Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

Wabunge wa ccm mkuu wa mkoa wa ccm hapo ndipo tumsaidie mzee kikwete kushangaaaa
 
The problem is watu wa mbeya hawanaga habar na mtu.yan hawakushobei hata uwe nani.Kule kama ulijua utashobokewa et kisa umetoka ulikotoka aisee sahau hilo....kule wanawake vyma wanaume vyuma michongo 24 hours.hukosi usafir wa kuja dar au kwenda popote unaamsha anytime.Kikwete mwenyewe huyo hana hamu na watu wa mbeya..Licha ya kuwa mtu wa watu ile kipindi chake chote cha urais ali sanda kwa watu wa huko..Sidhan hata ziara 5 alifikisha kwenda kule.Mbeya wanapenda vyao.wanapenda watu wao..wanapenda timu zao..wanpenda watu wenye adabu na mji wao.
Ukiwaletea ujua hutakaa uwe na hamu nao.ni wapole ila ni wajeuri hatari.. ni watu wenye upinzani haswaaa pindi wakiamua yao hawabadirik badiriki.
Mbeya heshima
 
Hivi wale Uyole naona wana maeneo makubwa sanaa, hayawezi kumegwa?
Kwanini Uyole imegwe wakati hata kile chuo kina mahitaji makubwa? Mbeya ni kubwa sanaaaa wajipange tuu vizuri
 
JK ana mawazo ya kizamani ambapo vyuo vikiuu vilipimwa ubora kwa ukubwa wa eneo ambako vimejengwa. Sehemu kubwa inayo occupy kwa mfano UDSM ni mabweni.

Kitu cha muhimu kwa vyuo vya kisasa ni Lecture halls, laboratories, workshops na library.

Suala la mwanafunzi atalala wapi haipaswi kuwa concern ya chuo. Chuo kimpe tu mwanafunzi muda anaotakiwa kuwa darasani.

Masuala ya madeni iachiwe sekta binafsi ijenge. Tusirudie makosa ya kuweka resources nyingi kwenye sehemu Moja kama ilivyo UDOM
 
Kwetu tunataka chuo,huo ukisasa fanyeni huko kwenu
 
Mbeya imejengwa hovyo sana! Na watu wa mbeya hawajui kujenga nyumba Nzuri na zenye ubora! Huo ndo ukweli!
Huo sio ukweli. Mbeya imejengwa kiholela sikatai ila hiyo ya kutojua kujenga nyumba nzuri si kweli mkuu. Nyumba nzuri zipo kibao.

Tatizo la ujenzi holela wa mbeya sio wa juzi wala jana ni toka kitambi hicho. Na ndio maana nyumba nyingi zinazoonekana pembezoni mwa barabara ni mbaya kwasababu ni za zamani. Ndio mana nasema mtu kama wewe ni wale ambao wamekaa mbeya mda mfupi sana hawaijui vyema, pembezoni mwa barabara nyumba nyingi ni za kitambo hicho ila huko ndani kuna maeneo kuna nyumba kali tu. Huu sasa ndo ukweli ishi nao.
 
Mbeya ni jiji lakini wapo kama wilaya za Makete. kuna vitu vifuatavyo yaani Mbeya na ujanja wao wote walitanguliwa na ka mkoa kadogo tu ka Iringa
1. Radio FM station mbeya zimeanza juzi tu Iringa tokea 2004
2. Viwanda vya kutengeneza maji ya kunywa
3. Bakery za mikate, Juzi tu hapa mikate walikua wananunua Iringa
 
Baada ya kutangulia vipi bado mumetangulia? Unachekesha Sana .Mbeya ni Mkoa wa tatu kwa uchumi mkubwa Tzn hata baada ya kugawanywa.
 
Wapi kulikojengwa kwa mpangilio?
 
Baada ya kutangulia vipi bado mumetangulia? Unachekesha Sana .Mbeya ni Mkoa wa tatu kwa uchumi mkubwa Tzn hata baada ya kugawanywa.
Mbeya ni jiji la kwanza Africa Mashariki lililojengwa Hovyo na watu wake bado washamba sana tofauti na majiji mengine
 
Mbeya ni jiji la kwanza Africa Mashariki lililojengwa Hovyo na watu wake bado washamba sana tofauti na majiji mengine
Weka hiyo taarifa rasmi inayoonesha rankings badala ya upuuzi wako..

Huko kwako kumejengwa vizuri?[emoji16][emoji16]
 
Unaijua mbeya kwa juu juu tu. Tatizo la kukosa ardhi ni umimi wa watu wa Mbeya dhidi ya wenzao wa Mbeya. Wale waliopo ngazi za maamuzi wanataka chuo kikajengwe kwenye maeneo ya kwao licha ya ufinyu wa ardhi maeneo yale. Hoja ya JK ni kama anawaambia hao kuwa amewachoka. Wasipokuwa makini, chuo kitapelekwa Tabora au Lindi kwenye ardhi ya kutosha.
 
Nilitegemea Tulia hadi leo angekuwa ameshaitisha kikao na wabunge wenzake kusimamia hili ila wapi!!

Ndo mana Mbeya ndo jiji pekee lisilo na double road na wabunge na wananchi wameridhika tu
COM walikosea sana kumpa Tulia Ubunge. Kuna jamaa mmoja hivi alipata kura 3 wakati wa mchuano ndani ya Chama huyo angefaa mnoo kuibadili Mbeya. Jamaa huyo ni jembe sana kwa msiomfahamu, mlimfanyia fitina bure mpaka akawekwa ndani!, huyu jamaa ana maamuzi ya uthubutu katika maamuzi yenye maslai mapana ya Taifa, mwaka 2025 msifanye kosa tena.
 
Umewaambia kweli Kabisa, Mbeya ni hovyo ni kama Kijiji chenye watu wengi
 
Yaaani hayo Mazuri uliyoyataja hakuna tofauti na pale Tanangozi, Jiji linapewa sifa za kijiji
 
Yeye anaongelea Mbeya Jiji wewe unasema mambo ya kulisha mikoa. Kwani huko Soweto na Mafiat mnalima
 
Mheshimiwa tafadhali sana unatuchanganya sana wenzio tunaojua Lord Denning alikuwa mtu gani pale Uingereza!
 
Habari hii imenikumbusha urasimu uliokuwepo Wakati wa kuomba eneo la iliyo Sasa Hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila, Wakati huo mchakato ukiwa chini ya Muhas. Figisu Kama hizi zilitokea Sana kukwamisha suala hilo hadi nyepesi nyepesi zilipomfikia Rais wa Wakati huo Comrade Kikwete. Kwanza nae alishangaa, mtu gani mwenye akili aliyekua anapinga project Ya Aina Ile. Ashukuriwe Mungu baada ya Rais kuagiza suala lile lishughulikiwe haraka Leo tuna hospitali nzuri tunayojivunia sote na juzi Kati nimeona mahali kuwa wanna mpango wa kuanza ujenzi wa Kituo Cha Ubobezi wa magonjwa ya Moyo na mishipa ya damu Cha Africa Mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…