DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ni rasmi kwa wachoma mkaa. Binadamu mwingine kuvaa hayo matambara ni kuutafuta umaskini kwa nguvuYamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.
Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama sigara. Wengine wanasema jezi zinakejeli kanisa. Watu wana nongwa, yaani jezi hazina jema.
Hatimaje kuna jezi zimevuja zinaandaliwa kuingizwa sokoni. Vipi wajumbe, mnazionaje hizi? Hizi zitaweza kuwasitiri?
View attachment 3464108
Ila Yanga hamjajaaliwa kabisa ubunifu aisee. Yaani baada ya kuona Simba wameweka mnyama katika jezi yake, mtu kakaa kabisa kaona aweke Y kuuubwa ndiyo ubunifu huo? WHY?
Halafu marangi yenu yataendelea kuwaangusha hata mjaribu nini. Hizo rangi siyo rafiki kwa nguo, tokeni huko kama mnataka muendelee hata kama mna mafungamano na maagano ya kisiasa.
We kolo hustahili hata kuwasema mabingwa wanaokulamba kila siku๐คฃ๐คฃ๐คฃ sijui huo ujasiri unautoa wapi we KoloKilabu cha utopolo ni kilabu cha gongo
Hyo jezi mbona walitoa miezi 1 uliopita?? Au hufuatilii mamboYamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.
Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama sigara. Wengine wanasema jezi zinakejeli kanisa. Watu wana nongwa, yaani jezi hazina jema.
Hatimaje kuna jezi zimevuja zinaandaliwa kuingizwa sokoni. Vipi wajumbe, mnazionaje hizi? Hizi zitaweza kuwasitiri?
View attachment 3464108
Ila Yanga hamjajaaliwa kabisa ubunifu aisee. Yaani baada ya kuona Simba wameweka mnyama katika jezi yake, mtu kakaa kabisa kaona aweke Y kuuubwa ndiyo ubunifu huo? WHY?
Halafu marangi yenu yataendelea kuwaangusha hata mjaribu nini. Hizo rangi siyo rafiki kwa nguo, tokeni huko kama mnataka muendelee hata kama mna mafungamano na maagano ya kisiasa.
Unavyosema sifuatilii mambo utadhani unaongelea jambo fulani muhimu kumbe jezi ya utopolo.Hyo jezi mbona walitoa miezi 1 uliopita?? Au hufuatilii mambo
Hakuna timu msimu huu imetoa fulana kama jezi zaidi ya utoYanga walishazondua Jezi zao kitaaaambo! Kuna timu imeleta Fulana za Promotion, zile ukidance vizuri unapewa na chupa moja ya Mo cola๐๐๐
Embu dadavua mkuu ๐๐คฃ๐Tujifunze kuheshimu taaluma za watu, mafashionist Wana msaada mkubwa tuwashirikishe
Fullstop kwishaaaaa
Daaah!Mbona kama kuna wasukuma wanavaa huku Masumbwe
Wamemuaacha ngowi mwanamitindo mbobevu kamvisha hadi mh jรคkaya miaka hiyo, sijui wakamchukua nani wanajua waoEmbu dadavua mkuu ๐๐คฃ๐