Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

Wamemuaacha ngowi mwanamitindo mbobevu kamvisha hadi mh jäkaya miaka hiyo, sijui wakamchukua nani wanajua wao


Fullstop kwishaaa
Hata huyo hakuwa mtu sahihi, mmefosi tu na kwa kuwa ni watu wa propaganda jezi zikatembea ila yule ndiyo aliwavuruga kabisa. Na kwa taarifa yako hata hizi za sasa alidesign huyo huyo Sheria.

Yule alijikita kwenye magauni ya walimbwende na masuti ya wanasiasa unaenda kumpa tenda ya jezi, kweli?

Kama unavyosema ni muhimu kuheshimu taaluma za watu. Makampuni kama Nike, Adidas, Diadora, Puma yamejikita katika design ya kits za michezo na wana timu ya designers. Wakitoa kitu ni kwamba kimepitia katika mikono na vichwa vya watu sahihi.
 
Ni rasmi kwa wachoma mkaa. Binadamu mwingine kuvaa hayo matambara ni kuutafuta umaskini kwa nguvu

Kilabu cha utopolo ni kilabu cha gongo

Ila thimba wanawashwa washwa kwa masuala ya Yanga.

We kolo hustahili hata kuwasema mabingwa wanaokulamba kila siku🤣🤣🤣 sijui huo ujasiri unautoa wapi we Kolo

Yanga walishazondua Jezi zao kitaaaambo! Kuna timu imeleta Fulana za Promotion, zile ukidance vizuri unapewa na chupa moja ya Mo cola😀😀😀

😂😂Utakuja kufungwa.

Mnahangaika na yanga mwishowe mjinyee tu

Hyo jezi mbona walitoa miezi 1 uliopita?? Au hufuatilii mambo

Cc Aden Rage

Nimecheka kifala...

Mbona kama kuna wasukuma wanavaa huku Masumbwe

Bado sana.

Hizo fulana sisi wamama nzuri sana kwa kunyonyeshea maana shingo inashuka tuu kama dera..😄😄😅😅

Unajua nini maana ya Jezi??

Wameona waingize jezi kwenye kampeni rasmi 😹
Rangi gani hiyo sasa??

Ni huzuni kwa kweli

Hapo watoe na ndoo maalumu kwa ajili ya kutumia hizo "jenze" kudekia.

Achana naye SAYAVILE huyo hajielewi mara nitaacha kufatilia mpira mara yumo
Halafu huo weupeweupe kwenye jezi ni kama taulo la gesti baada ya kutumika miezi 6. Hayo ni mabaki ya wazungu.
 
Hata huyo hakuwa mtu sahihi, mmefosi tu na kwa kuwa ni watu wa propaganda jezi zikatembea ila yule ndiyo aliwavuruga kabisa. Na kwa taarifa yako hata hizi za sasa alidesign huyo huyo Sheria.

Yule alijikita kwenye magauni ya walimbwende na masuti ya wanasiasa unaenda kumpa tenda ya jezi, kweli?

Kama unavyosema ni muhimu kuheshimu taaluma za watu. Makampuni kama Nike, Adidas, Diadora, Puma yamejikita katika design ya kits za michezo na wana timu ya designers. Wakitoa kitu ni kwamba kimepitia katika mikono na vichwa vya watu sahihi.
Ila wewe mshangazi hua una ujinga
 
Ukitaka kumjua Mtanzania, tazama kiwango cha ujinga...

Screenshot_20250903_214633_Instagram.jpg
 
Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.

Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama sigara. Wengine wanasema jezi zinakejeli kanisa. Watu wana nongwa, yaani jezi hazina jema.

Hatimaje kuna jezi zimevuja zinaandaliwa kuingizwa sokoni. Vipi wajumbe, mnazionaje hizi? Hizi zitaweza kuwasitiri?

View attachment 3464108

Ila Yanga hamjajaaliwa kabisa ubunifu aisee. Yaani baada ya kuona Simba wameweka mnyama katika jezi yake, mtu kakaa kabisa kaona aweke Y kuuubwa ndiyo ubunifu huo? WHY?

Halafu marangi yenu yataendelea kuwaangusha hata mjaribu nini. Hizo rangi siyo rafiki kwa nguo, tokeni huko kama mnataka muendelee hata kama mna mafungamano na maagano ya kisiasa.
Upo kwenye siku zako?
 
Back
Top Bottom