n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Machawa yamezidi mengine humu mpaka namba yanaweka ili bibi ayaone kumbe kayashtukia. Aibu kubwa.Wapambe wanasifia sana hadi boss kachukia 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machawa yamezidi mengine humu mpaka namba yanaweka ili bibi ayaone kumbe kayashtukia. Aibu kubwa.Wapambe wanasifia sana hadi boss kachukia 😂
HahahahaHalafu hawa jamaa wasivyo aibu, usije kuta wakaandamana kupongeza hiyo hotuba [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
HahahahaNa hii hotuba itasifiwa tena na hao hao Chawa.
HahahahaCha kushangaza hata Pascal Mayalla naye aliingia mkenge kwenye hili.
Mzee mwenzangu huyu amekuwa akishauriwa sana kuwa baada ya kuwa Wakili (noble professional) hayo mambo ya uchawa ndani ya CCM ayaache, but it's very unfortunate kaamua kuweka nta masikioni [emoji24][emoji24]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Cc: Shaka Hamdu Shaka kwaya masta from Lumumba praise team,Wapambe wanasifia sana hadi boss kachukia 😂
Mmeambiwa muombe radhi, acha kujikausha na kumsakizia MwendazakeNaona kampiga jungu mwendazake kiaina