Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
Vipi ninyi mlilambwa kwenye mashindano makubwa au umesahauWe kolo hustahili hata kuwasema mabingwa wanaokulamba kila siku🤣🤣🤣 sijui huo ujasiri unautoa wapi we Kolo

Sisi tukilambwa tunakuja kuwalamba na nyie kila siku...ninyi ndio wake zetu wa halali🤣🤣Vipi ninyi mlilambwa kwenye mashindano makubwa au umesahau
Kama vile hatujawahi kuwalamba kumbe tumewalamba sanaa tuSisi tukilambwa tunakuja kuwalamba na nyie kila siku...ninyi ndio wake zetu wa halali🤣🤣
Tarehe 16 ndio tutajua nani ana jezi nzuriYamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.
Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama sigara. Wengine wanasema jezi zinakejeli kanisa. Watu wana nongwa, yaani jezi hazina jema.
Hatimaje kuna jezi zimevuja zinaandaliwa kuingizwa sokoni. Vipi wajumbe, mnazionaje hizi? Hizi zitaweza kuwasitiri?
View attachment 3464108
Ila Yanga hamjajaaliwa kabisa ubunifu aisee. Yaani baada ya kuona Simba wameweka mnyama katika jezi yake, mtu kakaa kabisa kaona aweke Y kuuubwa ndiyo ubunifu huo? WHY?
Halafu marangi yenu yataendelea kuwaangusha hata mjaribu nini. Hizo rangi siyo rafiki kwa nguo, tokeni huko kama mnataka muendelee hata kama mna mafungamano na maagano ya kisiasa.
Hiyo Y sio Yas kweli?Mtandao wa " tigo" zamani?Yani hapo hiyo "y" wanasema Thithi ni YANG'AAAA
Sana tu hawa wanga.Ila thimba wanawashwa washwa kwa masuala ya Yanga.
Baby kumbe we utopolo..mi nilijua unajiheshimu..!!Ila thimba wanawashwa washwa kwa masuala ya Yanga.
Yanga imeoza.Ila thimba wanawashwa washwa kwa masuala ya Yanga.
Kama nyie mnavyowashwa washwa na diadora mpaka mnalilia kutupiga kwenye vichwa vyetu vya chiniIla thimba wanawashwa washwa kwa masuala ya Yanga.
Ila ali kamwe kazidi akihojiwa mda wote anaiwaza simba anasahau kama ana mzigo wa Caf champions league.Ila thimba wanawashwa washwa kwa masuala ya Yanga.
Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.