukasepa.

Kwa mfanyakazi alieajiriwa kwa mashahara wowote ule basi mbeya ni mahali sahihi kwako kuishi, utaenjoy mnoo.
Mbeya imejengwa hovyo sana! Na watu wa mbeya hawajui kujenga nyumba Nzuri na zenye ubora! Huo ndo ukweli!
 
Mtoa mada umbea tu unakusumbua Dada Tulia anafanya kazi kubwa sana
Anaweza akawa anafanya kazi kubwa ila kazi ya kwanza anatakiwa kuifanya ni kuibana halmashauri yake kupanga miji na makazi na Pia kutoa elimu kwa watu wake wajenge nyumba Nzuri na zenye ubora za kisasa
 
Mbaya kutokuwa na njaa hakuondoi ukweli kuwa ni sehemu ambayo watu wengi hawajui namna ya kujenga nyumbq Nzuri na Bora!

Hakuondoi ukweli Pia kuwa watu wa Mbeya hamjui maana ya mipango miji na mkoa wenu umejaa uchafu na ujenzi holela na wa hovyo
Wewe utakuwa umetendwa kinyume na maumbil na watu wa Mbeya, maana si kwa kukomaa huko
 
Chuo cha jalalani kina matumizi gani na hekta 500? ingekuwa SUA ningeelewa huenda wanahiaji ardhi kubwa kwa ajili ya mashamba darasa na maeneo ya kufanyia tafiti za kilimo, mifugo, misitu na mazingira........hapo wanataka kuhalalisha uporaji wa ardhi ya wananchi ili wajitwalie maeneo kwa maslahi yao binafsi.
 
Hujielewi
 
Ukifika Chato utaona Chato imepangiliwa, imejengwa na iko vizuri. Ila watu wa chato hawana mbwembwe!

Ukifika Mbeya ukilinganisha na mbwembwe zao unaweza wapiga vibao
Wewe shida yako ni serikali kutopangilia mji vizuri na kuruhusu ujenzi holela au shida yako ni mbwembwe za watu wa Mbeya? Maana ni kana kwamba una ugomvi binafsi na watu wa Mbeya.
 
Vyuo vyenyewe ni utopolo tupu, Muhimbili ina ekari ngapi, acheni ujinga, Kikwete ahamishie hicho chuo utopolo chalinze. Vyuo vimejaa mavi tu uchafu kila mahali, usafi zero, autonomy ya vyuo zero kbsa. Vyuo vya makande tu
 
Heka 50 kwa taasisi inayotengemewa hata mimi sikubaliani nazo

Mipango ya uwekezaji kwa taasisi muhimu na adhimu kama hiyo lazima iangalie miaka 100 kuendelea sio miaka10 ijayo
Hivi wale Uyole naona wana maeneo makubwa sanaa, hayawezi kumegwa?
 
Kaliua tunayo maeneo atuletee icho chuo hapa kaliua
 
Vyuo vyenyewe ni utopolo tupu, Muhimbili ina ekari ngapi, acheni ujinga, Kikwete ahamishie hicho chuo utopolo chalinze. Vyuo vimejaa mavi tu uchafu kila mahali, usafi zero, autonomy ya vyuo zero kbsa. Vyuo vya makande tu
Hapa kaliua tunashida nacho
Watuletee icho chuo
 
Mbeya wanajiona, wanajikweza , hawatak kutoa eneo , hawawezi kuwafikia watu wa kilimanjaro, hawependi maendeleo ya wengine naona umakaririshwa tu , Ni non sense tupu
 
Udsm waje chato tuwapatie hekta 2000, heka 50 unajenga zahanati?
 
Ainisha hizo hekta 500 mnataka kuzifanyia nini, siyo kujiropokea tu kama walevi wa chimpumu.....
Kwani lazima kijengwe mbeya? Tayari mbeya tech ipo mnaingeza chuo cha nini? Mwanza Geita Kagera yaani kanda ya ziwa hamna chuo kikuu kumejazana vyuo vy ualimu wa primary halafu mnapeleka mbeya hivi tunawaza sawasawa kweli? Au kuna Prof mstaafu anataka kugombea ubunge?
 
Ainisha hizo hekta 500 mnataka kuzifanyia nini, siyo kujiropokea tu kama walevi wa chimpumu.....
Kwani lazima kijengwe mbeya? Tayari mbeya tech ipo mnaingeza chuo cha nini? Mwanza Geita Kagera yaani kanda ya ziwa hamna chuo kikuu kumejazana vyuo vy ualimu wa primary halafu mnapeleka mbeya hivi tunawaza sawasawa kweli? Au kuna Prof mstaafu anataka kugombea ubunge
 
Ukifika Chato utaona Chato imepangiliwa, imejengwa na iko vizuri. Ila watu wa chato hawana mbwembwe!

Ukifika Mbeya ukilinganisha na mbwembwe zao unaweza wapiga vibao
Acha ushenzi wa kulinganisha Mbeya na Chato.ushawah hata kufika chato wewe panya?
 
Back
Top Bottom