Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.

Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama sigara. Wengine wanasema jezi zinakejeli kanisa. Watu wana nongwa, yaani jezi hazina jema.

Hatimaje kuna jezi zimevuja zinaandaliwa kuingizwa sokoni. Vipi wajumbe, mnazionaje hizi? Hizi zitaweza kuwasitiri?

1000122623.jpg

Ila Yanga hamjajaaliwa kabisa ubunifu aisee. Yaani baada ya kuona Simba wameweka mnyama katika jezi yake, mtu kakaa kabisa kaona aweke Y kuuubwa ndiyo ubunifu huo? WHY?

Halafu marangi yenu yataendelea kuwaangusha hata mjaribu nini. Hizo rangi siyo rafiki kwa nguo, tokeni huko kama mnataka muendelee hata kama mna mafungamano na maagano ya kisiasa.
 
View attachment 3464108

Ni rasmi kwa wachoma mkaa. Binadamu mwingine kuvaa hayo matambara ni kuutafuta umaskini kwa nguvu
 
Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.

Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama sigara. Wengine wanasema jezi zinakejeli kanisa. Watu wana nongwa, yaani jezi hazina jema.

Hatimaje kuna jezi zimevuja zinaandaliwa kuingizwa sokoni. Vipi wajumbe, mnazionaje hizi? Hizi zitaweza kuwasitiri?

View attachment 3464108

Ila Yanga hamjajaaliwa kabisa ubunifu aisee. Yaani baada ya kuona Simba wameweka mnyama katika jezi yake, mtu kakaa kabisa kaona aweke Y kuuubwa ndiyo ubunifu huo? WHY?

Halafu marangi yenu yataendelea kuwaangusha hata mjaribu nini. Hizo rangi siyo rafiki kwa nguo, tokeni huko kama mnataka muendelee hata kama mna mafungamano na maagano ya kisiasa.
Hyo jezi mbona walitoa miezi 1 uliopita?? Au hufuatilii mambo
 
Back
Top Bottom