The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kama haya hapa 👇Sasa Tanzania ina maendeleo gani kiwango cha kusema Samia kaupiga mwingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haya hapa 👇Sasa Tanzania ina maendeleo gani kiwango cha kusema Samia kaupiga mwingi?
Makamba ana msimamo na itikadi gani?Kigwangalla hajitambui. Njaa ikimuuma tu anapoteza uelekeo.
Hana dira hajui alekee wapi wala asimamie itikadi gani.
Hana falsafa yoyote katika maisha yake binafsi na yale ya kisiasa.
Nawakubali Bashe na Makamba japo wanafeli kwenye wizara zao kwa sasa lakini unaona wana misimamo na itikadi flani wanaziamini katika utendaji wao.
Utamsifu yupi kwahiyo? Asiyetimiza wajibu wake au?Mimi siwezi kumsifia mtu anae timiza majukumu yake
Duh. !!Ni kweli maana vitani rafiki naye aweza kuwa adui, na kwa sasa mapambano ndo tayari yameshaanza rasmi japo haijawa ana kwa ana ..bado risasi ni za mbali kwa mbali, tunasubiri za karibu karibu za mguu wa kuku
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHalafu hawa jamaa wasivyo aibu, usije kuta wakaandamana kupongeza hiyo hotuba [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hatari sana !!Watu wenye akili wengi ni wale wanaokula matunda, mbogamboga na ngano. Mtu anayekula ugali, automatically anakuwa mjinga.
Sasa hapo ni maendeleo gani aliyoleta Samia? Si huduma tu ya maji kurudi nayo ni jambo la ajabu lenye kumuhusu rais?Kama haya hapa 👇
Huduma tuu ya maji inajileta yenyewe si ndio?Sasa hapo ni maendeleo gani aliyoleta Samia? Si huduma tu ya maji kurudi nayo ni jambo la ajabu lenye kumuhusu rais?
kama kurejeshwa huduma ya maji kwa Dar tu tena ni huduma ambayo ilikuwepo ni jambo kubwa kabisa ambalo rais amelifanya basi hadi kuja kuondokana na shida ya maji kabisa kwa nchi nzima itakuwa ni mwisho wa dunia umekaribia.
Samia anaweza kua hatari zaid ya JPMWana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.
Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.
Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Mkuu tunatoa kodi na serikali tumeiweka hapo ili kufanya hayo mambo ndio majukumu yake, mimi sipingi kutoa pongezi kwa jambo ambalo unaona wahusika wanastahili pongezi. Mfano hata kwenye familia baba kuitunza familia ni wajibu wake wa msingi kabisa akifanya hivyo anakuwa anatimiza tu wajibu wake wa kawaida na asipofanya anakuwa anakiuka wajibu wake lakini yapo mazingira ambayo baba anaweza kupongezwa kwa hilo hilo jukumu lake la kutunza familia kama atafanya hivyo kwa juhudi au katika mazingira magumu ila bado akaendelea kuitunza familia n.k hapo anaweza kupongezwa.Huduma tuu ya maji inajileta yenyewe si ndio?
Ni upumbavu kutomsifia Kiongozi kisa eti Ni wajibu wake..Mwanao akifanya vizuri humongezi? Timu zikifanya vyema hupongezi? Acha usiwapongeze maana wote wanatimiza wajibu wao.
Acheni utoto,tunaachaje kumpongeza Rais kwa kazi nzuri Kama hii hapa? 👇
Ulitaka nisipongeze nifanyaje labda?Mkuu tunatoa kodi na serikali tumeiweka hapo ili kufanya hayo mambo ndio majukumu yake, mimi sipingi kutoa pongezi kwa jambo ambalo unaona wahusika wanastahili pongezi. Mfano hata kwenye familia baba kuitunza familia ni wajibu wake wa msingi kabisa akifanya hivyo anakuwa anatimiza tu wajibu wake wa kawaida na asipofanya anakuwa anakiuka wajibu wake lakini yapo mazingira ambayo baba anaweza kupongezwa kwa hilo hilo jukumu lake la kutunza familia kama atafanya hivyo kwa juhudi au katika mazingira magumu ila bado akaendelea kuitunza familia n.k hapo anaweza kupongezwa.
Sasa wewe ukisikia tu serikali imejenga zahanati sehemu ambayo kulikuwa hakuna huduma ya afya teyari unajaza mipongezi, sasa hapo mkuu unapongeza nini si utakuwa unapongeza kila kitu kana kwamba serikali imefanya jambo la hisani tu?
Sikupangii maisha kama umeamua mwenyewe kupongeza kwa kila jambo ni uamuzi wako hauvunji sheria, mimi nimeeleza tu maana halisi ya kustahili kupongezwa au mtazamo tofauti na wako kwenye hilo suala la kusifia serikali.Ulitaka nisipongeze nifanyaje labda?
Huyu analo!!! Ha ha ha haaaa! Halimuachiiii!!!!Nimeona Kigwa kapiga U turn kasema hata Yeye hapendi Kusifia wala kusifiwa!
Hujamwona. Mla mahindi shambani?Nimeona Kigwa kapiga U turn kasema hata Yeye hapendi Kusifia wala kusifiwa!
Tumbiri?Hujamwona. Mla mahindi shambani?
Sisi wazalendo hatutaacha kusema mazuri yanayofanywa na Serikali yaWana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.
Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.
Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.
Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Unaakili sana aiseeKwanini wasubiri kauli ya rais ili kuomba radhi? Je rais angewaunga mkono ndiyo kusema kuwa ingehalalisha na kuwafanya wawe sawa? Hayo ni maoni ya rais wala hayana uhusiano na uhalali wa kauli ya Bashiru.
Kigwa ni kama Joseph Kasheku, usimchukulie seriousNimeona Kigwa kapiga U turn kasema hata Yeye hapendi Kusifia wala kusifiwa!